sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Elon Musk asema Joe Biden aligoma kuwarudisha wanajeshi wa NASA waliokwama angani kwa sababu za kisiasa

    Mkurugenzi wa SpaceX, Elon Musk, amethibitisha kwa Fox News kuwa alitoa msaada wa kuwarejesha wanajeshi wa NASA waliokuwa wamekwama kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (ISS), lakini utawala wa Rais wa zamani Joe Biden ulikataa kwa sababu za kisiasa. Sunita Williams na Barry 'Butch' Wilmore...
  2. JamiiForums Tanzania Salim Kikeke mbona umelambishwa Asali na 'Mama Fulani' mapema sana? Nilijua ukiwa Ulaya na kurudi Bongo huwezi kuwa Chawa au Muoga wa Maisha mapya!!

    Halafu acha Kutudanganya kuwa umerejea Nyumbani kwakuwa Mama fulani Kakushawishi na kwamba sijui Baridi Kali la Uingereza pia ni sababu, bali ukweli ni kwamba kwa ilivyokuwa BBC na kwa Umri wako (huku ukiwa huna jipya tena) waliamua Kukumwaga mapema. Wewe ni mwana Simba SC Mwenzangu na nilikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apata kigugumizi kuzungumzia bidhaa kuwekwa lebo kwa lugha za Kigeni huku watumiaji wakiwa hawajui lugha husika

    Wakuu tune Clouds FM radio Ili mpate kumsikiliza SELEMAN JAFO na hoja zake dhaifu kuhusu wachina
  4. JamiiForums Tanzania Nazitafuta sana hizi perfume. Wapi nitazipata kwa DSM?

    Mwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi. 1. Al Rehab Avenue 2. Al Rehab Silver 3. Rasasi La Yuqawam
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini mungu alimpenda sana Daudi kuliko Sauli?

    Katika Biblia, Daudi anajulikana kama "mtu wa moyo wa Mungu" (1 Samweli 13:14, Matendo 13:22). Hii ni ajabu kwa sababu maisha yake yalikuwa na makosa mengi, ikiwa ni pamoja na uzinzi, mauaji, na kuchukua wake za watu. Hata hivyo, Mungu alimpenda na hata akamjengea heshima mbinguni kwa kumpa mtaa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ajali ya OCD Chanika imenisikitisha ingawa upo ujumbe maalum wa kumuenzi naomba mkuu wa trafiki Tanzania aupokee

    Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana! Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili! Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria! Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na 1. Baadhi ya watumishi wa...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

    Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. ======== Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salam. Kwa mujibu wa msemaji wa familia Bw. Awadhi Chico...
  8. JamiiForums Tanzania TUNAO FUNGA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI NA KWARESMA, TAFADHALINI SANA TUWE WASTAARABU KIDOGO NA VINYWA VYETU.

    Ni kweli miongoni mwa sharti moja wapo muhimu sana katika kufunga ni kujinyima na kujizuia kula na kunywa chochote kwa kipindi cha muda fulani, huku kile tulichojinyima na kukizoea kukutumia tunawasitiri nacho wahitaji wasio jiweza. Ila ndugu zangu midomo na vinywa vya baadhi ya tunao funga...
  9. JamiiForums Tanzania Matamshi ya Karia (kuwa ameibeba sana Yanga) yanatosha kusimamishwa, kuchunguzwa na kushtakiwa BMT, CAF au FIFA

    Rais wa chama cha soka hapa Tanzania (TFF), Wallace Karia siku za karibuni amesikika akitoa matamshi yenye utata kwa kusema kwa kipindi kirefu akiwa Rais wa TFF, yeye na TFF kwa ujumla wake kwa makusudi wamekuwa wakiibeba sana Yanga kwenye ligi kuu ya Tanzania na kwa sasa wamechoka kuendelea na...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna mwanya mpana sana kwa wageni na wasio na sifa za kupiga kura kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

    Yaani hamna chochote unachoulizwa kuthibitisha uraia wako, afya yako ya akili NK. Hapa kwetu Warundi na Wamalawi wamejitokeza kwa wingi kujiandikisha
  11. D

    JamiiForums Tanzania Natoa wito VETA ifutwe haraka mana ni kichaka cha ccm kikwepa jukumu la kuwapa ajira vijana. Watanzanua tuamke tunapelekwa mbio sana.

