Nauza samsung s8 kwa bei nafuu sana

Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
May 19, 2016
2,074
4,858
Nauza Samsung s8 kwa bei ya kutupwa.

Wakuu habari
Kutokana na janga hili la COVID-19 ambalo limeniathiri kwa 100%.
Naiweka sokoni simu hii ambayo nimeinunua mwezi December mwaka jana mpya m/city.
Bei 450000/=
Ram 4
Storage 64.
Nipo iringa kwa sasa.
Nicheki WhatsApp +255745588735.
Nitakutumia popote ulipo

Pictures 👇👇
Screenshot_20200425-211305_Gallery.jpg
IMG_20200425_205257.jpg
 
Nauza Samsung s8 kwa bei ya kutupwa.

Wakuu habari
Kutokana na janga hili la COVID-19 ambalo limeniathiri kwa 100%.
Naiweka sokoni simu hii ambayo nimeinunua mwezi December mwaka jana mpya m/city.
Bei 450000/=
Ram 4
Storage 64.
Nipo iringa kwa sasa.
Nicheki WhatsApp +255745588735.
Nitakutumia popote ulipo

Pictures View attachment 1434759View attachment 1434772
Ungekuwa dar ningeichukua..
 
Nauza Samsung s8 kwa bei ya kutupwa.

Wakuu habari
Kutokana na janga hili la COVID-19 ambalo limeniathiri kwa 100%.
Naiweka sokoni simu hii ambayo nimeinunua mwezi December mwaka jana mpya m/city.
Bei 450000/=
Ram 4
Storage 64.
Nipo iringa kwa sasa.
Nicheki WhatsApp +255745588735.
Nitakutumia popote ulipo

Pictures 👇👇View attachment 1434759View attachment 1434772

Mkuu; Ungetumia hiyo simu kutatua changamoto yako kwa njia nyingine. Kwa level zetu za maisha simu ni mojawapo ya asset zetu. Hatushauriwi sana kuuza asset zetu..
 
Mkuu; Ungetumia hiyo simu kutatua changamoto yako kwa njia nyingine. Kwa level zetu za maisha simu ni mojawapo ya asset zetu. Hatushauriwi sana kuuza asset zetu..

Ameshindwa kufikiri nje ya box kwa hiyo mpe ABC nini cha kufanya walau apate japo mwangaza aone mbele mkuu...!
 
Mchimba Chumvi

Hiyo simu nataka nikampe demu flani zawadi so, Nikipindi kigumu hiyo 300k natoka kwa tabu coz najua umuhimu wa huyo "she"

Labda nikulipie nauli popote ulipo
 
Ameshindwa kufikiri nje ya box kwa hiyo mpe ABC nini cha kufanya walau apate japo mwangaza aone mbele mkuu...!

Unampaje mwangaza anonymous? Hujui anajishughulisha na nini.. Anapendelea na hapendelei nini.. Anajishusha au kujikweza kiasi gani.. anategemea kukaa sawa baada ya muda gani (cz amesema ameathirika na corona)..

Binafsi pia corona imeniathiri sana. Nimelazimika kuadjust sana style ya kuishi kuaccommodate uhalisia.. etc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom