samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. The Burning Spear

    Huyu hapa mpinzani wa Samia uchaguzi Mkuu

    GT Siongezi neno jionee mwenyewe
  2. Getrude Mollel

    GE2025 Hizi ndio sababu kwanini watu wa Morogoro haina sababu za kumnyima kura Samia Suluhu

    Muda mfupi baada ya Rais Samia Suluhu kuingia madarakani 2021, alifanya ziara ndogo mkoani Morogoro, na akaongea na watu pale Msamvu tarehe 7-04-2021. Pale Rais Samia Suluhu aliwatoa watu wa Morogoro hofu na kuwaambia ya kwamba, mambo mengi mazuri yanakuja kwenye mkoa huo, ajira, mikopo...
  3. fimboyaukwaju

    Nani ni Meneja wa kampeni ya Samia Suluhu Hassan

    Ni nani,bado sijamfahamu
  4. Fbn

    GE2025 Tutarajie Kampeni za CCM kusema awamu iliyopita ilikuwa sio za Samia na CCM

    Kama mjamshtua hadija kopa anaweza kusema muhula alioshika kijiti alikuwa sio yeye kwa sasa kila haadi zitakuwa zake. Maneno makande wakina lucas mwashamba mumetumia nguvu sana
  5. Waufukweni

    GE2025 Samia: Kuna jamaa zetu wametia mpira kwapani

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti 2025 amesema, "Kule ninakotoka mimi Zanzibar kuna timu ambayo, wakiona wanaenda kufungwa na ushindi...
  6. Jesusie

    Rais Samia: Wanufaika wa TASAF wamefikia 6,983,665

    Akiongea kwenye mkutano wa kampeni wa Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema: Umasikini haujaisha, Tanzania yetu inapaswa kuwa na familia zenye furaha na usalama wa kifedha. Hivyo nashukuru Mpango wa TASAF, ambao umeongeza idadi ya kaya walengwa kutoka 876,440 mwaka 2021 hadi...
  7. Jesusie

    Rais Samia: Tumetoa Sh. bilioni 700 kwaajiili ya ruzuku ya mbolea | Uzalishaji wa mazao ya chakula umefikia Tan 22.8.

    Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini. Aidha, Serikali inaendelea...
  8. Jesusie

    Rais Samia: Tumeongeza bajeti ya Kilimo kwa 322%

    Dar es Salaam, Tanzania – Bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka Sh. bilioni 294 mwaka 2021 hadi kufikia Sh. trilioni 1.242 mwaka 2025, ongezeko la Sh. bilioni 948 sawa na ongezeko la 322%. Ongezeko hili linaonyesha juhudi za Serikali kuimarisha sekta ya kilimo na kuhakikisha wakulima...
  9. BLACK MOVEMENT

    GE2025 Kupiga marufuku Hospitali kuzuia maiti nayo ni maendeleo? Samia punguza umasikini haya yataisha automatic

    Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty. Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu. Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii...
  10. Sifi Leo

    Wito: Tubadilishe Katiba, Samia sasahivi ni Rais au ni mgombea wa Urais?

    Nadhani IKULU Sasa zilitakiwa ziwe wazi, kila mgombea atokee kwke akambe KAZI ya kuajiliwa kuwa Rais Inakuaje Samia analala IKULU? Chanzo ni katiba MBOVU, Kama majimbo hayana wabunge, kama wizara hazina waziri ni wakati mwafaka Sasa Mgombea wa CCM atokee IKULU aombe kibalia IKULU atokeeeee
  11. The Burning Spear

    GE2025 Kupambana na rushwa siyo kipaumbele cha Samia na Serikali yake ijayo?

    Nimeshangaa kutosikia haya. 1. Kupambana na ubadhilifu kuwezesha TAKUKURU mbinu za kisasa kuzuia Rushwa. 2. Kuongeza uwajibikaji na kukomesha wafanyakazi wazembe 3. Serikali kuhakikisha utawala wa sheria unaimarika. Kuhakikisha ulinzi na usalama kwa raia wote. 4. Sijasikia akitaja mradi...
  12. Poppy Hatonn

    GE2025 Sisi tulikuwa pale tulishindwa kumsikia Samia akiongea

    Spika zilikuwa siyo nzuri, au more specifically, Samia alipokwenda kwenye podium hawakutayarisha vizuri. Halafu nimefika pale, nimeona watu wanazuiwa kupiga picha. Mtu mmoja amekamatwa na mtu kavaa kiraia, kaulizwa, “Kwa nini unapiga picha?” Akamshika, akaanza kumkokota, aondoke naye. Akasema...
  13. M

    Samia aahidi trekta 10,000 karibu kila kijiji trekta moja

    === Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni, mgombea huyo alisema ahadi hiyo inalenga kuinua kilimo kwa kuongeza tija...
  14. M

    Rais Samia ampiku Hayati Magufuli kwenye kila sekta

    Dar es salaam, Agosti 2025 – Akihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oct 29. 2025, Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imefanikisha mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Rais Samia alisema kuwa Bajeti ya Serikali...
  15. K

    GE2025 Rais Samia: Tumefanya makubwa kuhakikisha taifa linarejea kwenye utulivu

    "Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi...
  16. Waufukweni

    GE2025 Samia: Tumeimarisha CAG na TAKUKURU, Hati Chafu zimepungua kutoka 10 mwaka 2021 hadi 1 kwa Miaka Minne

    Mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, Samia Suluhu, amesema, "Kwa upande wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, Serikali imejitahidi kuimarisha taasisi za mdhibiti, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ili ziweze kufanya kazi zake...
  17. M

    Ukaribu wa Mwamposa na Rais Samia, sioni ajabu washarika wa Mwamposa kupewa oda ya kufika kwenye kampeni za Mama

    Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi Kuna wale machinga wa kariakoo lazima waende ili tu kulinda maeneo yao, cha ajabu uchaguzi ukiisha, mgambo wapo...
  18. The Zanzibar Echo

    Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

    Kuna post ya mtu mmoja hapa JF jina namhifadhi anawataka Watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavyotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake. Huyu mtu alienda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikuwa wapuuzi kisa hawakupambana kuwa kama Samia. Namuuliza...
  19. The Father of All

    Kama CCM na Samia wanakubalika kama tunavyoaminishwa, inakuwaje wamuogope hata Luhaga Mpina

    Sisemi mengi. Kichwa cha habari kinajieleza. CCM itangazwe mshindi kwa vile tume imeishaipa ushindi.
  20. funaku

    Ubaya hujibiwa kwa wema alianza kuitukana CCM,akaja Samia na Sasa mtoto wake!

    Namkumbuka Padre mmoja aliwahi kunihubiria kuwa ushinde ubaya kwa wema. Yaani mtu mbaya anapokuletea ubaya usimjibu na waka usimtendee ubaya badala yake jikite kumpelekea wema. Tujibu Ubaya kwa wema zaidi... KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Back
Top Bottom