samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaaminika Sana Kwa Watu walio Mzunguka Ikulu na Kwa Wananchi na ndio Maana hakuna Uvujaji wa Siri Kwenda Kwa Wanaharakati Na wasaliti

    Ndugu zangu Watanzania, Hakuna kipindi na wakati wanaharakati,Maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu wanahangaika kupata habari za kweli kutoka Ikulu kama kipindi hiki. Wanahaha sana kutafuta habari ili wachapishe kwenye kurasa zao za mitandao ili kuleta taharuki na uchonganishi. Ni Katika...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Dkt Mwigulu Lameck Nchemba awasili Ufaransa kumwakilisha Rais katika siku ya Kiswahili

    WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Dr Josephat Gwajima alimuonya Samia na CCM, kuwa Mnaweza kushinda uchaguzi kwa bunduki, lakini haiwezekani kutawala taifa lililogawanyika!

    ====================== Gwajima alimuonya Samia, ni rahisi sana kuiba kura kwa Bunduki Lakini ni ngumu sana kutawala nchi kwa kupitia uchaguzi wa kutumia Bunduki Aliwaambia CCM wazi pia kwamba, msiponisikiliza na kukuelewa mtaanguka na kulia kilio asiwepo wa kuja kuwanyamazisha na siku hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia amtembelea Hospitali Pacome kumpa pole

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na MWANANCHI NAMBA MOJA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na leo alimtembelea na kumpa pole mchezaji wa timu ya wananchi Pacome Zouzoua, ambaye anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam kufuatia majeraha aliyoyapata wakati wa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia awajulia hali Pacome Zouzoua wa Yanga na Mlezi wa ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam. Akiwa hospitalini hapo Rais Dkt...
  6. JamiiForums Tanzania Ufaulu Kidato cha 6 ni 99.9%. CCM na Samia Washaharibu Elimu ya Tanzania. Mlaaniwe hadi Kizimkazi pasiote nyasi

    Lengo lao wanataka waseme Mama anaupiga mwingi. Kwamba Ufundishaji umeongezeka. Kila kitu sasa ni kuchakachua kuanzia matokeo ya Urais hadi Matokeo ya Wanafunzi. Shule hazina Waalimu, hazina Maabara, hazina Madawati hazina Madarasa halafu ufaulu unakuwa 99.9%. Ni sawa na Mtoto ajisahihishie...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kapanya: Samia mwachie huru Tundu Lissu taifa inamuhitaji. Acheni kufungia Mikutano watu waseme wakombolewe

    Mwenyekiti wa CHAUMMA Jimbo la Tarime Mjini, Butiku Masaku Mwita maarufu kwa jina la Kapanya akizunguma leo Julai 5, 2026 katika Mazishi ya aliyekuwa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche Soma pia TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki...
  8. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu akisingiziwa na kushitakiwa kwa kufadhili Magaidi wa kuua Wakristo, nani atamtetea?

    Wote tunajua Marekani jinsi ilivyo mstari wa mbele kupambana nna Magaidi pale wanapojitokeza Nchi yoyote. Kwa yanayoendelea Nchini Tanzania, hivi Samia Suluhu akishitakiwa kwa kufadhili Magaidi, na Vikosi vya kuua Wakristo, nani atamtetea? Sasa hivi kwenye Misikiti Watu wanafundishwa Judo...
  9. JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini waislamu hawalalamiki mkatoliki Magufuli kumfanya Rais Samia?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Zama za marais wakristo, waislamu walizoea kusema huu ni mfumo kristo. Ila baada ya kuingia mwenzao, hawataki tuseme huu ni mfumo islam! Washukuru mkristo Magufuli alimfanya muislam Samia tena mwanamke wa kwanza kuwa rais. Je, hili. hawalioni au ni ukosefu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Dar es Salaam | 01 Julai, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=k_vjhqNEwi4&pp=0gcJCU4LAYcqIYzv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwaapisha Viongozi Wateule, 01 Julai, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
  12. JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye amani Afrika, Tanzania haimo. Salaam kwa Samia na Mwigulu

    Nafasi ya amani Afrika Chanzo cha picha,ABI Kwa mujibu wa Global Peace Index 2026, Tanzania ipo katika nafasi ya 17 barani Afrika kwa kiwango cha amani, huku ikiwa ya 98 duniani. Inazidiwa hadi na Zambia MY TAKE Kila siku wanadai eti wanalinda amani. Wanalindaje amani ambayo haipo? Wanalinda...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TCD: Zuio la mikutano ya vyama vya siasa ni halali kwa sababu CHADEMA wanamsema vibaya Rais Samia na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba!

    https://youtu.be/6J2JmIcz8jM?si=yQX0B9XISyGvqc9L Sasa Chawa wamefumka, wanaanza kujiropokea hovyo... Kusema ukweli, hawana hoja. Wako desperate kutetea maovu na uovu wao wakidhani wataokoka. Hawataki kukosolewa. Wanatoka tuwaze na tufikiri kama wanavofikiri wao, ujinga na upumbavu. HAIWEZEKANI...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia sana, hawa CHADEMA watakulipa malipo waliyomlipa Dr. Kikwete, Rais Mstaafu

    Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani. Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane. Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto . Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima Lakini leo...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Alhaji Aliko Dangote, Ikulu na timu yake Ikulu ya Dar, leo Juni 28, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Juni, 2026.
  18. JamiiForums Tanzania Kikwete "2025 hakuna wa kuchukua fomu ya urais kumpinga Samia, labda mambo yaharibike sana"

    Natafakari sana kauli hii ilimaanisha nini? Uzi tayari
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki ufunguzi wa Jengo la Mionzi (Chemotherapy) Hospitali ya KCMC-Moshi Kilimanjaro

    https://www.youtube.com/live/tbA3qAYbzio?si=33KuineyOZDSZmtR Video Courtesy: Directorate of Presidential Communications YouTube Channel
  20. JamiiForums Tanzania Kuna maneno mufti zuberi alishawahi sema kuwa samia kaandikwa kwenye quruan.

    Kuna kiwango kikipitiliza cha kujipendekeza mpaka kinakosekana cha kujipendekeza. Kuna siku mufti zuberi akiitisha wanahabari na mnukuu maneno yake kuwa samia kaandikwa kwenye quruan raisi wa tanzania. Cha kujiuliza ni hii Quruan ambayo ijawahi kuchezewa wala kubadilishwa. Ila cha kushangaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…