samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC โ€“ 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Video: Kikwete akimpigia chapuo Dkt. Fatma mbele ya Rais Samia

    Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akitoa sifa za Dkt. Fatma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Januari 08, 2026...
  2. Serikali ya Iran Kuzima Internet:

    Huyu aliyezima internet Tanzania ndiyo amemshauri Ayatollah kuzima internet? Mwisho wa utawala wa kidhalimu na kipumbavu umekaribia.
  3. Naona kidogodogo Ikulu ya JMT inahamia Zenji. (Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar)

    Tunaelekea mwezi wa 3 sasa. Mambo ya nchi mengi yanafanyikia huko Zenji Ikulu ndogo๐Ÿค”
  4. Samia ametoa ndege aina ya Boeing Dreamliner kwenda kuwachukua Taifa Stars nchini Morocco

    Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa ndege maalum aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kwenda Morocco kuwachukua wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuondolewa na wenyeji Morocco katika hatua ya 16 bora, Akizungumza kuhusu hatua hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari...
  5. Rais Samia atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 10 Morogoro

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Kighoma Malima, kufuatia vifo vya watu kumi katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 31 Desemba, 2025 mkoani humo. Ajali hiyo ilitokea katika Kijiji cha Maseyu...
  6. PostGE2025 CAF waandika: Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi wala nywi nywi nywi, picha ya Msuva akishangilia goli

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeibua gumzo mitandaoni baada ya kuposti picha ya nyota wa soka Msuva akishangilia bao, ikiambatana na maneno "Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi wala nywi nywi nywi." Kauli hiyo ilitolewa na Samia wakati wa kampeni, alipokuwa akionya...
  7. H

    NUKUU za Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akilihutubia Taifa Akiuaga Mwaka 2025 na Kuukaribisha Mwaka 2026

    NUKUU za Hotuba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kulihutubia Taifa Akiuaga Mwaka 2025 na Kuukaribisha Mwaka Mpya 2026.
  8. PostGE2025 Samia: Hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na wadau wote ili kukubaliana muundo wa Tume hiyo. Katika hotuba yake ya kuaga mwaka 2025 na...
  9. PostGE2025 Samia: Tofauti za kiitikati zisitugawe kama Taifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Serikali imeanza kuchukua hatua za kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kujenga na kuimarisha umoja wa kitaifa kuelekea mwaka 2026, kufuatia changamoto za kisiasa na kijamii...
  10. PostGE2025 Samia: Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea

    Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
  11. Tunapoelekea kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, napenda kumshukuru Rais Samia

    NAPENDA KUMSHUKURU MAMA WA AFRICA AU DR SAMIA SULUHU HASSAN KWA KULIVUSHA TAIFA LETU LA TANZANIA SALAMA. Yakiwa yamebaki masaa machache kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, haitokuwa busara na hekima kukaa kimya bila kutoa pongezi zetu za dhati kwa Mama wa AFRICA kama anavyotambulika...
  12. H

    ๐—จ๐—”๐—˜ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐˜ ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฐ๐—ฒ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐˜€ ๐˜„๐—ฟ๐—ถ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ป ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ด๐—ฒ ๐—ณ๐—ฟ๐—ผ๐—บ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐˜ ๐—ผ๐—ณ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ

    ๐—จ๐—”๐—˜ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐˜ ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฐ๐—ฒ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐˜€ ๐˜„๐—ฟ๐—ถ๐˜๐˜๐—ฒ๐—ป ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ด๐—ฒ ๐—ณ๐—ฟ๐—ผ๐—บ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐˜ ๐—ผ๐—ณ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ President His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan has received a written message from President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, concerning bilateral relations between the two countries. The...
  13. Samia Suluhu Hassan mambo vipi? Naona bado Unafurahia Ushindi wa Kishindo wa 98%

    Ile ratiba uliyopanga kuanzia tarehe 3 kuanza ziara ya kushukuru wananchi nchi nzima bado ipo? Vipi ile ya Korea kusini nayo ipo? Nijibu pm.
  14. Evarist Chahali: Good News, vita ya Samia na Dr. Nchimbi inaelekea kileleni

    https://youtu.be/endgC8fyOjA?si=IF8MCBwCTo2a76m- โ€ข Huko ndani ya CCM na ndani ya serikali hakuko shwari.... โ€ข Si tu Dr Nchimbi na Boss wake, ni kila makubwa, hakuna kuaminiana na kila movement na communication za kila kiongozi ziko highly monitored... โ€ข Kilichowashitua hawa monitors, ni kujua...
  15. PostGE2025 Fulana ya Mwakinyo yenye picha ya Samia na Tundu Lissu yazua gumzo

    Bondia Hassan Mwakinyo ameibuka na ushindi dhidi ya Stanley Eribo kutoka Nigeria kwa knock out (KO) katika raundi ya pili tu. Wakati akitangazwa mshindi wa pambano hilo Hassan Mwakinyo ameonekana kuvalia fulana ambayo mbele ina picha ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na nyuma ikiwa na picha ya...
  16. PostGE2025 Simbachawene: Rais Samia ameagiza mabadiliko Polisi ili kurejesha mahusiano mazuri na wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameweka wazi maelekezo aliyoagizwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo yanaenda kugusa jeshi la polisi nchini. Mabadiliko makubwa yakidhamiriwa ili kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo na kuweza kurejesha mahusiano mazuri na wananchi...
  17. Wewe Samia Suluhu Hassan unajua alipo Mteule wako Humphrey Polepole?

    Nakuagiza ututangazie alipo kama tulivyo tangaziwa alivyo teuliwa. Hii ni amri sio ombi.
  18. Tetesi: Inadaiwa Tundu Lissu ametolewa kinyemela Gereza la Ukonga kukutana na ujumbe wa Rais Samia, akataa masharti yao

    https://youtu.be/r7Q3c52fIOw?si=vKArWlvV0I3OjLJa Huyu mama na watu wake are so pathetic na wana mioyo migumu kama mawe.... Hawataki kuwajibika kwa makosa yao yaliyosababishwa na ujinga na upumbavu wao wenyewe na badala yake wanatafuta mahali na watu wa kuwatwisha gunia la hatia na uovu wao...
  19. TANZIA aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba afariki dunia

    Ndugu Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba. Note: comments kwenye hii post huko FB zinatisha Sana.
  20. PostGE2025 Rais Samia: Hakuna maendeleo bila amani

    โ€œUlinzi imara ndio msingi wa amani na maendeleo ya nchi yetu.โ€ Samia Suluhu Hassan
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