samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wasifu/Historia fupi ya Samia Suluhu Hassani. Aliishia kidato cha nne, Mwaka 2000 hakujua kufunga Ushungi, ni mwanaraktati

    Salaam Wakuu. Baba yake Mwalimu Mama yake Mama wa Nyumbani Leo nimeona nipost hapa Historia kwa ufupi sana wa Samia Suluhu Hassan. Yeye ni Mwanahabari, hakujua kifunga Ushungi, wanaume walikuwa wana mdhalilisha kwa kumuita kigego, ni mtu ambaye yupo haraka yupo mbele ya wakati, anajua kusoma...
  2. JamiiForums Tanzania Moses Machali, bila kutumia busara za kiuongozi, anguko lako la kisiasa litatokea Bukoba. Samia anataka majadiliano, wewe umefunga maduka Wilaya nzima

    Moses Machali anafanya Siasa au uongozi wa kitoto kitoto. Viongozi hukaa na kusikilizana na kushauriana. Huyu anaenda kwa viongozi anaanza kuwatukana na kuwadharau, hajui humo ndani ndio Kuna kura za wananchi, wakiamua kukichafua, hiyo kagera ataiona ya moto Huyu ni mabaki ya wale waliokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

    Nyumba hii ambayo ni mali ya Mary Victor Mahundi, mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema la Dar es Salaam imepigwa mnada kwa Tsh. Milioni 30 ili kufidia deni la benki la Tsh. Milioni 5.2 ambalo alikuwa akidaiwa mume wa mwanahabari huyo. Inaelezwa kuwa nyumba hiyo iliyopo Tabata, Kata ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kunusuru zao la korosho

    Desemba 1, 2022 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani baada ya maadhimisho hayo alisimama na kusalimiana na Wananchi wa Mnazi mmoja mkoani Lindi wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Mtwara. Dkt. Samia Suluhu alitoa nafasi kwa mbunge wa Mtwara kutoa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Milioni 960 za sherehe ya Uhuru zikajenge mabweni shule nane za wanafunzi wenye mahitaji maalum

    NB: Ya Magufuli ni yake Samia. ==== Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru inayoadhimishwa kila Desemba 9, zipelekwe Ofisi ya Rais TAMISEMI na zitumike kujenga mabweni katika shule nane...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Vyuo Vikuu Duniani, watu waliyopewa Udaktari wa Heshima wasitambulishwe kama ‘Doctor’

    Ndio maana hatukusikia ‘Doctor Julius Nyerere’ japo alikuwa na doctorate za heshima zaidi ya sita. Kwa mujibu wa wanataaluma na mapokeo ya vyuo vikuu duniani wale waliopewa doctorate za heshima hawapaswi kuitwa doctors kama wale waliosomea PhD. Soma hapa: Should Recipients of an Honorary...
  7. JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

    Mbunge wa Nzenga Vijijini Dr. Hamisi Kigwangalla kupitia mtandao wa twitter amehoji kwanini Serikali imenunua mabehewa “used” Amesema “Hili behewa moja (tena used) limenunuliwa kwa sh ngapi? Tumeambiwa yapo haya mabehewa 54, yamenunuliwa kwa us$ 59mn. Kwa hiyo behewa moja ni us$ 1,092,592...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Shaka ni mpwa wa Rais Samia? Na kama ni kweli CCM mmebariki nepotism hii ndani ya chama?

    Niko Zanzibar kutafuta namna ya kuufanya mkono uende kinywani. Katika stori mbili tatu mwenyeji wangu kagusia kuwa Shaka ni mpwa wa rais Samia. Nimestushwa sana na hiyo kitu ambayo mwenyeji wangu ananiambia kuwa kwa hapa Zanzibar inajulikwna na kila mtu. Hebu ndugu wadau nijuzeni. Habari hii...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

    Wanabodi, Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama. Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanawake milioni 44 wamepoteza ajira Afrika

