samsung

  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa simu za Samsung Galaxy A series, ngoja leo tujuzane kitu kidogo

    Wakuu! Samsung Galaxy A series ni smartphone kutoka Samsung ambazo zipo za aina mbalimbali kuanzia low end (izi ni za bei ndogo na specifications za chini) hadi za mid rangers ambazo zina specifications kubwa chini kidooogo ya Note Series, S series na Z Series. Sasa ukiwa unataka kununua...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Simu ya Samsung A12 laini zinasoma 'emergency'. Shida ni nini?

    Habari wadau? Natumia simu ya samsung A12, nilirestore simu na baada ya kuweka line zinasom emergency shida itakua ni nini?
  3. Mr Confidential

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy S24 Ultra GB 256 Inauzwa Kwa TZS 2,599,999/= Full boxed

    Wakuu, Nina Samsung Galaxy s24 Ultra, nimenunua jana baada ya kukosa Google pixel 9. Hili simu ni pana sana, nashindwa kuishika vizuri. Ili niitumie nashika kwa mikono miwili. Sipo comfortable nayo. Components zake: Simu yenyewe Cover Original charger (kichwa original nimekinunua Samsung...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Simu aina zote

    Je, unataka simu bei chee? Je, una abudget ndogo na unataka simu? Je, unataka kufanya Top up au exchange? Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako. Exchange na Top up tunafanya! Simu tulizonazo dukani ni; 📱Google pixel 📱aquous arrow 📱samsung 📱Iphone 📱LG 📱Sonny Xperia...
  5. JourneyMan

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Simu nyingi za Samsung Hawana inbuilt Call recorder na VoLTE?/5G?

    Unakuta flagship kabisa hawana hii option wakati ni jambo dogo sana kuliko kuanza ku install ma third party applications? Kuna baadhi zinakuja na hii option nyingine ni mpk u download. Nani Samsung yake ina support hii kitu? Kuhusu VoLTE/5G nishakuaga na Samsung A9 Pro 2016 ilikua na hii...
  6. D3F4ULT

    JamiiForums Tanzania Ni suala la aibu kwa kampuni kubwa kama samsung, flagship device kuwa na technical weekness

    Habari zenu watanzania wenzangu na poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. Mwaka jana mwezi dec nilibahatika kununua samsung s20+, baada ya kujikunja kwa muda mrefu kutokana na simu niliyokuwa natumia mwanzo(samsung s8) kuharibika betri. Lengo la kuandika uzi huu miezi miwili iliyopita nilipata...
  7. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung Fridge

    Halina shida yoyote ni 100% Msasani bei ni fixed 380k aipungui, hivo hakuna maongezi please🙏 +255685909105
  8. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A025 imetumika miez miwili tu

    Wakuu niaje? Nauza simu yangu aina ya Samsung A025. Simu bado inadai kabisa imetumika miez miwili tu. Napatikana mbagala kibondemaji. Bei: 430k Piga: 0778321833
  9. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu mpya Samsung galaxy A04s

    Hii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo wowote wa kisasa. Sasa hivi ina Android 14. Niko Dar es Salaam maeneo ya Mbezi mwisho ya kimara...
  10. Yimakatso

    JamiiForums Tanzania Samsung Note 9 Inauzwa

    Habari wakuu. Samsung note 9 ipo sokoni ila ina shida ya kioo kinahitaji kubadilishwa. Storage 128GB Ram 6GB Bado ipo kwenye clean condition ukiacha kioo tu. Bei ya kubadilisha kioo ni 170k Bei 90,000 0757 444 844.
  11. Area 56

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnijuze kuhusu Samsung Galaxy A55

    Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55 Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk Bei halisi nijiandae na sh ngapi? Mkitaja na maduka sio mbaya
  12. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Samsung na iPhone nani mkali?

    Salamu. Simu zote ni nzuri ila najua kuna mahala zinazidiana ubora na gharama.Kwa ujuzi wako kati ya hizo kampuni nani bora sana?
  13. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa FRP Honor X6 na Samsung a10s

    Habari zenu za majukumu. Nimejifanya sana mjuaji ila kwa hizi device 2 zimenitoa ushamba. Ni SAMSUNG A10S NA HUAWEI HONOR X6 Frp yake ni ngumu mno. Hivyo kama uko na software ya kucrack au upo njia ya kuremove bypass ya hizo device hapo juu nisaidiwe.
  14. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Huawei kuja na "Tri-Fold SmartPhone" mwaka huu, Samsung bado anasuasua

    Tumezoea kuona simu janja zenye mikunjo miwili, Huawei mwaka huu wanakuja na Smartphone ambayo itakuwa na mikunjo mitatu. Mojawapo ya kipengele muhimu cha kifaa cha kukunjwa mara tatu ni kwamba skrini iliyounganishwa kwenye bawaba ya pili inaweza kukunjwa kwa nje, na hivyo kuruhusu sehemu ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Morogoro na Tanga wafikiwa na kampeni ya ‘Samsung Kibingwa’

    Kupitia kampeni hii, wateja wateweza kununua simu janja kwa mawakala waliodhinishwa na Samsung kupitia malipo nafuu ya mkopo ya kuanzia shilingi 1200 pekee kwa siku, wiki au mwezi kwa kipindi cha miezi 12. Lengo kuu la kampeni ya ‘Samsung Kibingwa’ ni kuwawezesha Watanzania ambao wanatumia simu...
  16. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Samsung A71 5G ina tatizo la kukaa na chaji

    Wakuu Heshima mbele. Kama kichwa cha habari kinavyosema, hii simu nilinunuaga Zanzabar ikiwa vzuri. Nikawa naitumia muda mwingi na ipo kwenye umeme, baadae nikaona ukiitoa BETRI aikai na chaji kabisa. Mafundi wa Samsung mnaweza kuniambia nifanye nini na gharama zake. Ahsanteni.
  17. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Hii ipoje kuhusu Samsung wajuzi?

    Juzi nilienda Town kutafuta simu ya samsung A15,Katika pita pita kuna wanaiuza 380,000.Maduka mengine hapa Moshi mjini wengine 480,000. Mpaka Leo najiuliza kwanini yule auze 380,000 na specification ni zile zile?.Nilienda duka moja anauza mzee akaniuzia kwa 470,000 akaniambia tunaiscan uone ni...
  18. mossTV

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Tunauza smart TV

    Hisense smart 4k inch 55 Uhd frameless TV kama mpya Nauza 750,000 0744680670 Free delivery
  19. B

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy S24 Ultra Set to Enhance and Open up the Olympic Broadcast and Viewer Experience Like Never Before at the Olympic Games Paris 2024

    ●In collaboration with the IOC, and OBS, Samsung Galaxy technology will provide fans around the world with a new, up-close view of the world’s greatest athletes during the Games SEOUL, Korea – June 19, 2024 – Samsung Electronics Co., Ltd., a Worldwide Olympic and Paralympic Partner, today...
  20. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Samsung: Hii kampuni inachofanya ni sawa kweli?

    https://x.com/SamsungMobileUS/status/1800233900389617979?t=VDdvhRoSeZ0LKEnI_RgKcw&s=19 Kampuni ya Kikorea "Samsung" imeleta features nyingi zinazowezeshwa na Artificial intelligence kwenye Samsung Galaxy S24 series na collection ya AI features kwenye S24 series Samsung akaamua kuiita "Galaxy AI"...
Back
Top Bottom