samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Je wanaojikosha kwa Rais Samia wanafanya hivyo bila kutafakari kwa kina au ni msimamo wa CCM usio rasmi?

    Wanabodi, Jambo lolote jema ambalo limeleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watu, liwe la serikali au mtu binafsi linahitaji pongezi. Pongezi sio tu katika kuonyesha maisha yaliyoguswa na kitendo hiki bali pia kumpa motisha aliyefanya tendo hilo kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa...
  2. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 polepole alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli huku anacheka kwa dharau na kebehi na samia anafanya kilekile kwa utofauti

    Mkutano wa ccm umempitisha Rais samia kama mgombea wa nafasi ya urais lakin unamlaumuje Samia ilihali mwanzilishi wa haya yote ni magufuli na wapambe wake Mwaka 2020 polepole huku anacheka kwa kebehi na dharau alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli lilikua ni tukio lililochukuliwa kwa...
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Huu woga uliopitiliza wa Samia kuhusu kuwania urais 2025 unatokana na nini hasa?

    Samia ndio rais aliyepo madarakani, katiba ya CCM na utamaduni wake inamruhusu kugombea urais, ni mwenyekiti wa CCM, huu woga uliopitiliza wa kuwania urais 2025 unaletwa na nini mpaka aamue kucheza 'faulo kubwa ya kisiasa ndani ya eneo la hatari karibu na goli' unaletwa na nini haswaa? Kuna...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais dkt Samia kwa kuchaguliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM 2025/2030.

    Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030. Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu. Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya October.
  5. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

    Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ombi la kuwekwa kwenye kikosi Cha kutafuta ushindi wa Dkt. Samia, mgombea Urais kwa tiketi ya CCM

    Kwa kuwa sasa CCM imeazimia kwa kauli moja kupitia mkutano wake Mkuu maalamu kuwa mgombea wake awe ni Dkt.Samia licha ya kwamba ilikuwa inajulikana muda mrefu atakuwa yeye lakini kwa azimio la Leo ni yeye rasmi na hakuna mjadala zaidi ya hapo. Ni muda mrefu nimeomba awe ni yeye na kwa kuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

    Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar. Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

    Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde. Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Dkt Samia Aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika...
  10. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Samia Infrastructure Bond, wekeza 500,000/- uvune sh. 15,000/- kila mwezi

    Samia Infrastructure Bond ni fursa ya uwekezaji kwa ajili ya kukuza kasi ya miradi ya uwekezaji nchini. Kiwango cha chini cha uwekezaji ni shilingi laki tano (500,000/) ambapo utavuna riba ya asilimia 12 (12℅) kwa mwaka. Karibu sana Mtanzania, tembelea tawi lolote la CRDB leo.
  11. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Naichukia CCM, ila ukweli nausema kwa miaka 10 iliyopita. CCM wameifanyia mazuri mengi Tanzania. Magufuli na Mama samia wapewe maua yao

    Habari wadau Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi. Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia. Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Marafiki Mbowe na Samia kudanganyana ni sawa au unafiki?

    Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya kumuamini rafiki yake
  13. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania WENJE TUSAIDIE: Je, Lissu huyu aliyetaka kumpindua Mbowe akiwa gerezani ni Lissu yule yule aliyemwambia Rais Samia kabla ya maridhiano Mbowe aachiwe?

    Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia, Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti, Sasa kama alitaka Freeman Mbowe aachiliwe halafu wakati huo huo...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wakulima 2000 Kiteto wamuomba Rais Samia aingilie mgogoro wa Ardhi (Hifadhi ya Makame)

    Wakulima 2000 Wilayani Kiteto wamemuomba Raia Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wao na hifadhi ya Makame WMA iliyodaiwa kupora maeneo yao waliyotumia zaidi ya miaka 15. Chanzo: EATV
  15. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tuongoze mpaka mwaka 2045 Mimi kama msemaji wa wananchi nakuomba

    Rais huyu mpendwa ameshushwa na Mungu tunafurahi uwajibikaji wake Mimi kama msemaji wa wananchi tunaomba tena Kwa kukupigia magoti daktari Samia Suluhu Hassan utuongoze mpaka mwaka 2045 Mama unaupiga mwingi wananchi wanafurahia sana kwakua wanaishi maisha Bora sana mtaani na wamegundua...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aagiza Ujenzi wa Maegesho ya Malori na Taa Dakawa na Kibaigwa

    RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI WA MAEGESHO YA MALORI NA TAA DAKAWA NA KIBAIGWA Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa maegesho ya malori na taa za barabarani katika miji ya Dakawa na Kibaigwa katika barabara ya Morogoro - Dodoma ili kupunguza ajali na kukuza biashara katika miji hiyo...
  17. Ileje

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia kuingilia Mahakama na Rushwa ya Mazingira - Ushahidi huu hapa

    Itakumbukwa Mbowe alikamatwa Mwanza na kufunguliwa kesi ya uchochezi na uhaini na kukaa rumande kwa miezi nane (8). Kesi ya awali ilisikilizwa na Jaji Siyani ambaye baada ya kumkuta Mbowe ana kesi ya kujibu alipandishwa cheo na kuwa Jaji Kiongozi. Cheo hiki kilikuwa shukrani ya serikali ya Samia...
  18. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Rais Samia yaipiku Kenya Kiuchumi kama kinara wa Afrika Mashariki

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa kuelekea kuwa nguvu ya kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki, mwelekeo uliothibitishwa na uongozi wa mabadiliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha uwezekano mkubwa wa Tanzania kuipita Kenya kama taifa...
  19. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya Kwanza Afrika kwa Utalii, Ushindi wa Uongozi wa Rais Samia

    Tanzania imetangazwa kuwa nchi bora zaidi ya kutembelea barani Afrika kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya U.S. News, ushindi huu mkubwa unaonesha wazi matunda ya uongozi mahiri wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu aingie madarakani, Rais Samia amekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha sekta ya...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maringo Mia Moja ya Rais Samia na Mbunge wa Bukoba Mjini, Stephen Byabato 2020 - 2025

    MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020 - 2025 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha Miradi Mikubwa na ya kimkakati...
Back
Top Bottom