Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026.
#UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
hafla
kuchunguza
kupokea
matukio
rais
rais samia
rais samiasuluhu
rais samiasuluhuhassan
ripoti
ripoti ya tume
samiasamiasuluhusamiasuluhuhassansuluhu
tume
tume ya rais
uchaguzi
Wakati Vikao vya Bunge vikiendelea jijini Dodoma Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Suma Ikenda Fyandomo, akieleza changamoto ya barabara katika Mkoa wa Mbeya, ameeleza namna ambavyo Mbeya wanamuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, hata misibani wakati wa sala hawaachi kumtaja Rais pamoja na...
Samia, Kikwete, CCM na makundi yenu yote yanayohusika acheni mara moja dhuluma na kumwachia huru Mheshimiwa Tundu Lissu bila masharti yoyote. Kumuweka kiongozi wa upinzani gerezani kwa muda mrefu bila haki ya wazi na bila ushahidi unaoshikika ni kuvunja misingi ya sheria, katiba, na utu wa...
Rais Samia amedai kuwa bei ya Mafuta nchini ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingine licha ya kupunguza ushuru, wananchi muwe watulivu hili jambo halijasababishwa na Serikali yetu.
Rais Samia ametangaza hatua mpya ya kubana matumizi ya mafuta ndani ya serikali, akieleza kuwa matumizi hayo yamekuwa makubwa kutokana na wingi wa magari na safari za kikazi.
Akizungumza wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi katika Ikulu ya Chamwino, amesisitiza umuhimu wa taasisi za umma...
UAPISHO WA VIONGOZI
Rais Samia Suluhu Hassan, atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni.
Viongozi watakaoapishwa ni:
1. Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi (Mb.), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu);
2. Reuben Nhamanilo Kwagilwa...
Kingu awashukia wanamchonganisha Rais na Bunge, asema hakuna Mbunge anaweza kupiga kura ya kutokuwa na Imani na Rais
Akichangia Bungeni leo Aprili 08, 2026, Mbunge wa Ikingu Magharibi, Elibariki Kingu amewaonya wale wanaojaribu kuleta mgogoro kati yao na Rais.
“Hakuna Mbunge hata mmoja wa...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Christian Makonda amesema kuelekea mwaka 2030 wapo wanasiasa wengi wanaotaka kutumia shida za wananchi kupata uongozi Mkuu wa Nchi, akiahidi kushughulikia wale wote wanaopanga njama za kuharibu na...
Salaam Wakuu,
Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake.
Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa Waislam walio nao kwa Watanganyika na Wakristo.
Samia ndo kielelezo cha upendo wa Wazanzibari...
Walimteka Shebby kisa kachoma picha ya Rais. Kwanza picha yenyewe aliichora yeye. Pia alichora baada ya rais kusema atatekeleza mambo Four R. Lakini baadaye akagundua Samia hatekelezi 4R kama alivyo ahidi.
Shedrack akaamua kuchoma hadharani picha ya samia aliyoichora.
CCM wakamshitaki...
Sisi watumishi wa umma tunatambua mchango mkubwa wa Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwetu sisi tangu alipoingia madarakani aliongeza mishahara na kupandisha madaraja yaliyokuwa yamesimama kwa maelfu ya watumishi wa umma.
Leo Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, tunakuja kwa unyenyekevu mkubwa...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda (Mb) amesema Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tayari imelipa takribani Dola za Marekani Milioni 32 kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kama sehemu ya gharama za maandalizi ya kuwa mwenyeji...
Mwenyekiti wa Tume ya kutathmini matumizi ya ardhi katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, Jaji Dkt. Gerald Ndika, amesema baadhi ya wananchi katika maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba wameeleza malalamiko yanayohusu matumizi ya ardhi na ushirikishwaji katika maamuzi.
Akizungumza Alhamisi...
Rais Samia Suluhu, akipokea taarifa ya Tume za Rais alizoziunda kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Machi 12, 2026, Ikulu Chamwino, Dodoma.
https://www.youtube.com/watch?v=kKU_Zsb_8bw
Mwenyekiti wa...
Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasihi viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia kipindi cha toba cha Ramadhani na Kwaresma kuiombea nchi, viongozi wa serikali na vyama vya siasa ili kuendelea kujenga taifa lenye upendo, amani na mshikamano.
Makamu wa Rais amesema...
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
afrika
afrika mashariki
grace samiasuluhu
hali
hali ngumu
hela
kitendo
mashariki
mtu
mwema
ngumu
rais
rais samiasamiasamia amuasili mtoto mchanga
samiasuluhuhassan
sio
umma
wakati
wazungu
who
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano.
Butiku ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day)...
Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati.
Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya...
Ya kweli haya ndugu zangu?
Kila kitu pipo shwari baada ya uchaguzi? Mambo yamerejea kama kawaida na uchumi umekua?
=====
"Tanzania tuko watulivu na tuko sawa. Kisiasa, kila kitu kiko chini ya udhibiti baada ya uchaguzi wetu wa Oktoba. Sasa nchi imerejea katika hali ya kawaida na tunaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.