samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania Zifahamu kazi za Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi inayozinduliwa na Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmj katika hafla ya Uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi utakaofanyika Kesho katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 kazi ya Tume hiyo ni pamoja na;
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kazi ya uenezi hakuna mtu anayeiweza kwa CCM ya sasa

    Wananchi walipaswa kushawishiwa na CCM kwa kasi ya maendeleo. Na hivyo ccm ingreendelea kushamiri na kupendwa na wananchi. Lkn naona ccm wanahangaika kutafuta MTU sahihi wa kuwashawishi wananchi kuipenda ccm as if hiki ni chama kipya kilichosajiliwa juzi. Kumbe ni chama kilichozeeka na...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

    Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua. ===== Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais Samia fanya haya makubwa nchi itabadilika na uchumi kukua

    Leo nimerudi kwa upande wa ushauri na hivi vitu navyoshauri kila moja ni kitabu chake lakini nitaweka hapa mambo makubwa ambayo Raisi Samia akivifanya vitabadilisha nchi yetu kwa miaka mingi sana ijayo 1. Boresha sheria mbovu ya uchaguzi iliyopitishwa Bungeni kwa kuongeaza chaguzi za serikali...
  5. vvvv

    JamiiForums Tanzania Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

    Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki. Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano. Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia na serikali yake yote kwa hili.

    Video inajieleza,hapa nilipo tangu asubuhi umekatika mara 7 na hatimae TV yangu inchi 32 imeungua!!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa awaomba Walutheri kutumia Sikukuu ya Pasaka kumwombea Rais Samia

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka waumini wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT) kuhakikisha wanamuombea Rais Samia katika kazi yake ya kuliongoza taifa. Silaa ameyasema hayo leo Jumapili, Machi 31, 2024 alipofungua harambee ya kuchangia upanuzi...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Samia umekata pumzi

    Rais Samia kila akigusa mahali pa moto sasa analazimika kutumia wapambe wa Magufuli kujaribu kuimarisha utawala wake lakini mambo bado Moto. Hivi Rais Samia anashindwa vipi kuwa na timu yake fresh ambayo ataimudu na watamuheshimu. Kuendelea kutumia timu ya Magufuli ni kujizika kwake mwenyewe...
  9. A teller

    JamiiForums Tanzania Najiuliza, sijui Samia nae aliiona ile picha ya Lema aliyogoma kumpa mkono Makonda?

    Kama NI kweli uteuzi umefanyika kimkakati either kumkomoa Lema au kudhoofisha chama cha chadema basi mama atakua ametukosea Sana wananchi. Sawa , uzuri wote Wana nguvu, mmoja mdomo ni mwingi mwingine vitendo vingi Wanasema mmoja ni Mwizi WA magari mwingine Mwizi WA nyumba!! Lema usiwe mnyonge!!!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

    Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa. Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili...
  11. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama! Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake! Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wana Ludewa Washiriki Dua ya Kumuombea Rais Samia, DC Aandaa Futari ya Pamoja

    WANA LUDEWA WASHIRIKI DUA YA KUMUOMBEA RAIS SAMIA,DC AANDAA FUTARI YA PAMOJA Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva,ameungana na wananchi wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe katika Dua Maalumu ya Kumuombea Kheri na Baraka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
  14. Swahili_Patriot

    JamiiForums Tanzania Samia ndio raisi...

    Wacha nikavute mibangi yangu. Ripoti ya cag imeshanizingua kabisaaaa. Amepewa sasa mama. Yani mama ndio raisi.... (malizia.)
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Padri Silvio Mnyifuna, ataka 2025 Samia aendelee ili wahuni wasipate nafasi

    Huyu ni Padri huko jimbo Katoliki,Mafinga, Iringa....Kwa sasa nyota ya SSH haishikiki, inakimbia kwa kasi ya mwanga au sauti. Si kwa wananchi wa kawaida, walimu na kila kada, kila kona ni Samia, sasa kishindo cha Samia kimefika katika kanisa katoliki. Watumishi wa Mungu ni moja kati ya watu...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

    WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4. Nape ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kwa alichokisema Nape leo kama sio 4R za Rais Samia, tungerudi kule kule kwenye kutiana ulemavu

    Kiukweli nampongeza sana Rais Samia Suluhu Hassan, matusi anayotukanwa na watu wa Chadema huwa yananiuma sana, watu wanatukana utadhani wanatukana wahuni wenzao, heshima ya Rais iko majaribuni kwa sababu ya wahuni waliopewa nafasi ya kujieleza. Ukienda kule mtandao wa X kuna yule meya wa zamani...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

    ::::::: Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa na kituo cha Utangazaji Cha Global TV alikuwa na haya ya kusema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni...
  19. Hamduni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UWT yamchangia Samia Suluhu Hassan Tsh milioni 2 kwa ajili ya kuchukulia fomu ya urais ifikapo mwaka 2025

    🗓️ 26 Machi, 2024 Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu. Mary Chatanda kwa pamoja wametimiza ahadi yao kwa kumpatia Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kiasi cha Tsh Milioni 2,000,000/= kwaajili ya...
  20. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia. Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa. Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao. Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na...
Back
Top Bottom