samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama Samia hadaiwi na wabunge nao hawadaiwi

    Kuna msemo maarufu wa machawa wa CCM kuwa Samia Suluhu Hassan kwa aliyoyatenda kwa watanzania hadaiwi popote na watanzania. Lakini Samia hakuyafanya aliyoyafanya akiwa peke yake bali alisshirikiana na wana CCM wenzake wabunge wakiwemo. Sasa kama Samia hadaiwi, inakuwaje wabunge waliomsaidia...
  2. Samia wamasai Wana ujumbe wako

    Huu ndio ujumbe kwako kutoka kwa wamasai wa Arusha
  3. Uchaguzi wa Samia ni kipimo cha ukomavu wa muungano wetu

    Moja ya hotuba maarufu sana ya baba wa Taifa ilikuwa ni ile ya mwaka 1995 ambapo pamoja na mambo mengine alizungumzia nyufa za muungano. Katika kipindi cha Urais wa Samia tumesikia mambo mengi, hususani kutoka kwa viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo ambao katika maeneo tofauti...
  4. N

    Rais Samia kwenye hutuba zake hamtaji mumewe kama viongozi wengine wana

    Ukifatilia hutuba nyingi za viongozi wanapoitimisha kuhutubia anatoa shukurani Kwa watu wake wakaribu kama mke, watoto nk, lakini naona mama amtaji mumewe kama sehemu ya watu muhimu kwake juzi wakati wakuvunja bunge sijasikia akisema au baba yetu hayupo? Naleta hoja.
  5. J

    Samia na ccm yako mumeamua kuziba masikio.

    Ni jambo la ajabu sana , kuona mtu anapata madaraka kwa mjibu wa katiba. Halafu hapo hapo anatumia madaraka kuivuja katiba. Huu ni ugojwa wa akili unao penda kushambulia watawala wa kiafrika. Kwetu Tanzania umeshambulia Samia kwa kiwango cha kumfanya mwendawazimu kabisa. Kibaya zaidi...
  6. Rais Samia amepata wapi mamlaka ya kusema anasitisha shughuli za bunge?

    Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu " 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka...
  7. Basi la SSB lapata ajali

    Basi hadi trafiki wanaliogopa. Hata taarifa ya Vifo hawatoi. Nimeambulia picha kwa mbali
  8. S

    IN THE COFFIN; The arrogance and deafness of Samia on kidnapping and killings.

    Ninaandika kitabu kwa lugha ya kiingereza ili kikasomwe na wazungu watoa misaada. Kitabu hiki kinaelezea kiburi na ukiziwi wa rais Samia kwenye vilio vya watanzania juu ya utekaji na mauaji kana kwamba yuko ndani ya jeneza. Nitaomba baadhi ya inputs zenu nikifika kwenye hatua ya kumaliza...
  9. Kwa alichokizungumza Rais Samia Chadema wanahaki ya kusema NRNE

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya uapisho wa viongozi wapya leo, amemuelekeza Mkuu mpya wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, kuhakikisha anailinda heshima ya Mheshimiwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ambaye anatoka mkoani humo.Aidha, Rais Samia...
  10. Wakati Spika Tulia akisema Hamna Utekaji Wala Upoteaji watu bila Kushuhudia, Rais Samia analiagiza Jeshi la Polisi kuzuia Upoteaji watu !!

    Sasa huyu ndio Rais wa Mabunge !! Huyu ndio Mbunge, Msomi wa Sheria !! Wakati analinajisi Bunge tukufu, Jana Ndani ya Bunge hilohilo Rais Samia akaliagiza Jeshi la Polisi kudhibiti Upoteaji watu!!. Tanzania imefikia hatua ya Kila MTU mwenye Mamlaka anakua Chawa Kwa ajili tu ya Hakikisho...
  11. Ukiondoa uchawa na kumaliza miradi ya Jiwe, rais Samia amefanikisha nini?

    Twaelekea kwenye uchaguzi. Tumtathmini rais Samia Suluhu Hassan. Nionanvyo mimi, amfanikisha yafuatayo: Mosi, kuwakamata wapinzani na kuwafungulia kesi za kubambikiwa, Pili, ameweza kuwa daktari kwa muda mfupi tena bila kupoteza muda darasani, Tatu, amejitahidi kukaa kimya na kusema sana kiasi...
  12. Tulia Akson ana sauti iliyojaa kiburi na ujuaji, Samia ana sauti ya utulivu na mamlaka

    Kama afya yako ya kiroho haijakufa ukiwasikiliza hawa watu wawili kwa makini utagundua tabia zilizo ndani yao kama umeshakufa huwezi kunielewa na utabishana kama pimbi.
  13. GE2025 Rais Samia: Katiba mpya itatekelezwa miaka 5 ijayo

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge rasmi Bunge la nchi hiyo na kutoa ahadi mbali mbali. Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa rasmi tarehe 3 Agosti ili kutoa fursa kwa taifa hilo kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Akihutubia Bunge 12 la...
  14. M

    Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  15. Mama Samia badili Sheria ya Makosa ya Jinai ( Penal Code), iendane na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Utawin mioyo ya 99,% ya watanzania.

    Sheria mama ya Tanzania ( Katiba) inasema, umri wa utu Uzima ni kuanzia miaka 18. Sheria ya Makosa ya jinai ya Tanzania ( Penal Code), inatambua kama kosa la jinai, tendo la ngono Kati ya mwanaume mwenye umri wa mialka 18+ na msichana mwenye umri wa chini ya miaka 18,hata kama msichana huyo...
  16. Tetesi: Huenda Rais Samia asilivunje bunge rasmi leo hii

    Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la wawakilishi Zanzibar mpaka tarehe 13 August 2025. Rais Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza...
  17. Majaliwa: Kifo cha Magufuli kilituacha na Giza Nene, lakini Samia alisimama Imara kwa Busara na Ujasiri wa Kipekee

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Alhamisi Juni 26, 2025, ametoa hotuba ya kuhitimisha Mkutano wa 19 wa Bunge la 12, huku akimkumbuka hayati Rais John Magufuli na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza vyema licha ya kuachiwa nchi katika kipindi kigumu...
  18. Je, ni kweli Rais Samia pamoja na kukopa sana, hakuna mradi aliouanzisha?

    Salaam Wakuu, Eti ni kweli Rais wa Tanzania awamu ya Sita hakuna mradi hata mmoja aliouanzisha? Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayati Magufuli alikuwa amekopa mikopo ya kujenga miradi hiyo. Hela ambayo samia Kakopa imeenda wapi?
  19. K

    Tunaomba tupate vyeti vyetu vya Samia infrastructure bond

    Binafsi niliwekeza kwenye Samia Infrastructure Bond na sijapata CHETI changu. Ninaomba ni muda muafaka kupata cheti changu cha uwekezaji. Pili, naomba mzingatie muda kuweka dividends ambayo ni kila baada ya miezi mitatu. Nawasilisha.
  20. S

    Haikuwa halali Zanzibar kuanza kutangaza kusogeza mbele kuvunjwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Samia kusogeza mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August

    Nchi hii bwana inaendeshwa kinyume sana, yaani vurugu tupu. Sasa Raisi wa Zanzibar anatangaza kusogeza mbele kuvunjwa kwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Raisi wa Tanzania Samia kutangaza kusogezwa mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August. Hivi nani hasa ni Raisi wa Tanzania hapa, au ipi ni mamlaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…