Samsung note 4 LTE sipati 4G

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Wakuu naomba maujanja ya app au technical kuhusu hii simu yangu

Hii simu ni note 4 nilinunua India sasa kwa kule nilikuwa napata 4g vizuri but kwa hapa bongo nashindwa kupata 4g kabisa sijui shida ni nn

Kwa yoyote mwenye uelewa pls msaada tafadhali
 
Laini ya simu unayotumia ina-support 4G? Na kama ina-support je, kwenye Preferred network type ume-set kwenda 4G?

Kama hayo yote umefanya na bado haikubali angalia eneo ulilopo kama linashika 4G kwenye mtandao unaotumia.
 
Kila kitu hapo ni yes
 
Nami nilishawahi kuwa na samsung note 4 yenye 4G,niliweka laini ya tigo inayosupport 4G.Nilikuwa moshi,nikifika moshi mjini tena kuanzia maktaba ya mkoa ndio inasoma 4G kwenye simu,nikitoka hapo kuelekea kcmc pale round about 4G inaacha kusoma,ilihali wenzangu wenye simu kama yangu na laini,zinasoma 4G tena tukiwa maeneo ya kcmc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_2020-04-07-13-18-59.png
    Screenshot_2020-04-07-13-18-59.png
    244.8 KB · Views: 3
Nikiangalia specification zake online, hiyo simu ina frequency band chache (4G-LTE) ambazo zipo 4 ambazo zinasupport 4G-LTE...so uwezekano ni mkubwa kuwa mtandao unaoutumia kwa hapa Tz haupo kwenye hizo band za frequency kusupport 4G-LTE.
 
Natumia tigo na hallotel
 
Natumia tigo na hallotel
Yaani hapo kuna uwezekano mkubwa wa mitandao yetu karibu yote ya hapa nchini Tz ikawa hazipo ktk band hizo za frequency za LTE.
 
Attachments

  • Screenshot_20200407-153345.png
    Screenshot_20200407-153345.png
    29.3 KB · Views: 2
vodacom anatumia 700mhz na 1800mhz, tigo anatumia 900mhz, halotel na airtel sifahamu, so kama specifications zake zina izo band kwa LTE basi utapata services

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesearch, Tigo anatumia 800Mhz, Zantel anatumia 1800Mhz.
Hapo kwakuwa band zako ni 700,850,1800,2100Mhz....Jaribu utumie mitandao kama Vodacom, TTCL na Zantel maana inaonesha zipo kwenye hizo band, ila kwa Airtel nayo unaweza jaribu pia.
 
Thanks much brother
Au kuna aina ya APN yake?
 
Back
Top Bottom