samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tumekusikia ila maneno yako yameongeza hasira zaidi na msukumo wa maandamano

    Samia huna aibu ndio maana unaendelea kusema uongo kuwa watanzania tumekupa ridhaa, watanzania gani muongo mkubwa wewe, sisi hatukutaki, hakukuwa na uchaguzi, hakuna kura zilipigwa za kukuweka madarakani ndio maana nakuita Samia na si Rais Maneno yako ya pole yanatia hasira zaidi, wiki 2...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu: Tutafufua vilivyotelekezwa baada ya kubinafsishwa

  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tuheshimiwe kama tunavyowaheshimu mataifa mengine

    "Kama taifa tunapenda tuheshimiwe kama sisi tunavyoheshimu mataifa mengine. Na katika kulinda maslahi ya nchi hakuna mbadala. Ni lazima tuhakikishe tunalinda utu, heshima na uhuru wetu." - Rais Samia Suluhu akihutubia na kufungua Bunge la 13
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia Wakati anatoa pole atuambie watu waliokufa ni wangapi kama ni watanzania mpaka sasa anajifanya haelewi

    Samia Wakati anatoa pole atuambie watu waliokufa ni wangapi kama ni watanzania mpaka sasa anajifanya haelewi.
  5. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia Suluhu Hassan: msiwe wabomoaji wa nchi yenu

  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tutaweka mazingira kuhakikisha tunakuza vijana kwenye uongozi

    Rais wa Jamuhuri ya muunano wa Tanzania Dkyt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutunia bunge la 13 kwa mara ya kwanza amesema serikali itaanza kukweka mazingira mazuri kwa ajiliya kukuza vijana katika uongozi na iatezesha vyuo nchini kusimamia masuala ya malezi na program za mentorship
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunajiandaa kuanza majaribio bima ya afya kwa wote

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Serikali inajiandaa kutoa huduma ya bima ya afya kwa wote ambayo itakua ni kuanza kwa mageuzi ya huduma ya afya nchini
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nitaunda Tume ya Maridhiano na Upatanishi ‘baada ya kujua kiini cha vurugu’

    Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
  9. Avith almachius

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Rais Samia uzinduzi wa Bunge la 13 imejikita kuwainua vijana

    Mama anaongea Sana leo Bungeni kuhusu Vijana na ametoa msamaha kwa Vijana waliofata mkumbo siku ya uchaguzi Na pia maridhiano ila kila kitu ni Vijana Genz mnaongelewa uku
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia

    Rais Samia amesema Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Oktoba 29 mamilioni ya watanzania walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BAKWATA na taasisi za kiislamu zampongeza Rais Samia kwa kushinda Uchaguzi, walaani vurugu

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mpoto: Daktari Samia wewe ni Profesa wa Uchumi

    Katika hafla fupi ya kuapishwa kwa Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa wziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika leo November 14, 2025 jijini Dodoma, Mwanamashairi na msanii maarufu kwa kughani Mrisho Mpoto ameonekana katika hafla hiyo akitumbuiza kwa kueleza sifa za Rais Samia.
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tutajarajie nini kwenye hotuba ya Rais Samia leo akifungua bunge na kumwapisha waziri mkuu mpya

    Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police, Vyombo vya...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhutubia na kufungua Bunge la 13, leo Ijumaa Novemba 14, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=qb1BTEzjtbI Pia soma: ~ Rais Samia kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu, leo Novemba 14, 2025 ~ Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwamposa kama ni Nabii wa Mungu wa kweli mbona alimuombea rais Samia na vurugu zikatokea?

    Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu. Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala., Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu? Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi kama Christopher Mtikila angekuwa hai Samia na wenzake wangeyafanya haya?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Mtikila alijulikana alivyowatikisa watawala akiwamo Nyerere mwenyewe. Je, ahgekuwa hai, kweli haya mambo yangefanyika au kuishia hivi?
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Samia si dini wala jinsia yake bali Samia mwenyewe

    Kuna watu unaoweza kuwaita wadini na maadui wa taifa wanaodhani kuwa rais Samia anachukiwa hasa anaposhauriwa au kukosolewa au kutopongezwa, kuabudiwa, na kuhadaiwa anapendwa. Hawa ambao naweza kuwaita wahuni na wajinga wa mwisho wanadhani Samia anachukiwa kwa sababu ya dini, eneo au jinsia...
  19. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Saini petition hii Toka shirika la haki za binadamu duniani ili kuilazimisha Dunia na jumuia zote kumuadhibu SAMIA kwa mauaji ya watanganyika

    https://www.amnesty.org/en/petition/demand-accountability-for-the-repression-in-tanzania/ Taka Uwajibikaji Nchini Tanzania Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, mamlaka za Tanzania zimekuwa zikinyamazisha kwa makusudi sauti za upinzani kwa kulenga wakosoaji wa serikali, waandishi wa habari, asasi...
  20. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu mpya akiwa ni Kati ya Hawa wafuatao basi Samia ajipange kuanguka Serikali yake

    hawa wafuatao mmoja wapo akiwa waziri Mkuu basi CCM haitakaa sawa itakuja kugawana vipande 1. Mwigulu Mchemba Huyu ni mwizi muongo muongo sana anaakula kwa kupitia hesabu na kutwaa kumdanganya Rais kuwa tutazoea tozo! akili yake ni kutaka Samia aanguke ili agombee yeye 2. Kabudi Huyu ni...
Back
Top Bottom