samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania mmenifurahisha, Samia aondoke la sivyo akikamatwa atatafunwa kama karanga. Tumechoka na hawa CCM

    Tumechoka na huyu Samia na wapumbavu wenzake, Huyo hana hata ile elimu ndogo ya form IV, amefeli kama walivyofeli police wake wauaji, wafiraji na wabakaji. Leo mmetutambua kuwa enough is enough, ameshaharibu na hatutaishia hapo, serikali ya CCM imetunyanyasa sana.....tumechoka. Niwatahadharisha...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri mfupi na muhimu kwa CCM na Samia

    Nawashauri CCM na Samia kusitisha uchaguzi, kupendekeza iundwe serikali ya mpito ikiongozwa na jaji Warioba, kuwaomba radhi watanzania na kutubia ili mambo yaishe. Mmeshindwa, mmekataliwa na mmeona wenyewe. Shukrani kama mtasikiliza na kuzingatia ushauri huu mfupi na muhimu katika wakati huu...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikatiba, Utawala wa Samia mwisho wake ni leo. JWTZ chukueni nchi na wakamateni kina Mafwele na wengine wote

    Kikatiba utawala wa Samia umefikia kikomo leo. Baada ya leo anapaswa kuachia kiti cha Urais maana si Rais tena. Kwa namna alivyoivuruga nchi na kuwavuruga Watanzania ikiwemo kuwaua huku akisigina Katiba tunaomba JWTZ mchukue nchi usiku huu wa leo au hadi kesho Pia tunawaomba muwakamate Mafwele...
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wito: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ifute Uchafuzi Mkuu, Isiharakishe Kumuapisha Samia

    Inatakiwa ndani ya siku saba baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Rais aliyetqngazwa kushinda anatakiwa kuapishwa. Baada ya kuvurugika kwa uchaguzi mkuu INEC isiruhusiwe kutangaza matokeo wala kuzamisha kuapisjwa kwa Rais. Wakiamua kulazimisha hawa vijana hawa ..ambao leo wamevunja mwiko...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia must go hasitulazimishe, watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi ili kubatilisha huu uchaguzi wa wizi

    Samia must go hasitulazimishe, watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi ili kubatilisha huu uchaguzi wa wizi
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mabango ya Samia yachomwa Masenze, safari ya kuelekea Ikulu inatengenezwa

    Wakuu, Kama inavyoonekana kwenye video, ni mwendo wa kuondoka na mabango ya Samuya tu, tunasafisha barabara na kurudisha hadhi yake stahiki. Jiji letu halipaswi kuwa na sura za Samuya hata kidogo kwa udhalimu alioacha uendelee kufanyika nchini. Safisha kila kitu chenye chembe chembe ya Samuya
  7. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Rais Samia akizungumza Na Waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura Chamwino Dodoma.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumekucha, Leo Ndio Leo, Ndio Ile Siku Tuliyo Isubiria Sana, Japo Wako 17, Ni CCM, Ni Samia! Huu Ndio Ukweli Wenyewe!

    Wanabodi Hauchi, hauchi, hatimaye kumekucha, leo ndio leo, ile siku ya siku tuliyoisubiri sana kwa miaka 5. Ninachokifanya hapa ni kuwapatia tena jf, ile the jf advantage of being the first to know, kuwa japo kuna wagombea 17 wa urais, ukweli wa mambo, mgombea ni mmoja na chama ni kimoja, ni...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hongera Samia kwa 'ushindwe' wa kishindo hata kabla ya matokeo!

    Hongera mama Samia kwa ushindi hata kabla ya uchaguzi. Kwa vile watanzania wote wanakupenda kiasi kuwa tayari kutoa uhai wako kwa ajili yako, hapakuwa na haja ya kukuchosha na kukuaibisha kwa uchaguzi ambao uliishashinda hata kabla ya kufa Magufuli kwa vile wewe ni chaguo la Mungu.
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni jeuri, kiburi, au ujinga kwa Samia kutojifunza toka kwa Magufuli?

