samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu akisingiziwa na kushitakiwa kwa kufadhili Magaidi wa kuua Wakristo, nani atamtetea?

    Wote tunajua Marekani jinsi ilivyo mstari wa mbele kupambana nna Magaidi pale wanapojitokeza Nchi yoyote. Kwa yanayoendelea Nchini Tanzania, hivi Samia Suluhu akishitakiwa kwa kufadhili Magaidi, na Vikosi vya kuua Wakristo, nani atamtetea? Sasa hivi kwenye Misikiti Watu wanafundishwa Judo...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria

    Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria. Samia alijua atakuwa mtu wa kumsaidia kuwaunganisha watanzania. Badala yake katambi kamvua nguo Samia hadharani. Je, Matendo ya Katambi ni Maagizo ya Samia. Au kamuweka njia panda?
  4. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  5. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki ufunguzi wa Jengo la Mionzi (Chemotherapy) Hospitali ya KCMC-Moshi Kilimanjaro

    https://www.youtube.com/live/tbA3qAYbzio?si=33KuineyOZDSZmtR Video Courtesy: Directorate of Presidential Communications YouTube Channel
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania FALSE President of Tanzania Samia suluhu arrested for crimes againsty humanity

    There has been recently post circulation on lines, especially Facebook articulating that the president of the United Republic of Tanzania has been arrested because of crimes against humanity The post further alledgy that This woman killed thousands of innocent Tanzanians during their elections...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Samia Suluhu hajui kuzima MIC za Urusi? Putin ainglia kati kumsaidia

    Yule Samia wenu kaonekana akizunguka Ukumbini na receiver ya tafsiri ya lugha kila sehemu hata mic hakuzima. Putin akaingilia kati, kamwambia siri zako zitasikika, zima mic namna hii. Vitu vidogo tu unashindwa kujifanyia hadi ufanyiwe? Kidogo akate waya wa Watu🤣🤣 Katia aibu sana
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ziara ya kihistoria ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini urusi 🇷🇺

  9. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania ZIARA YA URUSI: RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ANAENDELEA KUFUNGA MAGOLI KWENYE MECHI MUHIMU

  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ile shahada yagoma kukaa Kichwani kwa Samia Suluhu, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa🤣🤣

    Ile shahada yagoma kukaa Kichwani mwa Samia, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa.. Haijawahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.. Kofia imejua imengia kichwa fake? Sababu alikua anahema juu juu kama Kiboko🤣 Samia kubali Elimu imekukataa.. Naona wamelazimisha kukuvika.. Aibu sana umewatia Wazanzibar...
  12. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Binafsi nimefurahi na kupenda sana Rais Samia Suluhu kukutana na Putin

    Kwema Nimefurahi sana yaani ni reaction ya kupendeza na wamependeza sana furaha yangu haiwezi kuisha milele na milele. Kila kitu kitaenda sawa kwenye taifa letu, Samia anaweza akatawala tena 2030 bila shaka. Inaweza ikawa amepewa somo la kutawala milele kama putin anavyofanya Na ikiwa hivyo...
  13. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Urusi

    ■Atahutubia jukwaa la kimataifa la uchumi la St. Petersburg ■Anatarajiwa kushiriki kongamano la uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi ■Atatunukiwa shahada ya heshima, kunadi fursa za dira 2050
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Urusi kitakacho Mtunuku PhD Samia Suluhu, kina hadhi kama Amazon Collage au SUZA ya Zanzibar

    Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi na chuo chenye hadhi kama Amazon Collage au kile chuo cha Zanzibar chaitwa SUZA(State University of Zanzibar) Wanaosoma kwenye chuo hicho, wengi...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei?

    Je,, Samia Suluhu anaenda Urusi kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei yaliyomkuta? Alijuwa rafiki wa Putin kufa kuzikana.. Hakuamini atakufa mapema. Ukiua binadamu hakuna wa kukutea. 29.10.2025 mliua Watoto wetu mkidhani Urusi atawatetea. Kwa...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026

    DAR ES SALAAM — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Russia kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mkwara wa Marekani: Eti Samia Suluhu anataka kumwaga Manyanga

    Kweli nimeamini Marekani Kidume. Samia anataka kukimbilia Oman kwa mjomba wake. Mwenzake Idi amini Dada, alikimbia Libya, hapakukalika, akaenda Iraq hhapakutosha na akafia Saudi Arabia... Kama Samia akimbilia huko, akifa azikwe huko huko.. Kama akikimbia, Msiba wake utakuwa kama wa Rungu Rais...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Why Tanzanians have endless love to thier President Dr.Samia Suluhu Hassan?

    No doubt on this, Tanzanians love their national leader to the above maximum. What do you think can be attributed to such kind of love among Tanzanian citizens towards their very able and powerful leader, Dr.Samia Suluhu Hassan? Is it because of her uncompromised leadership capability or...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Trump, huyu Mzanzibari Samia Suluhu akikusumbua, mfuate kama Nicolás Maduro, Ramani hii hapa

    Salaam Rais Mpendwa Donald Trump, wewe ni mtu unayesikiliza watu wote kwani hubagui. Nilipenda ulivyomfundisha adabu aliyejipachika Urais Venezuela bwana Nicolás Maduro. Isiishie kwa Maduro tu, njoo na Tanzania Baba, Yupo mwingine kajipachika Huyu Mzanzibari Samia akiwa Tunguu Zanzibar...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu , alitudanganya kapunguza Misafara

    Samia Suluhu, alitudanganya kapunguza Misafara. Eti mafuta yamepanda anapunguza msafara. Kuna sehemu akaleta unafiki wa kwenda gari nne. Tulitafuta Rais tukampata Samia.. Anatumia Mali za Tanganyika.. Anajua hana cha kupoteza.. Kuna wajomba zake Oman Note: Hii ni Propaanda
Back
Top Bottom