    Baada ya ccm na serikali kuharibu kila kona hasa kuanzia awamu ya tano, sasa ccm imekuja na a very constructive strategy ya kuwahadaa vijana kwamba mpaka waende VETA baada ya kumaliza degree, phd au uproffesor ndo iwaajiri. Hi ni danganya toto ukweli ni kwamba ccm imeshindwa na inatafuta pa...
  12. JamiiForums Tanzania Huu ni upotoshaji mkubwa sana kuhusu kitimoto

    Huyu Sheikh aache mara moja kulisha watu matangopori kuhusu huyu mnyama.
  13. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli investigation zile za kweli serikali yetu imekuwa ikizipinga sana na ikitokea serikali ushindwa vibaya sana.

    Inapotokea kuna tatatizo ndani ya nchi liwe kesi,biashara na mengine serikali ya kwetu ndio inaonekana kama imefungwa gori nyingi sana kama wanavyo ipenda yanga na simba kila gori milioni 5. Kuna kesi ambazo kama tutaka mataifa yaje kuchunguza ni aibu sana ila kwavile wamevaa pajama zetu...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini unahisi umetapeliwa pesa yako uliyoitafuta kwa tabu sana kwenye kampeni ya tone tone ya CHADEMA?

    Umegundua nini hata ukaamua kusita na kutoendelea kabisa kuchangia mpango huo wa chadema wa tone tone? ni kwasababu ya kufichwa kwa taarifa za makusanyo? au ni kwasababu ya matumizi makubwa ya kificho ya fedha za chama kwa viongozi waandamizi wapya chadema taifa? Je, ni kwasababu umeona...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanapenda Uanamke sana. Hata wanajiita na kubehave kianamke. Mwandiko unawaumbua

    Sijui dunia ya sasa inaelekea wapi.... Kuna wanaume unaona kabisa wanaandika mwandiko wa kiume ingawa wanapenda wawe treated kama wanawake. Hawa hata uandishi wao utauona ingawa wanaandika sana wakijifanya ni wanawake na wakitaka waonekane hivyo watongozwe na kadhalika.kisaikolojia wanajisikia...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa imekuwa kubwa sana?

    Hili suala limeakaaje? Yani kukutana na mtu anakwambia ana miezi 7 haja sex ni kawaida tu na yuko kwenye ndoa! Wanawake wengi wamekuwa kama makuku ya broiler, hawana hamu kabisa ya kusex. Huu utafiti nimeufanya kwenye coments za wanawake kwenye video moja ya Criss Mauki kule facebook. Lundo...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini mada za mapenzi na mahusiano zinatrend Sana?

    Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani...
  18. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwa Mwanaume kushinda nyumbani

    Mwanaume kushinda nyumbani umelala au kuangalia TV ni hatari kuliko maelezo. Uwe umeoa au hujaoa, haitakiwi kabisa ukae nyumbani mchana umeangaliana na mkeo, dada zako, shemeji yako, wazazi wako au kucheza na watoto. 1. Kwanza kabsa kama umeoa, ni rahisi kugombana na mkeo, hii jinsia ikikuona...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume weupe wanaroho mbaya sana?

    Eh, mniache Nimalizane na Birthday yangu Me.maswali mengine sina majibu Kuna mrembo ameulizq hapa Ivi kwanini wanaume weupe wana roho mbaya sana, hawana upendo kwa watu wengine they are very selfish Kwenye mechi wabovu Kwenye ndoa wana roho mbaya sana kwanini lakini? Hili swali niliulizwaga...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume jenga tabia ya kutokusamehe makosa ya mwanamke utakuja kunishukuru Sana

    Mwanamke anapokuja kwenye mahusiano na wewe huwa anakuja akiwa hana tabia. Tabia atazikuta kwako. Wewe ndo utakae mfanya awe anakuomba hela ya nauli kila ukimuita magetoni na wewe ndio utakae mfanya awe anakuja kwa nauli yake mwenyewe. Wewe ndo utakae mfanya akuone mkoloni. Na wewe ndo utakae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…