samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Semina ya viongozi wa Rais Samia ilikuwa ni ufujaji wa fedha za wanyonge!

    Labda kama walikua wanajipongeza kwa namna wanavyokula kulingana na Kamba zao. Hayati Magufuli (JPM) hakuitisha cha Semina wala nini, lakini watu walichapa kazi, Pesa zilitokewa na kufika, Kwa JPM ulikua ukila Pesa yake utaitolea kwenye Tundu lolote la mwili wako. Kwa JPM watumishi wabovu...
  2. JamiiForums Tanzania Zaytun Swai amuomba Rais Samia mashamba yafufuliwe ili kuinua uchumi wa Arusha

    MHE. ZAYTUN SWAI AMUOMBA RAIS SAMIA MASHAMBA YAFUFULIWE ILI KUINUA UCHUMI WA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum CCM - Arusha na Mjumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge Mhe. Zaytun Swai amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufufua Mashamba ya Maua na...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenendo wa siasa za CHADEMA na Rais samia kupitia CCM. Nani anapoteza nani anapata kati ya CDM na CCM?

    Simple sana. Anayepatia ni CDM, anayepoteza ni machawa wa CCM wala sio CCM. Hii ni kama kusema mwenendo wa siasa hizi ni CDM vs Machawa wa CCM. Kuna uzi humu nimeandika kwamba, adui mkubwa wa CDM ni Polisi na wala sio CCM. Polisi kwa namna nyingine tunaweza kuwaita ni machawa wa CCM...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni binadamu mwenye dalili zote za kutufikisha nchi ya ahadi. Mkimpuuza huyu itapita miaka 100 hajapatikana mwingine!

    Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani. Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa usafirishaji (Bodaboda) wakimsindikiza Rais Samia Arusha

    Msafara wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa Jijini Arusha wakisindikiza Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akielekea Usa River kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya Mkutano wa Faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri Chanzo: Ikulu
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kioo cha kujitazama kwenye uongozi kwa vizazi vingi vijavyo

    Picha ya Rais Samia sio tu itabaki kumbukumbu kwenye kuta baada ya kustaafu kwake bali itajenga taswira ya kudumu mioyoni mwa watanzania na watanzania kutumia kama kioo cha kutazamia uongozi kwa vizaji vijavyo. Na hii ni kusema kwamba uongozi wake utaacha alama ya kudumu Rais Samia ni jasiri...
  7. JamiiForums Tanzania Lema amuomba Rais Samia kurejesha biashara ya Tanzanite Arusha

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemuomba Rais Samia Suluhu kurejesha biashara ya madini ya Tanzanite ili ifanyike katika Jiji Arusha. Lema amesema hayo leo Machi 4, 2023 wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa lengo ni kukuza uchumi, ajira na...
  8. JamiiForums Tanzania Maagizo 8 ya Rais Samia kwa Wateule wake

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wateule wake kuzingatia maeneo manane ya msingi, ikiwamo kujiamini katika utekelezaji wa majukumu yao. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2023 katika mkutano wa faragha kwa mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasema Rais Samia anatosha na hakuna sababu ya kufanyika kwa uchaguzi wa Rais 2025

    Ndugu zangu watanzania, sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya sheria na mfumo chini ya uongozi wa Rais Samia yanavyoutesa upinzani

    Amani iwe nanyi, Kwa mara nyingine ,tutafakari masuala na madai mbalimbali ya wapinzani hususani dai la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Katika kutafakari huku kila mtu ahitimishe kwa kujiuliza maswali yafuatayo: i) Je, dai la katiba mpya ni la Wananchi? ii) Kama ni la Wananchi ,kwa nini...
  11. JamiiForums Tanzania Mama Samia Leo nimekuelewa sana

    Binafsi naweza kusema hii ni moja ya hotuba nzuri sana kutoka kwa Madam President.👏👏👏 1. Suala la Viongozi kujiamini na kufanya maamuzi ambayo wataweza kuyatetea, maana yake wakizingatia hili watafanya informed decision, zenye kuzingatia maslahi ya wengi, kuengage kabla ya kuamua na kutumia...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuache migongano, kusengenyana, uvivu na uzembe ili tufanye kazi za watu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) Jijini Arusha, leo tarehe 04 Machi, 2023 RAIS SAMIA ANAZUNGUMZA Yapo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya Samia: Ujenzi wa mto Ng'ombe unaomaliza adha ya mafuriko Dar es Salaam

    Kuelekea maadhimisho ya Miaka Miwili ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wananchi katika kata za Ubungo, Tandale, Manzese, Kijitonyama, Sinza Ndugumbi, Mwananyamala na Makumbusho katika Halmashauri za Manispaa ya Ubungo na Kinondoni zinazopitiwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Walimu wa Meru DC watakiwa kujitokeza Jumapili saa 1:00 asubuhi Usa-river wakati Rais Samia atakapokuwa anapita eneo hilo

    Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono. Cha kushangaza hakuna nauli wala...
  15. JamiiForums Tanzania Chadema ni Team Samia kwa ushindi wa 2025

    👉Mtu bingwa kabisa Samia Suluh Hassani,amewafanya Chadema na viongozi wao kugeuka team ya kampeni nzuri sana kuelekea 2025.. 👉Mtu anayeifaham siasa ameyafanya manyumbu yote kuwa Kitu kimoja sasahv mama huna upinzani kwa chadema sijui vyama vyama gani huna.. 👉Umemsafisha Magufuli maana yalisema...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viongozi wa Serikali mjitathmini

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Serikali kujitathmini kwa nafasi zao kama wana maadili ya uongozi. Rais Samia amezungumza hayo alipofanya mkutano wa faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC)...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia afichua siri ya kuwatumbua viongozi Serikalini

    Akizungumza jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri na Makatibu Wakuu uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha Rais wa Jamhuri ameeleza sababu za kufanya mabadiliko ya mara kwa mara ya viongozi licha ya yeye kutokupenda kufanya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kuchangia gharama za matengenezo ya kanisa lililovamiwa Geita

    Rais Samia amemtumia pole Askofu wa Kanisa Katoliki Geita kufuatia uvamizi wa Wezi ulipotokea Kanisani hapo RC Martin Shigella na RPC Sophia Jongo walimwakilisha Rais Samia katika kukagua uharibifu uliotokea Kanisani hapo Shigella amesema Serikali itachangia gharama za ukarabati wa Kanisa hilo...
  19. JamiiForums Tanzania Samia awapiga ‘stop’ mawaziri kuajiri maofisa habari binafsi

    Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka wizara kujibu kauli za upotoshaji zinazotolewa na wanasiasa kuhusu utendaji wa Serikali. Katika kulitekeleza hilo, amewataka mawaziri kuacha kuajiri maafisa habari binafsi, badala yake wavitumie vitengo vya habari kutoa taarifa za Serikali. Rais Samia...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Ritta Kabati aeleza namna Rais Samia anavyowajali wanafunzi wa Vyuo Vikuu

    MBUNGE MHE. DR. RITTA KABATI AWAPA SOMO WANAFUNZI CHUO KIKUU, AELEZA NAMNA RAIS SAMIA ANAVYOWAJALI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, (CCM) Mhe. Dkt. Ritta E. Kabati @dr.rittakabati amewataka wanafunzi wa Vyuo Vikuu kujikita katika masomo yao wawapo vyuoni na kuacha mambo ambayo yatapelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…