samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu mwema sana ila amezungukwa na watu waroho na wenye roho mbaya

    Kwanza kabisa huyu mama ni mchamungu na nadhani nyie wenyewe ni mashahidi, hajawahi kuingia msikitini na camera. Mama amekuwa ni mtu wa kutoa sadaka kwa wingi hasa kwa watu wenye uhitaji na hata wale anaowapa misaada huwa hatuoni wakimulikwa na camera kama alivyokuwa anafanya mwendazake. Suala...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Machifu simamieni Maadili ya vijana wa Kitanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiri Tamasha la Utamaduni la Bulabo katika uwanja wa Redcross Ngomeni Kisesa mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2023. Akizungumza kwenye Tamasha hilo linaloashiria Mwanzo wa mavuno, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Mtendaji Mkuu TANROADS na Naibu Makatibu Wakuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:- 1. Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barbara Tanzania (TANROADS). 2. Amemteua...
  4. JamiiForums Tanzania Kuhusu Mbowe, Bandari na Ubaguzi: Je, huwezi kufanya ukosoaji bila kuleta ubaguzi wa kikanda?

    Je, hii ni sawa? Hongera kibajaji Kwa kuhoji huu Ubaguzi uliofanywa na Mbowe. Si ajabu watu Huwa wanawashutumu Wachaga Kwa Ubaguzi na ukabila. Hivi msimamo wa Chadema kuhusu Muungano ni upi? Akina Salum Mwalimu na yule anajiita Mwenyekiti wa Baraza la Wazee bila shaka wamepata ujumbe wao kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania Pamoja na yote bado nakupongeza Rais Samia Suluhu, nchi bado ni tulivu.

    Kwa aina ya maraisi wengine waliopita na pale ambapo walitaka jambo lao litimie, mpaka sasa tungeshasikia habari za watu kupotezwa, kung'olewa kucha n.k Ila kwako naona ni tofauti, mpaka sasa, nchi ni shwari, kila mtu anasema anavyotaka, hakuna aliyepotezwa, hakuna aliyeng'olewa kucha. Hivi...
  6. JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi kamuingiza chaka na Rais Samia?

    Kama ilivyokuwa wakati wa biashara ya Korosho wakati ule wa utawala wa the late emperor chuma mwendazake jiwe Magufuli, tukapigwa na kitu kizito na korosho hazikuuzika. Tukapigwa kwenye mikataba ya ACACIA na Barick, kabudi huyu huyu alikuwepo. Na sasa ni yeye tena au kasingiziwa?
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023. Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mratibu PEPFAR, mtendaji mkuu global fund, mwakilishi wa Marekani (diplomasia)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mratibu wa Kimataifa wa Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani katika mwitikio wa kupambana na Ukimwi (PEPFAR) na Mwakilishi Maalum wa Serikali ya Marekani katika masuala ya Diplomasia ya Afya Balozi Dkt. John...
  9. JamiiForums Tanzania SWALI: Endapo Rais Samia ataelewa kilio cha wananchi, atarudisha tena Bungeni?

    Tuko hapa tunapitia michango ya wananchi hasa hili la bandari. Hapa TEC mambo ni moto sana. Ninachojiluza, Iwapo Rais ataelewa mapigo ya wananchi ya kuachana na huo mpango na akafuata mpango ule wa Mbunge wa Kisesa - Mpina kama mambavyo inajadiliwa hapa TEC. Je, Atarudisha tena Bungeni...
  10. JamiiForums Tanzania Ludewa wamshukuru Rais Samia kuidhinisha bilioni 977 kuboresha elimu

    Wilaya ya Ludewa inamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia fedha Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa Boost katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023. Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa imepokea fedha hizo...
  11. JamiiForums Tanzania Katiba ya Samia

    Katiba ya Warioba ilikwama kwa sababu mbili; Moja: Masharti ambayo utekelezaji yanahitaji mapato mengine. Pili: Masharti ya muungano ambayo CCM isiyoweza vumilia isipokuwa kwenye kuvunja muungano tu. Katiba ya Samia: Wala usipoteze muda wako; yote ya awali ndio yale yale. Ziada ni yeye...
  12. JamiiForums Tanzania Samia hawezi kuaminika tena, amejipa doa sugu

    Hilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa! Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na ikiwezekana achana nacho. La bandari na SINTOFAHAMU yake wamelipitisha kwa kulazimisha ila watambue...
  13. JamiiForums Tanzania Mama Samia akiweza kuvuka 2025, yatakuwa maajabu mapya ya ulimwengu!

    Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Samia kutembelea Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi

    Salaam Wakuu Tarehe 14 Juni 2023, Rais Samia anatarajiwa kutembelea na kukagua Ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi ambalo ujenzi wake umefikia 75% Ujenzi wa Daraja TSh 602.19 bilioni. Daraja la Kigongo Busisi ambalo linajengwa katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, lina urefu wa kilometa 3.2.
  15. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ludewa Tunasema Asante Sana Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa Boost katika kipindi cha mwaka wa fedha...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua na Kutengua Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama ifuatavyo: i) Amemteua Bw. Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu. Kabla ya uteuzi Bw. Frank alikuwa Mwanasheria Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Bw...
  17. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Chalamila ahudhuria kwa Mwamposa kuombewa

    Leo kwenye ibada ya jumapili kwenye madhabau ya Arise and shine Rais Samia Suluhu Hassani amemtuma mkuu wa mkoa wa DR Chalamila kufikisha sadaka yake ya shukrani kwa Mwamposa. Niongeze volume? Mama anachanga karata zake vyema, ukikamata watu wa mpira na watu wa dini shughuri imekwisha.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Dkt. Mkamilo, tunaomba Rais Samia utuletee Mkurugenzi mpya wa TARI

    23/5/2018 aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural...
  19. JamiiForums Tanzania Kikundi cha Mamluki chaandaliwa kumshambulia Mbowe kwenye vyombo vya Habari kisa kaitaja Zanzibar kutohusika na Mkataba wa Bandari

    Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote. Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia wajanja wasikuingize mjini

    Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari. Dp World...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…