samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ili ku-deal kisawasawa na watu hao, unda Tume ya kijaji kuchunguza mauaji ya MKIRU, kina Ben Saanane, Azory, kushambuliwa kwa Lissu

    Kwa mtazamo wangu, hili kundi lina agenda moja ya kufanya viongozi wengine wote waliopita waonekane hawatoshi mbele ya Mwendazake akiwemo Mama aliyeko ofisini leo hii wakati si kweli. Ingawa siikubali CCM na viongozi wake tangu nimeanza kufuatilia siasa za nchi hii, ila siungu mkono huu...
  2. JamiiForums Tanzania Ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yoyote. Rais Samia hakupaswa kulalamika yeye kutosikilizwa . Ni

    Sheria mama ya taifa letu ipo wazi kabisa na imeweka wazi kuwa rais hatalazimika kufuata ushauri wa mtu yoyote yule. Isipokuwa kama imetanabaishwa kwenye katiba ya JMT. Hii ipo wazi kwenye ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT. Sasa kama rais wetu analalamika kuwa ushauri wake haukufuatwa ina maana...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

    Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli. Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

    Rais SSH amekuwa rais wa viwango tangu aingie madarakani 2021, Bahati mbaya ameangukia kwenye kundi lenye uroho wa Madaraka na Wapiga dili wa tangu kale. Bahati mbaya SSH amekuwa akiamini ndio kundi lenye kumshauri vizuri,kumbe ni kundi lenye Maslahi binafsi haliamini Kama Samia anaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa hali ya chini wanamchukia sana Rais Samia?!

    Wiki jana nikiwa safarini kuelekea magharibi mwa Tanzania nilijipa kazi ya kutafiti uungwaji mkono wa Rais Samia kwa wananchi anaowaongoza. Asilimia 90 ya watu wa hali ya chini hawamkubali Samia! Na ndani ya hizo 90% 50 yao hawataki kabisa hata kulisikia jina lake.Iliniogopesha! Hali hiyo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Yaandaliwe Mapokezi makubwa kwa Rais Samia tokea Marekani

    Haipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa. Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya mafanikio makubwa. Kwa hakika mama Samia si wale wengine. Huyu ni msikivu na mwenye mawazo huru (open...
  7. JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea: Samia analiunga daraja la WAMI bila kelele, kutukanana na watu au kutafuta kiki. Kuongoza nchi ni sayansi

    Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa. Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa. #SHH2025/30 #MamaMaendeleo.
  8. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia anashaurika na msikivu awafute kazi ya uwaziri January Makamba na Nape, ni mawaziri mzigo kwa taifa

    Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama lingekamilika Juni 2022 lingekuwa msaada mkubwa kwa Watanzania na kuleta ahueni ya maisha maana gharama za...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

    Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19. Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema...
  10. JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Rais Samia

    Akiwa anasoma, kuna afadhali kidogo. Lakini akiwa anaongea kutoka kichwani ambayo hayajaandikwa [hajaandikiwa], anapata shida sana. Yaani Magu na Hangaya walichaguana wote wakiwa weupe kwenye hiyo lugha pendwa. Muangalie na msikilize kwenye video hapo chini. Yale ambayo hayajaandikwa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

    Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli. Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
  12. JamiiForums Tanzania President Samia Hassan: It was tough working with Mr Magufuli at times

    Ms. Hassan, who is soft-spoken and comes across as reserved, said that as vice president, it was “tough” working with Mr. Magufuli at times, and that she argued with him on several issues, including his Covid denialism. She rebutted the idea that he had succumbed to Covid and said he had died of...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma rambirambi Afrika Kusini kwa mafuriko yaliyoua watu zaidi ya 300

    Kufuatia kutokea kwa mafuriko yaliyosababisha zaidi ya vifo 300 katika Jimbo la KwaZulu-Natal Nchini Afrika Kusini, siku chache zilizopita, Rais Samia Suluhu amtuma salamu za rambirambi Rais wa taifa hilo, Rais Cyril Ramaphosa. “Kwa niaba ya Serikali na Watanzania natuma salamu za rambirambi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akizungumza na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala D. Harris

    Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamala D. Harris, Makamu wa Rais wa Marekani, leo Aprili 15, 2022 katika Ikulu ya Washington DC Nchini Marekani. "Utawala wetu umedhamiria kwa dhati kuimarisha ushirkiano na Tanzania na nchi za Kiafrika kwa ujumla" - Kamala Harris “Nashukuru sana...
  15. JamiiForums Tanzania The secret of Samia Suluhu Hassan’s extraordinary success: her understanding of the distinctive features of Tanzania politics

    SAMIA may not always have been the most popular Tz politician,but she always maintained high public trust. Many features give political leaders legitimacy in citizens' eyes: competence, care, trustworthiness. Academic research and opinion polls show that SAMIA has always scored very highly on...
  16. JamiiForums Tanzania Nyambura Moremi; Mwanasayansi bora aliyefutwa kazi na Rais Magufuli kwa kusimamia ukweli kuhusu vipimo vya virusi vya Corona

    Mama Samia amejibainisha kama Rais anayeheshimu utaalamu. Samia ni tofauti na JPM, JPM japo alisoma sayansi mpaka PhD (kama ni kweli) aliyofundishwa na waalimu wake yote aliyakataa akiwa Rais. Nyambura Moremi ndiye alikuwa akishughulika na kupima virusi vya corona, na kutoa kwake taarifa za...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi jioni ya Aprili 14, 2022 kama ifuatavyo: Amemteua Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD), Bi. Slaa ni Afisa Mwandamizi katika Kampuni ya Picenaterhouse Coopers PWC...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa sana alilolifanya Rais Samia la kusema vitu vitapanda bei hadharani linazidi kutugharimu sana mtaani!

    Nashangaa sana kwakweli Rais alifanya mistake kubwa sana kutamka hadharani kua vitu vitapanda bei, hii kauli yake inazidi kutugharimu sana, mamlaka za serikali ziko kimya watu wanapandisha bei hovyo, tukianza na swala la nauli, nauli baadhi ya sehemu zimepanda 100% wakati mafuta...
  19. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Katiba Mpya (Sehemu ya kwanza)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN (SEHEMU YA KWANZA) 🔵KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️ Tabata,Dar es salaaam stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA Shikamoo mama,Pole na majukumu mazito...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Picha za Walinzi wa Rais Samia walivyokuwa awali na walivyo sasa anisaidize nazo

    Kuna Wawili kana sijakosea walipokabidhiwa Majukumu walikuwa kama Fidodido tu, ila naambiwa sasa wanakaribia kufanana na Mapipa ya SIMTANK. Na mwenye Picha za waliokuwa Walinzi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli kabla hajafariki dunia mwaka Jana na walivyo sasa tafadhali aniwekee kwani nataka kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…