samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Urusi imelenga kupanua fursa, si kubadili washirika wa maendeleo

    Anaandika Gulatone Masiga Katika siku za karibuni, ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan, nchini Urusi imeibua mijadala mbalimbali kuhusu mwelekeo wa sera ya mambo ya nje ya Tanzania. Wapo wanaoona kuwa hatua hiyo inaweza kutafsiriwa kama ishara...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Rais Samia alinikabidhi mamlaka ya urais wakati anaenda nchini Urusi

    Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, Juni 5, 2026, ameongoza maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma. Katika maadhimisho hayo amesema; "Tulimwomba Rais Samia awe mgeni rasmi wa tukio hili muhimu la Siku ya...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026

    DAR ES SALAAM — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Russia kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu...
  4. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mary Chatanda: Samia angenipa nchi dakika moja, ningeimaliza CHADEMA

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi. Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kushiriki Mkutano wa Nishati ya Nyuklia, Rwanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo anaondoka nchini kuelekea Kigali, Rwanda, kushiriki Mkutano wa Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA 2026). Mkutano huo utakutanisha viongozi wa Serikali, watunga sera, wawekezaji, wadhibiti na wadau...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025

    Rais Samia Suluhu amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shabani Ally Lila, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya ghasia ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Picha hii imeboreshwa na AI Soma Pia: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kikwete: Nchi ni tulivu, mambo safi chini ya Rais Samia

    "Nakupongeza sana kwa kazi kubwa unayoendelea kufanya nchini katika maeneo mbalimbali, katika nyanja mbalimbali. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia na kwa hii ambayo tumeona leo, kwanza kuhusu uwanja wa ndege, uwanja wa ndege wa Msalato umekuwa ni dhima ya viongozi...
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania DAR: Rais Samia ameshiriki katika ufungaji wa Mafunzo ya uongozi wa Jeshi la Magereza

    Rais Samia akihitimisha Mafunzo ya Uongozi Ngazi ya Juu Kozi Namba 28 na Uongozi Daraja la Pili Kozi Namba 48 kwa Mwaka 2025/2026 katika Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania, tarehe 09 Mei, 2026 https://www.youtube.com/live/-LKQVXj5BDs?si=PECkaWHZ0XKmTz6R Video Courtesy: State house
  9. U

    JamiiForums Tanzania Miradi mikuu ya kimkakati chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, 2021 – sasa

    MIRADI MIKUU YA KIMKAKATI CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, 2021 – SASA Uongozi wa awamu ya sita umewekeza katika uendelezaji wa miradi ya kitaifa yenye tija kwa uchumi, huduma za jamii na ushindani wa Tanzania kikanda. Ifuatayo ni orodha ya miradi 11 mikuu: 1...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Gachagua: Samia Suluhu ni Dikteta mbaya sana mwenye damu za watu mikononi mwake. ICC inaendelea kumbana taratibu

    Samia Suluhu ni dikteta mbaya sana mwenye damu za watu mikononi mwake, tunafurahi kwamba Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaendelea kumbana taratibu
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Paul Kagame, akipiga magoti mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mtandao wa Facebook likimuonesha Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, akipiga magoti mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa ziara yake ya siku moja nchini Tanzania. Je ?ni upi uhalisia wa chapisho hilo la...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania FALSE Samia suluhu hassan has allegedly given South African citizens 48 hours to leave the country

  13. U

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Rais Kagame una maana kubwa sana kidiplomasia

    Ujio wa Raisi Kagame una maana kubwa sana kidiplomasia na unadhihirisha ushupavu wa Mama Katika anga za kimataifa , Hongera sana Mh Mama Samia kwa kuendelea kuifungua Tanzania kimataifa. Ujio wa Rais Kagame ni uthibitisho wa heshima na uongozi wako mahiri. Ujirani mwema ndio msingi wa amani na...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan anaweza kuwa rais anayevunja matumaini zaidi barani Afrika

    Ukurasa wa The Economist imeeleza namna Watanzania walikuwa na matumaini kuwa Samia Suluhu Hassan angeingiza jamii iliyo wazi zaidi. Sasa utawala wake wenye ukandamizaji unahatarisha mafanikio ya nchi na mustakabali wake. Kupakwa rangi (kufichwa kwa ukweli) kwa hivi karibuni kwa mauaji ya baada...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Gazeti la The Economist laandika; "Is Samia Suluhu Hassan Africa's most dissappointing president?"

    Gazeti la The Economist la Aprili 30, 2026 limechapisha makala yenye kichwa: "Is Samia Suluhu Hassan Africa's most disappointing president?" — yaani "Je, Samia Suluhu Hassan ndiye rais aliyekatisha tamaa zaidi barani Afrika?" Katika makala hiyo, The Economist inaelezea Ukatili wa dola...
  16. Kiranga

    JamiiForums Tanzania The Economist: Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?

    From The Economist April 30 2026 Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president? Photograph: Xinhua News Agency/Eyevine Apr 30th 2026 | 3 min read Tanzania has had dramatic ups and downs. In the 1970s the government of this east African country forced farmers into collective...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia atumia vifungu vya Biblia na Qur'an kutoa wito wa toba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametumia vifungu vya Biblia na Qur'an kutoa wito wa toba, unyenyekevu na kuomba msamaha kwa Mungu kufuatia Matukio ya Oktoba 29 yaliyoikumba nchi. Akinukuu Biblia katika kitabu cha 2 Mambo ya Nyakati 7:14, Rais Samia amesema, “Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu...
  18. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Naiona hekima, busara, unyenyekevu na uzalendo mkubwa wa Rais Samia. Awe darasa kwetu sote

    Ukisikiliza hotuba za Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, unaona ni hotuba zilizobeba uzalendo, hekima, unyenyekevu na busara ya Hali ya juu sana. Nimekuwa nikifatilia hotuba za Marais wa bara la Africa unaona kabisa wanakosa hekima, unaona kabisa hotuba zao zimejaa kubomoa hata jumuia zetu...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hii ni ripoti ya Rais, aliyeunda Tume ni Rais, wasitokee watu wengine wakadai ownership

    Rais Samia amesema; "Mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership ya ripoti hii, ni ripoti ya Rais. Nilisema tume za huko nyuma zilikuwa zinabanwa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Ni sisi tuliopoteza watoto wetu, haiwezekani asiye Mtanzania awe na uchungu zaidi yetu

    Rais Samia akipokea ripoti amesema; "Kwa desturi ya waungwana, linapotokea jambo la hasara na kuumiza mioyo, matarajio ni kufarijiwa badala ya kuzodolewa kwa vyovyote vile. Kwa vyovyote vile, walioumizwa na tukio lile ni sisi Watanzania. Ni sisi tuliopoteza watoto wetu, ni sisi tuliopoteza ndugu...
Back
Top Bottom