    Mgombea wa kujiteua wa CCM, Samia Suluhu Hassan anahitaji msaada tena wa bure na haraka. Tokana na kuabudiwa kichawa na kizwazwa, anajiona kama muungu mtu. Ni ajabu hakujifunza kwa muungu wake John Pombe Magufuli aliyetenda makufuru hadi, watu tuliodhani wasomi na wazima, bila aibu wala woga...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukiiona Mwanza imekubali ujue ushindi unakuja. Hongera Rais Samia

    Mwanza imejitokeza kumpokea mgombea Urais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni nembo ya kukubalika nchini. Wapinzani wengi wa Samia walipambana kuitenganisha Kanda ya ziwa na Samia lakini imekuwa tofauti na kila la kheri kesho asubuhi na mapema kazi itakuwa imeisha.
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia asiposhinda kwa asilimia 99.99 nitashangaa

    Rais Daktari, profesa, al hajat, ustaadha, field marshal, generali, mtukufu, muadhamana nk nk nk Samia Suluhu Hassan asiposhinda urais kura ya wiki hii nitashangaa. Kwanza, anagombea na chawa na si binadamu. Pili, ni mtenda maajabu na miujiza kama kuweza kufuga na kuishi na machawa asikonde...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Akaunti ya DAUDI T BALALI pale X ni Mwanamtandao, Alihusika Kumteka BALOZI POLEPOLE , Leo katwt Samia ANASHINDA 83%

    Wakuu, Mnakumbuka huyu Mpuuzi Daudi Balali ,alitoaga Twiti yake alisema 2030 Uchaguzi utakua usotabirika Kwa CCM. Ni hivi huyu jamaani Mwanamtandaoo, na Ndie aliyemteka Mh Polepole . Tarehe 21/8/2025 Huyu Jamaa alisimamia Mpango wa kumteka Mh BALOZI POLEPOLE, baada ya kujihakikishia kua...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya mambo hata wasaidizi wa Samia huwa wanacheka kimya kimya

    GT. Kwamba nyakati kama hizi za digital age na hii ndo ahadi ya mgombea aha ha 😆 😄 😅 🤣 . Ivi tutakuja kurusha satellite kweli.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hamasa ya Wananchi Kushiriki uchaguzi na kumpigia Kura ya Ndio Rais Samia Ni kubwa sana Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wapiga debe Wanamharibia Rais Samia. Hawana Takwimu

    Wapiga debe Wanamharibia Rais Samia. Hawana Takwimu. Machawa yaliyokomaa hata hayajui yanaongea nini
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Samia anavotuma SMS za uchaguzi kwa nini na sisi tusitume za Maandamano?

    Kumekuwepo na Swali la Watu wa vijijini hawako kwenye mitandao ya kijamii, je watajuwaje kuhusu Maandamano? Je kwa nini tusianze kuhimiza watu wa vijijini na mijini faida za maandamano kupitia SMS moja kwa moja kwenye simu zao. Nawasilisha wazo teremshemi maeneo ya kimkakati ya kuhamasisha...
  18. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tatizo la Watanzania ni Uwajibikaji hata aje Rais kutoka wapi bado atalaumiwa

    Watanzania sisi ni watu wa kupenda kulaumu kuliko Kuwajibika nafikiri hili linaweza kua ndio tatizo kubwa sana la wananchi wa Tanzania. Mfano alikuepo Magufuli lawama zilikua kama zote hata ambao hawakumpigia kura malalamiko yalikua mengi sana. Rais Samia huyu hapa malalamiko kama yote. Ila...
  19. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kijiji chote cha Mji Mwema - Siha kijiji chatoka kuwasha taa ya Dkt. Samia

    Kijiji cha Mji Mwema wilayani Siha kimewaka kwa hamasa baada ya wananchi kuwasha taa za Dkt. Samia mara baada ya kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin. Katika mkutano huo wa kampeni, Dkt. Godwin aliwaeleza wananchi kuhusu kazi kubwa na mafanikio...
  20. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaumia sana kama mgombea urais Samia Suluhu akishinda na kutuongoza kwa miaka mitano ijayo

    Nimeamka na mawazo mengi sana juu yahombea huyu iwapo atshinda uchahuzi mkuu wa 2025 na kupata idhini yakutuongoza mpaka 2030 Nimekuwa nikisikiliza kampeni zake lakini zimekuwa hazina hoja wala mashiko SIONI NURU KABISA MUNGU IBARIKI TANZANIA
Back
Top Bottom