S Supu ya Kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 5,284 Reaction score 9,610 Aug 3, 2025 #1 Simu imezima ghafla na haiwaki tena. Mafundi wamejaribu kuwasha imegoma. Tatizo nini labda wangwana
S Supu ya Kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 5,284 Reaction score 9,610 Aug 3, 2025 Thread starter #2 Please help
ARGAN MARA JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 1,182 Reaction score 3,057 Aug 3, 2025 #3 Ao5 si bado ina warranty ya 2 years kapewe mpya ila kama umepeleka kwa mafundi wa uchocholoni wameifungua apo kanunue nyingine ama badirisha display
Ao5 si bado ina warranty ya 2 years kapewe mpya ila kama umepeleka kwa mafundi wa uchocholoni wameifungua apo kanunue nyingine ama badirisha display
GemMaster II JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 3,596 Reaction score 11,312 Aug 3, 2025 #4 Simu za mkopo hizo Lipa deni
1gb JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 2,395 Reaction score 3,298 Aug 3, 2025 #5 Hii simu ilo kwenye list ya simu za mkopo. Wenye simu wamefanya yao na hasa kama ulinunua second hand umepigwa.
Hii simu ilo kwenye list ya simu za mkopo. Wenye simu wamefanya yao na hasa kama ulinunua second hand umepigwa.
NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 11,297 Reaction score 14,593 Aug 3, 2025 #6 hamna simu nisizozipenda kama hizo simu