samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Why Tanzanians have endless love to thier President Dr.Samia Suluhu Hassan?

    No doubt on this, Tanzanians love their national leader to the above maximum. What do you think can be attributed to such kind of love among Tanzanian citizens towards their very able and powerful leader, Dr.Samia Suluhu Hassan? Is it because of her uncompromised leadership capability or...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Trump, huyu Mzanzibari Samia Suluhu akikusumbua, mfuate kama Nicolás Maduro, Ramani hii hapa

    Salaam Rais Mpendwa Donald Trump, wewe ni mtu unayesikiliza watu wote kwani hubagui. Nilipenda ulivyomfundisha adabu aliyejipachika Urais Venezuela bwana Nicolás Maduro. Isiishie kwa Maduro tu, njoo na Tanzania Baba, Yupo mwingine kajipachika Huyu Mzanzibari Samia akiwa Tunguu Zanzibar...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu , alitudanganya kapunguza Misafara

    Samia Suluhu, alitudanganya kapunguza Misafara. Eti mafuta yamepanda anapunguza msafara. Kuna sehemu akaleta unafiki wa kwenda gari nne. Tulitafuta Rais tukampata Samia.. Anatumia Mali za Tanganyika.. Anajua hana cha kupoteza.. Kuna wajomba zake Oman Note: Hii ni Propaanda
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hebu sikia kilio cha wakulima wa Tanzania kuhusiana na Mbolea. Mfuko mmoja wa mbolea za DAP, UREA na CAN unauzwa 120,000-130,000

    Nimepita mikoani hususani vijijini ila nilichokutana nacho ni vilio vya wakulima kila kona. Hali ya upatikanaji wa mbolea imekuwa ni ya shida mnoooo!!! Kila maduka ya mbolea utakayopita unaambiwa hakuna mbolea huku wale walionazo stoo wakiuza kwa bei ya kuumiza wakulima kwa wastani wa shilingi...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Maigizo ya Bi Samia Suluhu Hassan na wafungwa wavaa heleni, gereza la UKONGA🤪🤪😁

    Ufuatiliaji wa JamiiCheck JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa picha hii si halisi bali imehaririwa kwa Akili Unde. Zaidi soma: POTOSHI Je, picha hii ya mfungwa aliyevaa hereni kutoka gereza la UKONGA ni halisi?
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kikwete: Nchi ni tulivu, mambo safi chini ya Rais Samia

    "Nakupongeza sana kwa kazi kubwa unayoendelea kufanya nchini katika maeneo mbalimbali, katika nyanja mbalimbali. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia na kwa hii ambayo tumeona leo, kwanza kuhusu uwanja wa ndege, uwanja wa ndege wa Msalato umekuwa ni dhima ya viongozi...
  7. Eronda

    JamiiForums Tanzania FALSE General Muhoozi Kainerugaba tells President Samia Suluhu to Stop calling his father Every night

  8. U

    JamiiForums Tanzania Miradi mikuu ya kimkakati chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, 2021 – sasa

    MIRADI MIKUU YA KIMKAKATI CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, 2021 – SASA Uongozi wa awamu ya sita umewekeza katika uendelezaji wa miradi ya kitaifa yenye tija kwa uchumi, huduma za jamii na ushindani wa Tanzania kikanda. Ifuatayo ni orodha ya miradi 11 mikuu: 1...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania FALSE Samia suluhu hassan has allegedly given South African citizens 48 hours to leave the country

  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu ajivunia kutoa ajira 7,593 nje ya Nchi(Uarabuni)🤣🤣🤣

    "Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Mwisho wa kunukuu. Hayo ameyasema Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. MY TAKE: Tanganyika awamu hii tumepatikana. Hakuna Mzanzibar mwenye huruma...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Gazeti la The Economist laandika; "Is Samia Suluhu Hassan Africa's most dissappointing president?"

