samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ni wakati kulihutubia Taifa kuweka mambo sawa

    Rais Samia Suluhu huu si wakati wa kukaa kimya, hutubia taifa ili nchi na watu wake wapate mwanga mpya, kuna mambo mengi yanachanganya wananchi, mfano Suala tozo Chanjo Democracy Ugaidi Kuna kipindi Rais JMK mstaafu na Dkt. John P Magufuli walizungumza na taifa pale ilipotokea kukawa na kelele...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tembelea wananchi wako wa Mji wa Kisesa wanateseka na Changamoto ya Umeme na Maji

    Mji wa Kisesa katika jiji la Mwanza ni Mji mkubwa unakua kwa kasi ambao kipindi cha Marehemu Magufuri aliahidi kuwa halmashauri ya Mji wa Mwanza ,wananchi wake wanalia kwa kutofungiwa umeme na shirika la Tanesco ,huku likionesha hilo shirika katika kituo chake cha Nyakato kuzidiwa nakuwa na...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nabii wa Ishara atabiri chuki kwa utawala wa Rais Samia kama hatamwachilia Mbowe

    Nabii wa ishara Tanzania ametoa unabii na maono ya kiroho kwamba utawala wa SSH utapata laana na chuki isiyomithilika kama utaendelea kumshikilia Mbowe. Akaongeza kwa kusema hata kifo cha waziri wa ulinzi kiroho kina maana mbaya sana kwa taifa, kinamaanisha Mungu amekasirika na kuamua kuondoa...
  5. JamiiForums Tanzania Dunia imeanza kuelewa ni kwanini CHADEMA wanapigania kufa na kupona Katiba Mpya

    Hivi sasa vyombo mbalimbali vya kimataifa vya habari vya nje kama vile vya CNN, Aljazeera, BBC na vingine vingi, "headlines" ya habari zao ni kukamatwa na Jeshi la Polisi nchini kwa Mbowe na "kubambikiwa" kesi ya ugaidi kwa kosa tu la kupigania Katiba mpya ya nchi hivi sasa. Vile vile...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kuona hamna nafuu, Manji aamsha popo

    Mfanyabiashara Yusuf Manji amerejea ughaibuni baada ya kukaa nchini kwa takribani mwezi mmoja huku akikumbana na misukosuko baada ya kukamatwa na kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na kisha kuachiwa kwa dhamana. Taarifa zilizolifikia Mwananchi na kuthibitishwa na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nitabaki risasi ya mwisho kwenye uwanja wa vita, kuchanjwa wengine tumekataa

    Ibada inaendelea. Askofu Gwajima amesema kamati ya Corona ilipendekeza wananchi washawishiwe na serikali kuvhagua kuchanjwa ama LA na yeye Gwajima amechagua LA niko sahihi. Rais Samia amechagua kuchanja naye yuko sahihi. Msinigombanishe na mwenyekiti wangu wa chama. ======== Josephat...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana mamlaka ya kumteua mtendaji mkuu wa TANROADS

    RAIS SAMIA ANA MAMLAKA YA KUMTEUA MTENDAJI MKUU WA TANROADS. Ndugu Mpinzire katika uzi wake hapa jamiiforums amejenga hoja nzito kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hana mamlaka ya kumteua Mtendaji Mkuu wa Tanroads na uzi huu una kichwa cha habari kifuatacho: "Executive Agencies Act No...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amteua Rogatus Mativila kuwa Mtendaji Mkuu TANROADS. Prof. Mgaya wa NIMR awa Mwenyekiti Bodi ya TAFICO

    Rais Samia Suluhu amemteua Rogatus Hussein Mativila kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mativila, aliyekuwa Mkurugenzi wa Barabara - Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi anachukua nafasi Mhandisi Patrick Mfugale aliyefariki dunia Juni 29, 2021
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Huwezi kushindana na wakenya kwa bandari ya Dar es Salaam, option ni kwenda Bagamoyo

    Mwita Waitara: Ukitaka kushindana na watu wa Mombasa, bandari ya Mombasa ni kubwa kwelikweli, unganisha zote hapa Tanzania hatuwafikii kwa ukubwa wa eneo hata mizigo inayotua pale. Hata kama tumeongeza Mtwara bado hapa hatuwezi kutanua zaidi, tunataka tuweke utaratibu wa bandari ambao...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya chanjo ya Covid-19 yapo hasi sana kwa Watanzania

    Ukiacha Gwajima kuchafua hali ya hewa kuhusiana na chanjo ya Corona lakini tayari watanzania walishaaminishwa na Rais wa awamu ya tano, Hayati Magufuli kuwa chanjo ya Corona sio salama kabisa na hivi huku hayati akisema kuwa chanjo ya Korona inayopigiwa debe na mabeberu kama alivyokuwa anasema...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Kasi Hii Rais Samia Suluhu Hassan lazima Upinzani upoteane nchini

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani eneo la Mitengo Mkoa wa Mtwara. #KaziIendelee Source: Wizara ya Afya
  14. JamiiForums Tanzania Azim Dewji amvaa Gwajima sakata la chanjo, amwambia ana akili ya kuhubiri siyo Sayansi

    Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na isiendelee kufanyika hivyo, sisi hatutakubali. Kwa njia moja au nyingine unawatukana waliobobea...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021 Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021 Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Wanaombeza Rais Samia watashangazwa na yajayo

    Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama. Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka Mama inabidi avunje baraza la...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia Suluhu na timu ya Corona fanyeni haya kuboresha mapambano dhidi ya COVID19

    Mheshimiwa Rais, naomba nikupongeze kwa nia yako nzuri ya kuleta mbadiliko chanya katika ustawi wa taifa. Ama nikupongeze kwa juhudi kubwa unazofanya katika kuendeleza juhudi na upekee wa aliyekuwa rais wa JMT wa awamu ya 5 Rais John Pombe Magufuli. Muendelezo huu ni pamoja na kuboresha pale...
  18. JamiiForums Tanzania Kibao kilivyogeuka

    Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike. Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi. Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waachie Ngazi kutoa Nafasi kwa Mwanzo Mpya

    Itakuwa kujidanganya kama taifa kudhani kuwa tuko vizuri. Matumaini mapya yaliyoibuka baada ya SSH kuchukua nchi yamekwisha baada ya siku 100 ofisini. Kama taifa tunayumba tokea kwenye corona hadi kwenye mustakabala kama taifa. Taifa limegawanyika hisia kali na munkari juu: 1. Kuhusiana na...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

    Wanabodi, Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa". Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…