samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Serikali yako imekiri Corona ipo na bado inashiriki kuisambaza kwa kuruhusu matamasha

    SOCIAL DISTANCING Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha matangazo ya uwepowa Corona nchini ambayo yanahusishwa na "Kujenga Mazingira ya kupata misaaa" kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

    Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe. Pia soma > Mbowe awataka wananchi...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia ndiyo itakayoumiza sana Wanyonge. Hili tuendelee kukumbushana

    Ndani ya miezi yake michache ameendelea kunyonya watu wenye kipato cha chini na kufaidisha Matajiri. Kodi iliyooongezeka kwenye mafuta si rafiki kwa maskini. Ni kodi ya kinyonyaji,wizi na ulaghai mkubwa. Kodi kwenye miamala ni kodi hiyo hiyo endelevu ya kunyonya watanzania maskini. Bado kodi...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo matano yanayombeba Rais Samia Suluhu madarakani

    Wakati Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan ameshatimiza siku 100 akiwa madarakani, wachambuzi wa masuala ya diplomasia, siasa uchumi na wananchi wa kawaida wamesema ndani ya kipindi hicho yapo mengi ya kuigwa ambayo ameyafanya. Katika kipindi hicho ametajwa kufanya mambo mbalimbali ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hatuhitaji tena ziara zako za barabarani, hazina msaada wowote kwetu

    Kwanza kabisa napenda kukupa pole na majukumu ya kitaifa. Vile vile tunakuombea wewe na Serikali yetu katika utekelezaji mwema wa majukumu ya nchi ili kuinua uchumi. Mweshmiwa Rais katika muda mchache huu umeonuesha matumaini ya watanzania kupata maisha bora, Ajira na uchumi kuinuka tena...
  6. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli VPL ni kama iliisha tarehe 3 Julai 2021 mbele ya Rais Samia

    Timu zetu 4 kufanikiwa kwenda kushiriki mashindano ya CAF msimu ujao ni kama vile yamemaliza kiu ya kuwa bingwa kwa msimu huu. Mshindi wa kwanza na wapili wa VPL hawana tofauti kubwa maana tofauti kati ya zawadi ya mashindi wa kwanza na pili hairushi roho washindi wa pili, ni ndogo sana...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Wahariri leo 28.6.2021

    Wajumbe. Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani. JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini tupendekeze hapa maswali ambayo tungependa wahariri kamuulize mama . Japo siyo hayo lakini yenye mlengo...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Siyo vibaya viongozi wa dini kuwa wanasiasa

    Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba. Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taasisi za Dini zinazotoa huduma ya Afya na Elimu baadhi zinatozwa kodi kwa sababu zinafanya biashara

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali inazitoza kodi taasisi za dini zinazotoa huduma za afya na elimu kwa sababu baadhi zinafanya biashara na si kutoa huduma. Rais Samia ameeleza hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 wakatia akifungua mkutano mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristo...
  10. JamiiForums Tanzania Catherine Ruge: Rais Samia anawanyima Wazanzibar wenzake fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili

    "Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia na wapinzani, kubalini kuelewana kwenye hili la Katiba Mpya

    Facts - Ni wazi kuwa wapinzani (wa kweli), wanaharakati, CCM Zanzibar, CCM wapenda mabadiliko bara na watanzania wengi kwa ujumla wao wanataka mabadiliko ya katiba ili kuondoa changamoto nyingi za kisheria na kiutawala zilizopo sasa. - Ni wazi kuwa wazanzibari wengi (Mh. Rais akiwemo)...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia asifikiri kuwa mwanamke itavutia wawekezaji

    Nilimsikia Rais wetu Samia Suluhu akithamanisha uwepo wake kama Rais Mwanamke katika kuvutia vitega uchumi toka nje. Hiki ni kiinimacho tusije ruhusu uwekezaji usio na tija kwa maendeleo ya nchi. Lengo letu sio kua na wawekezaji wengi tu. Samia asije legeza kamba akaanza kutoka kwenye misingi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue Wanaopotosha Ajenda kuhusu Katiba Mpya

    Kuna upotoshaji mkubwa dhidi ya hoja za wanaoitisha kurejelewa kwa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya. Mama wamemfanya kuamini kuwa hizo ni chokochoko. Katiba ni haki ya raia. Kudai katiba mpya dhidi ya iliyopo yenye mapungufu hakuwezi kuwa ni chokochoko. Hoja hupingwa kwa hoja. Katiba...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kinachowauma CHADEMA sio Katiba Mpya bali ni Mbowe na Lissu kutoalikwa Ikulu

    Ndugu zangu, Kwa wataalamu wa Saikolojia wanaelewa, Chadema walifurahia SSH kuwa Rais na haikupita wiki wakaandika barua kuomba kwenda Ikulu bila kusema dhumuni la kwenda Ikulu. Waliamini wao ni muhimu kuliko yeyote hapa nchini. Muda umepita sasa, hawajaalikwa, wamekasirika, wana hasira...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoka nia ya kukutana na vyama vya upinzani hadi "Ngoja tuimarishe uchumi kwanza"

    Moja ya kauli za mwanzo kabisa za Rais Samia ambazo zilileta msisimko nchini ni kusudio lake la kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani. Msisimko ulitokana na ukweli kwamba Rais Magufuli hakuwa na mpango wa aina hiyo kabisa, badala yake mkakati wake ulikuwa kuviua kabisa vyama vya upinzani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania DC Abdallah Mwaipaya, nakushauri uende taratibu

    Hongera sana DC wa Mwanga Abdallah Musa Mwaipaya kwa Kuja na Moto Mkali huko Mwanga ila Krav Maga nakushauri ipunguze hiyo Spidi yako ya kutaka Sifa za haraka kwa Mama zitakuponza na utaharibikiwa mapema sana tu.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

    Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu. Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara. Amewataka wananchi kutokubali na kutunza amani iliyopo. Amesema hayo akiwa Morogoro kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, angalia viwanda hivi vilivyofungwa hapa Morogoro

    RAIS Samia. Morogoro tunashida hizi; KIWANDA CHA MAZAVA KUFUNGWA Kiwanda hiki kilikuwa kinatengeneza nguo(jezi), kiliajiri zaidi ya watu elfu kumi(10000) Kwa sasa kimefungwa kwa kile kinachoelezwa kuwa kutokuelewana na serikali ya awamu ya tano katika suala la ulipaji kodi. Kimsingi hakuna...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi

    Dkt. Ndumbaro sababu hizi hazitoshi kuhamisha FITI-Moshi Mnamo Julai 05, 2021 waziri wa Utalii na maliasili Mhe. Dkt. Ndumbaro [Wakili na mmiliki/Partner wa Meleta and Ndumbaro Advocates iliyopo Dar es salaam ] alipotembelea Taasisi ya Mafunzo ya Viwanda vya Misitu (Forest Industries Training...
  20. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Ziara ya Rais Samia Mkoani Morogoro

    Wakuu salaam, Leo Julai, 7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili katika maeneo ya Msamvu manispaa ya Morogoro, Dumila wilayani Kilosa na wilaya ya Gairo. Aidha Mkuu wa mkoa wa Morogoro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…