samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya siku 100: Tunapoachana kwenye Mataa na Rais Samia

    Mama Samia huko uliko pokea salamu hizi. Katika siku 100 zako za mwanzo ulianza vizuri ukitupa matumaini mapya nasi tukakupongeza. Lakini baada ya hizo kupita ghafla umetubadilikia. Ama kwa hakika unayoyafanya sasa si mageni hapa duniani na huu wimbo unakuhusu: "Neema alimwambia Chidumule...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, umerithi wasaidizi hivyo umerithi miiba pia

    Kutokana na michezo ya kisiasa inavyoendelea nchini, sisi wananchi tunaona kabisaa wasaidizi ama washauri wa Rais wanamzunguka na wanahakikisha anaenda kuanguka kwenye uchaguzi mkuu 2025. Issues ambazo seems unazungukwa ni hizi hapa Wasaidizi uliohama nao kutoka Awamu ya Tano Katiba Mpya...
  3. JamiiForums Tanzania Ile hela ntakutumia kwenye Frester utaipokea Nyegezi. Ahsante Rais Samia unatusikia lakini?

    "Ile hela ntakutumia kwenye FIKOSHI, utaipokea Buzurugwa, Ahsante." Hivi ni vibonzo vilivyosambaa mitandaoni hivi sasa, Yawezekana ikawa ni kweli huu utaratibu wa kutumiana pesa manually ama kianalojia ukarejea upya. AMA inawezekana watu wanajaribu kufikisha ujumbe kwa njia hii ya kuwa tunarudi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuzuru nchini Burundi 16 Julai, 2021

    Masala Sayi Chuo Kikuu cha Iringa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa na ziara ya kikazi nchini Burundi kesho tarehe 16, Julai 2021. Ziara hiyo imekuja kama mwaliko wa Rais wa Taifa hilo Mh. Evariste Ndayishimiye.Taarifa iliyotolewa na Mkurungezi...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu na wachumi wenzako mnalihujumu taifa, rudini mezani

    Nafikiri Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba na wataalamu wenzake wameshindwa kufanya utafiti makini kujua sababu kuu ya Benki kuanguka huku soko la miamala ya mtandaoni likiimarika kwa kiwango kizuri. Wao kwa uelewa wao wameaminishwa kwamba miamala ya kibenki imepungua kwakuwa tozo za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya wanyonge: Bank charges vs kodi ya uzalendo ya Mama Samia

    Kweli serikali hii imekosa great thinkers wa kuisadia yaaani it does not make sense mfano natuma hela kwa mzee wangu Crdb million 4 nakatwa 11,800 arafu mjinga mmoja na akili za ajabu anakwambia kutuma million 4 kwa simu ni 15,000 or 21,500 Sasa hapo bado uliyemtumia hajaenda kutoa. Huu ni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za CCM chini ya Rais Samia kwa Watanzania wa hali ya chini ambao wanategemea fadhila za watendaji wa Serikali

    Tumeshuhudia taarifa, michango, na report nyingi zikitolewa kuhusu siku 100 za utendaji wa mh. Rais Samiah Suluhu Hassan. Sijasikia popote yakielezwa mapungufu ktk siku hizo 100 zaidi ya pongezi nyingi zilizotolewa. Mimi naweka bandiko hili hapa kuonyesha mapungufu ndani ya siku 100 za mama...
  9. JamiiForums Tanzania IMF: Tanzania lazima iweke wazi takwimu za COVID-19 ili ipate msaada wa dharura

    Tanzania inahitaji kuweka wazi data ya ueneaji kwa Covid-19 kabla ya kupata idhini ya mkopo wa dharura wa Dola 574 milioni kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Maamuzi hayo yanatokana hali ya kutojulikana kwa takwimu halisi za ugonjwa huo tangu Serikali ilipoacha kuziweka wazi Mei mwaka 2020...
  10. JamiiForums Tanzania Kumekucha bomoabomoa Ubungo-Kimara ndani ya 90m za hifadi ya barabara

    Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara. Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama...
  11. JamiiForums Tanzania DKT. Mollel: Rais Samia ametoa bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)

    "Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

    Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler! Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Serikali yako imekiri Corona ipo na bado inashiriki kuisambaza kwa kuruhusu matamasha

    SOCIAL DISTANCING Hakuna asiyejua hii ndo key element ya kupunguza maambukizi ya magonjwa yanayofanana na Corona. Nimeanza na hilo Tangazo hapo juu ili hili suala lieleweke kwa sababu tukiacha matangazo ya uwepowa Corona nchini ambayo yanahusishwa na "Kujenga Mazingira ya kupata misaaa" kutoka...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Kaka wa Freeman Mbowe, Charles Mbowe afariki Dunia

    Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada ya kupokea taarifa za kifo cha Kaka yake aitwaye Charles Mbowe. Pia soma > Mbowe awataka wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia ndiyo itakayoumiza sana Wanyonge. Hili tuendelee kukumbushana

    Ndani ya miezi yake michache ameendelea kunyonya watu wenye kipato cha chini na kufaidisha Matajiri. Kodi iliyooongezeka kwenye mafuta si rafiki kwa maskini. Ni kodi ya kinyonyaji,wizi na ulaghai mkubwa. Kodi kwenye miamala ni kodi hiyo hiyo endelevu ya kunyonya watanzania maskini. Bado kodi...
  16. JamiiForums Tanzania Mambo matano yanayombeba Rais Samia Suluhu madarakani

    Wakati Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan ameshatimiza siku 100 akiwa madarakani, wachambuzi wa masuala ya diplomasia, siasa uchumi na wananchi wa kawaida wamesema ndani ya kipindi hicho yapo mengi ya kuigwa ambayo ameyafanya. Katika kipindi hicho ametajwa kufanya mambo mbalimbali ya...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hatuhitaji tena ziara zako za barabarani, hazina msaada wowote kwetu

    Kwanza kabisa napenda kukupa pole na majukumu ya kitaifa. Vile vile tunakuombea wewe na Serikali yetu katika utekelezaji mwema wa majukumu ya nchi ili kuinua uchumi. Mweshmiwa Rais katika muda mchache huu umeonuesha matumaini ya watanzania kupata maisha bora, Ajira na uchumi kuinuka tena...
  18. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli VPL ni kama iliisha tarehe 3 Julai 2021 mbele ya Rais Samia

    Timu zetu 4 kufanikiwa kwenda kushiriki mashindano ya CAF msimu ujao ni kama vile yamemaliza kiu ya kuwa bingwa kwa msimu huu. Mshindi wa kwanza na wapili wa VPL hawana tofauti kubwa maana tofauti kati ya zawadi ya mashindi wa kwanza na pili hairushi roho washindi wa pili, ni ndogo sana...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Wahariri leo 28.6.2021

    Wajumbe. Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani. JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini tupendekeze hapa maswali ambayo tungependa wahariri kamuulize mama . Japo siyo hayo lakini yenye mlengo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Siyo vibaya viongozi wa dini kuwa wanasiasa

    Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba. Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…