samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kile ambacho wengi wenye akili tunataka afanye! Kwa hili anastahili pongezi

    Kwa miaka mingi sana Tanzania tumekuwa tunalalamika jambo moja kuu, nalo ni kwamba, pamoja na kuwa na maliasili na utajiri mwingi ila nchi yetu hasa wananchi wamekuwa masikini sana! Mjadala huu umezungumzwa na kipindi kirefu sana na moja ya sababu ambazo zimekuwa zikitolewa kwa Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Wazo lenye mantiki: Kama mabeberu ni watu wema wamshinikize rais Samia kutengeneza katiba mpya

    Jambo ambalo mabeberu huwa wanapigia kelele kwa muda mrefu ni kushirikiana na mataifa yenye tawala zenye demokrasia. Mkiwa kwao mabeberu tayari mmetoa ujumbe kuwa kumbe demokrasia yetu hapa nchini ina mapungufu makubwa. Kwa hiyo tunahitaji katiba mpya ili kuondoa hayo mapungufu. Sasa kama...
  3. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Kwa Bidii za kujenga Uchumi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye bidii za kichumi huko USA Mama anaupiga mwingi sana. Kazi na bata vinakuja tuvumilie kidogo nchi inafunguka Huu uzi ni wa kusifu wenye stress subirini hadi sherehe za IDD
  4. B

    JamiiForums Tanzania A New Day for U.S.A -Tanzania Relations : H.E. Samia Suluhu Hassan, President of Republic of Tanzania

    LIVE / MUBASHARA : 25 April 2022 District of Columbia A New Day for U.S.-Tanzania Relations: H.E. Samia Suluhu Hassan, President of Republic of Tanzania the Wilson Center Africa Program for A Conversation with H.E. Samia Suluhu Hassan, President of the Republic of Tanzania. President...
  5. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wachovu acheni kumsakama Rais Samia!

    Kuna kundi la wanasiasa, wafaidika na sera za yule jamaa yetu aliyetangulia mbele za haki, hawaishi maneno maneno kumsakama Mama Samia. Wanamsakama utafikiri wataenda kumfufua marehemu amalizie ngwe yake ya miaka minne iliyobaki. ACHENI UNAFIKI! Maneno maneno.... oooh madeni yanazidi.. mara...
  6. JamiiForums Tanzania Matunda ya Helicopter ya Nape Nnauye

  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo wazungu wamependa falsafa na uongozi mahiri wa Rais Samia, Je, wamemnunua kabisa?

    Tanzania tunatabia ya kupuuza viongozi wetu ila Ulaya wanawahitaji sana viongozi wetu! Ilikuwa Kwa JPM nchi kadhaa wananchi wake walisikika kumtaka akaongoze nchi zao hadi huko Ulaya na American Tuna Raisi Samia sasa, Mbunifu na mahili kuongoza na kuelekeza, ni mwanademokorasia haswaa na hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Umoja party walalamikia kucheleweshewa usajili, kumgongea hodi Rais Samia

    Chama cha Umoja Party kiliomba usajili wa muda tangu April 2021 na kimeona kuna dalili za kukwamishwa licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kujibu mapingamizi juu ya rangi ya bendera na muonekano wa nembo hivyo kimepanga kwenda kumuona Rais Samia ili kupata haki ya usajili katika ofisi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kisiasa tupo vizuri, leo wanangu wamejipanga na Mabango yao nikawaambia nimewaona, nikawapungia Mkono

    Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri. Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini. "Nimeunda timu ndani ya vyama vya siasa, tumeweka Jeshi la...
  10. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipigania maslahi ya taifa lake na wananchi wake. Mama Samia anapigania maslahi ya wanaCCM wajanja na mabeberu

    Nini kinaendelea hapa? Ni madili makubwa kwa ajili ya wanaCCM wajanja na wapigaji. Kwani haya makubaliano binafsi ya Rostam Azizi na wafanyabiashara wa Usa mpaka rais wa JMT awepo? Kuna kitu hapa ambacho hayati JPM asingekubali kifanyike.
  11. JamiiForums Tanzania Mfahamu Rais Samia Suluhu Hassan na dira yake ya maendeleo

