samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Samia Suluhu Hassan kwa mkataba wa ujenzi wa Petroleum Refinary Tanga

    Katika nchi ni lazima tukubaline kuwa kuna mambo ni maslahi ya Taifa. Mojawapo ni uwekezaji wa Petroleum Refinary Tanga. Tukiwa wakweli, Kenya walishatupiga chenga baada ya Dangote kubadili mawazo na kuhamishia Lamu uwekezaji wake wa Refinary. Mkutano wa Rais Samia na Rais Ruto, baadaye na...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania Mabala: Tuendelee kumlinda Rais Samia, kiongozi akikiuka misingi ya CCM apelekwe Kamati ya Maadili

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Mabala Mlolwa, akizungumza na mabalozi na makada mbalimbali wa CCM mkoani humo, amesema Katiba Mpya haiwezi kupatikana kwa malalamiko yasiyo na tija, kwani suala hilo tayari limeainishwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM chini ya uongozi...
  3. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ajengewe sanamu katika majiji yote nchini Tanzania

    Wanabodi. Tumsifu Yesu Kristo. Asalama leko. Kama kichwa cha habari hapo juu Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dkt Samia Suluhu Hassani. Mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya juu ya uongozi serikalini akiongoza raia million 60. Rais ambaye ambaye ameleta philosophy 4r. Mwenye misimamo ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Misaada na mikopo tuliyoizoea inaendelea kuondoka, tukaze buti

    Rais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan Hili la Humphrey Polepole Halitapita hivihivi

    Haki ya Mungu tena nakwambia hili halitapita hivi hivi. Ni either umtafute na arudi akiwa hai au ulipe gharama ya uhai wake.
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan Waambie Polisi Iringa Waache Kunibugudhi

    Huu ni ujumbe wangu kwako, naendelea kusambaza vipeperushi vya amani kuomba Humphrey Polepole arudishwe haraka sana kwaajili ya kutusaidia kujenga hoja za maridhiano. Nimeona CHADEMA wanaendelea kupaza sauti ili Tundu Lissu aachiwe kabla ya maridhiano. Nadhani wako sahihi pia. Sasa kwanini...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Dkt. Nchimbi wakishiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa

    Rais Samia na Makamu wake Dkt. Emmanuel Nchimbi wakishiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma, Julai 25, 2026. https://www.youtube.com/live/CWeTDEkFWwI
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi leo Julai 21, 2026

    YAH: UTEUZI NA UHAMISHO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi na uhamisho huo ni kama ifuatavyo: (i) Dkt. Latifa Mohammed Khamis...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

    Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema: “Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
  10. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania CCM ya Samia Suluhu Hassan ni dhaifu huo ndio ukweli. Chukieni lakini huo ndo ukweli

    Lazima tujifunze kusema ukweli, hata kama unauma. Ukweli unaweza kuumiza, lakini ndiyo unaosaidia kurekebisha mambo. Kwa mtazamo wangu, CCM ya kipindi cha Rais Samia ni dhaifu kuliko ilivyokuwa awali. CCM ya sasa imeibua watetezi ambao, kwa maoni yangu, wengi wao hawawezi kujenga hoja zenye...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Maridhiano si udhaifu

    Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha. Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026...
  12. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania TTCL yaandika historia, yatunukiwa tuzo na Rais Samia baada ya kurejea kwenye faida

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitunuku Tuzo Maalum Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kufuatia mafanikio yake ya kurejea kwenye faida kwa mara ya kwanza baada ya kipindi kirefu cha changamoto za kifedha. TTCL imepata faida ya Shilingi bilioni...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Rais aliyeshinda Uchaguzi kwa 98% achukiwe namna hii na waliomchagua? Kila kukicha anazidi kuchukiwa na Serikali yake wanaonekana waongo?

    Ukishinda uchaguzi kwa kwa 98% maana yake unakubalika. Yaani wananchi wanakukubali na utendaji kazi wako unakubalika. Nashangaa huyu kiongozi wetu kushinda uchaguzi kwa 98% alafu mitaani kila raia anaonyesha chuki dhidi ya serikali yake. Na hata kila jambo analolifanya hakuna anayelikubali...
  14. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bananga: Mikono ya Rais Samia iko wazi kwa maridhiano, ni wakati wa kuiponya nchi

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa. Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kingu: Kusema Watanzania milioni 60 kutibiwa Zanzibar ni kumdhalilisha Rais Samia na kudharau juhudi zake

    Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Emmanuel Kingu, amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nchini, hatua inayofanya huduma za tiba kuboreshwa kwa kiasi kikubwa katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Bara na Visiwani. Kingu ameeleza kuwa ni jambo...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 John Heche: Mwambie Samia, Heche yuko tayari kwa mdahalo na wewe, ndio level zangu, siyo Kihongosi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema anamtaka Mwenyekiti wa CCM ajitokeze kwenye mdahalo wa ana kwa ana kujadili mustakabali wa taifa. Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa mnamo Juni 17, 2026, Heche amekataa katakata kufanya mdahalo na Msemaji au...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Ziara ya Rais Samia Urusi imeleta 'Mtikisiko' wa Dunia

    Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Kombo ameeleza kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi, imeleta "mtikisiko chanya" wenye athari kubwa ulimwenguni kote, na si kwa Tanzania pekee. Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri huyo alikiri na...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ziara ya kihistoria ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini urusi 🇷🇺

  20. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
Back
Top Bottom