    Takwimu zinaonyesha wanawake milioni 44 wamepoteza ajira barani Afrika hadi kufikia mwaka 2021, huku idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi Tanzania ikiongezeka kutoka asilimia 21.5 mwaka 2005 hadi kufikia asilimia 37 mwaka 2020. Hayo yamebainishwa leo Jumamosi Desemba 3, 2022 na Rais wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Uamuzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku shahada ya udaktari wa heshima Rais Samia Suluhu ni uamuzi sahihi hata hivyo wamechelewa

    ==== Uamuzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku shahada ya udaktari wa heshima Rais Samia Suluhu Hassan ni uamuzi sahihi sana kwa vigezo vingi pamoja na kwamba umekuja kwa kuchelewa, Kawaida huwa kunakuwa na sababu mahususi inayoongoza ambayo kimsingi huwa 'legacy' ya Kiongozi husika...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashauri umuhimu wa kusikiliza watangulizi lakini hailazimiki kufata matakwa yao. Akemea udikteta kwani hufupisha safari

    Rais Samia leo ameongelea ushauri ambao anaweza kuwapa wanawake viongozi wa sasa. Rais Samia amesema wasijikite kwenye misingi ya uongozi ya chuoni pekee. Ni muhimu kutambua na kujua lengo na ni muhimu kuwa mnyenyekevu ikiwemo kuwasikiliza watu zaidi na kuzungumza kidogo. Rais Samia kasema ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kilichotokea kati ya Hayati Magufuli na Rais Paul Kagame, Rais Samia alienda rekebisha nini?

    Walipoanza ilionekana kana kwamba hawa jamaaa ni marafiki sana but mambo yalikuja badilika. Kagame kama Magufuli hana rafiki wala adui wa kudumu. Kuna sehemu maslahi ya hizi nchi mbili yalipishana. Kagame akaamua kunyamaza maana alishaambiwa Magufuli alikuwa anamlia timing ajichanganye tu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, ACT Wamkaribisha kwa Shangwe Dkt. Samia Suluhu mkoani Lindi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo alishiriki kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ambapo kitaifa yalifanyika mkoani Lindi. Mapokezi ya Rais Samia mkoani Lindi yalihudhuriwa na wananchi mbalimbali wakiwemo wananchama wa vyama vya Upinzani kama CHADEMA...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UWT: Tunaziomba taasisi mbalimbali duniani zimpe Rais Samia tuzo

  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani katika viwanja vya llulu Mkoani Lindi leo Disemba 1, 2022 Hotuba ya Rais Samia Suluhu Tunapozungumza magonjwa ya UKIMWI na VVU tunazungumza muda wa miaka 30 tangu yalipoonekana...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Nape na Vijana wa Lindi mtaendelea kudeki Barabara za Lindi hata Rais Samia akimaliza ziara yake huko?

    Mkimaliza Kuzideki hizo Barabara za Mkoa wa Lindi (hasa za hapo Mjini) kabla ya Ziara ya Rais Dk. Samia hakikisheni hamsahau pia na Kudeki Akili zenu ambazo yawezekana kutokana na Kuchafuka ndiyo zinastahili Kudekiwa zaidi ili zisafishike hata kuliko hizo Barabara. Kwa anayetaka kuona Waziri...
  18. JamiiForums Tanzania Utata wa Mabehewa 'Mapya' ya SGR yaliyowasili ulishamalizwa kitambo na Rais Samia, msiwe na shaka hatujapigwa!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa". Dunia nzima, issues za Afya, Elimu, Maji, Umeme, Gesi, Usafiri na Usafirishaji ni issues zenye maslahi makubwa sana kwa taifa, hivyo leo tunaendelea na ile issue ya mabehewa yetu yaliyowasili hivi...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Shahada ya heshima kwa Rais Samia sio sawa

    Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande. Hakuna umeme Hakuna maji Mbolea haipatikani Hakuna ajira Tozo zimezidi Deni la taifa linaongezeka Kasi...
  20. JamiiForums Tanzania Wasifu kwa minajili ya kutunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi kwa Rais Samia Suluhu

    Mheshimiwa Mkuu wa Chuo Kwa heshima na taadhima, pia kwa unyenyekevu mkubwa,ninaomba niwasilishe taarifa kumhusu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwa minajili ya kuifahamisha hadhira hii kwa nini mwisho wa maelezo haya nitakuomba umtunuku Shahada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…