    Nchi ya Tanzania imekuwa ikiongozwa na chama cha CCM katika kipindi kisichopungua miaka 50,Tanzania hii imepiga hatua za kimaendeleo kwa vipindi kutofauti kutoka kwa rais mmoja kwenda kwa rais mwengine katika vipindi vya miaka mitano yenye vipindi viwili kwa kila mmoja huku sera zikiwa ni kutoka...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali awamu ya sita inalipa mishahara mapema kabisa tarehe 22, imevunja rekodi ya Hayati Magufuli wa akilipa tarehe 25 mpaka 27. Hongera Rais Samia

    Mambo mengine kwa kweli unaweza kusema ni ndoto. Ilikuwa kawaida watumishi wa umma kuanzisha nyuzi za kuuliza mishahara kama imetoka, nyuzi hizo hapa JF zimekufa kifo Cha asili (natural death). Mama Samia analipa mishahara mapema kabisa kuliko Rais yeyote tangu nchi ipate uhuru. Hakika anajali...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ujumbe alioukimbia Rais Samia nchini US apokelewe nao nyumbani arudipo

    Yasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake: Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi. Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.
  14. JamiiForums Tanzania Utoroshwaji wa rasilimali za taifa letu uliofanyika awamu ya nne umerejea kwa kasi awamu hii ya Rais Samia. Watanzania tutaibiwa sana wakati huu

    Mtu anakiri bila aibu kuwa alitorosha mawe 11 ya ruby yenye thamani kubwa halafu mnanegotiate nae nini? Kwanini msiyapokonye na kuyarudisha hapa Tanzania? Haya je hilo la bil 276 alilolitorosha hivi majuzi? Awamu ya Jakaya ndio kipindi tuliibiwa? 👇...
  15. B

    JamiiForums Tanzania President Samia Reclaiming our Future | WBG Spring Meetings

    23 April 2022 LIVE : MUBASHARA : Mh. Rais Samia Suluhu Hassan : Maendeleo ya Watu yanayolenga katika maji safi, elimu na fursa kwa wote ni muhimu sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Benki ya Dunia Bw. David Malpass katika mjadala juu ya...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

    === Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki, Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima? Hebu jiulize...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia kukutana na Baba Mzazi wa Rihanna tunafaidika vipi kama Taifa?

    Wasalaam Mtanzania Mwenzangu! Naomba uitikie KILA KITU KITAPANDA BEI! Nimepita mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali zinazoendelea hapa Nchi na ulimwenguni kwa ujmla. Na nisikatae kwa Juma moja saivi na siku kadhaa kumekua na taarifa inayosemwa sana mtandaoni ni Juu ya ROYAL TOUR! Nikiwa napita...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ombi: Usambazaji wa Picha za Rais Samia Mitandaoni akiwa Marekani ziendane na 'Direct Economic Impact' Mifukoni mwa Watanzania

    Naanza kuona taratibu Nguvu Kubwa inatumika kumuonyesha Mheshimiwa Rais Samia akikubalika zaidi na Wazungu (hasa hasa hawa Wamarekani) na kwamba aliyekuwa Boss wake hakuliweza au hakulifanikisha hilo ila kwa bahati mbaya mno Nguvu hiyo hiyo haitumiki Kuwafafanulia Watanzania ni jinsi gani Ziara...
  19. JamiiForums Tanzania Rais SAMIA awaacha hoi Wazungu Marekani.

    Fuatilia kupitia link hii:
  20. T

    JamiiForums Tanzania Ikitokea 2025 Rais Samia akatangaza nia, nitamchagua kwa sababu...

    Ikitokea Mungu katuongoza na kufika salama 2025 na ikatokea Rais Samia akatangaza nia ya kugombea Urais kupitia CCM nitamchagua bila kupepesa macho, kwa sababu: i) Anajiamini. Licha ya kuwa ni mwanamke katika jamii ya mfumo dume lakini anajiamini na anaamini anaweza. Kujiamini ni moja ya njia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…