    Gazeti la The Economist la Aprili 30, 2026 limechapisha makala yenye kichwa: "Is Samia Suluhu Hassan Africa's most disappointing president?" — yaani "Je, Samia Suluhu Hassan ndiye rais aliyekatisha tamaa zaidi barani Afrika?" Katika makala hiyo, The Economist inaelezea Ukatili wa dola...
  12. Kiranga

    JamiiForums Tanzania The Economist: Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?

    From The Economist April 30 2026 Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president? Photograph: Xinhua News Agency/Eyevine Apr 30th 2026 | 3 min read Tanzania has had dramatic ups and downs. In the 1970s the government of this east African country forced farmers into collective...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watanzania Mumeona eti Meli ya Uvuvi Samia Suluhu aliyozindua? Ni Vichekesho 🤣🤣🤣

    Hivi huyu Bibi kweli anaitakia Mema Tanzania? Ile ni meli ya kuzinduliwa na Rais? 🤣🤣🤣 Yaani Tanzania ndo tujivunie ile Meli? Hii awamu inatia aibu hadi wamekosa vya kuzindua White Elephant.. Specification zake zinabaki kuwa mali ya Rais🤣🤣🤣 Dau lililozindua wakaliita meli.. Eti ni kijimeli...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu anatulazimisha kuwalilia wateule wake Viongizi wakati hatuna machozi🤣

    Kulia na kucheka inategemeana na moyo pamoja na akili ya mtu. Huwezi kufurahia kifo cha mtoto wangu halafu nihuzikie kifo chako. Samia akumbushwe kuhusu 29 Oktoba 2025 then atuoneshe wapi alilia.. Kila mtu ashinde mechi zake. Hakuna kuungana mkono.. Pambaneni na misiba kama mnavyofurahia raia...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan ndo kielelezo cha Upendo wa Wazanzibari kwa Watanganyika

    Salaam Wakuu, Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake. Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa Waislam walio nao kwa Watanganyika na Wakristo. Samia ndo kielelezo cha upendo wa Wazanzibari...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Bila Suzan S. Kaganda kuwa IGP, tugomee maridhiano Samia Suluhu na Watanganyika. Wambura ni Pandikizi

    Jana nimekutana na balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe, Suzan S. Kaganda hazina ya Taifa. Baada ya kumsikiliza vizuri, nimeamini kumbe Nchi yetu bado ina Wazalendo. Tatizo Wazalendo CCM hawataki wakae karibu na Wananchi. Mfano Balozi Polepole alipelekwa Cuba, Balozi Suzan kapelekwa and Zimbabwe...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu na Mwigulu Nchemba ni Viongozi wazuri sana. Nashauri wapewe nafasi za juu kuongoza Iran

    Nimewaza tu. Hawa wanafaa sana kuongoza nchi kama Iran. Je kwa nini Iran isije kuazima wakawapa nafasi za juu kule nchini kwao? Na je hawawezi pia kumchukua na IGP wetu naye akaenda kuwa Mkuu wa kikosi cha Bajis? Nadhani katika kipindi hiki Iran ingepata viongozi wa karba hii tulio nao...
  19. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba Serikali yetu sikivu ya Samia Suluhu Hassan ianze kuitambua shahada ya Pili kimuundo na kimasilahi kwa walimu

    Sisi watumishi wa umma tunatambua mchango mkubwa wa Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwetu sisi tangu alipoingia madarakani aliongeza mishahara na kupandisha madaraja yaliyokuwa yamesimama kwa maelfu ya watumishi wa umma. Leo Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, tunakuja kwa unyenyekevu mkubwa...
  20. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Naipenda CCM imejaa viongozi wazalendo kuanzia Mwenyekiti wa Chama Taifa Samia Suluhu Hassan

    CCM ni alama ya Utanzania wetu. CCM ni alama ya uzalendo CCM ni alama ya Uafrica. CCM ni maisha yetu ya Kila siku KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. Nyinyi mawakala wa mabeberu mliotelekeza wake zenu na watoto wenu kwa mabeberu warudisheni.
Back
Top Bottom