Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
#JusticeForPeachyVillage #SamiaTusikie #TanzaniaYaHaki #StopCorporateImpunity #Uchaguzi2025 #TunakufaKimya
Mama Samia Suluhu Hassan —
Mmehimiza Watanzania tujiajiri. Tujitume. Tuvumilie.
Sisi Peachy Village Company Ltd — tulitii. Tukaamini. Tukawekeza kila kitu tulichokuwa nacho.
Benki ya CRDB...
Mnisamehe lakini sasa budi niulize maswali yangu kadhaa, nipate mantiki na uelewa na nipate majibu ya kimantiki ya Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam.
Kwanza braza Chalamila anisaidie kuelewa ni Watanzania wangapi wanaishi "Ikulu" , Boma, Ushuani na ni wangapi wanaishi "Kitaa" na ikiwa anajua kwamba...
Kuna kitu cha ajabu kidogo kinaendelea hapa Tanzania kuhusu magari yenye plate number zenye maandishi ya SSH zikifuatiwa na namba za 25 30, 2025 30, nk
Nimewahi kudadisi na kuchunguza kupitia afisa wa TRA, Trafiki wa barabarani na wamiliki wa hayo magari, na haya ndio niliyogundua.
Afisa wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya kikazi ya...
Rais wa Umoja wa Mitume na Manabii Tanzania, Nabii Dkt. Joshua Aram Mwantyala, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya ajabu, kiasi cha kumfananisha na mtu aliyepewa msaada wa Malaika na Mungu katika kutekeleza majukumu yake. Amesema Rais amewekeza fedha nyingi za kutisha kwenye...
Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa akizunguza Clouds TV
"CCM na Mwenyekiti wao chini ya uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan hatusikii sana masuala yenye kuhusiana na kashfa na hatusikii sana masuala ya ufisadi. Alisema hatakuwa na Mswalie Mtume na wale ambao wanachukua pesa za...
Wakuu
Vyama vya siasa ACT Wazalendo, CHAUMMA, na wengine ambao mnashiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mmesikia kauli ya Rais Samia?
Rais Samia wakati wa kuhitimisha shughuli za bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ijumaa Juni 27, 2025 alihimiza Vyama vyote vya Siasa nchini kutoa fursa...
YAH: OMBI NA USHAURI KUHUSU UFANISI WA OFISI ZA UMMA NA MAADILI YA WATUMISHI WA UMMA
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nachukua nafasi hii kukuandikia barua ya wazi nikionesha hisia zangu na hisia za wananchi wenzangu, hasa wa hali ya chini, kuhusu baadhi ya changamoto ambazo...
Rais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje, kuna nini? Awali tuliambiwa ataingia Ukumbini saa Tisa lakini mpaka sasa saa Kumi na dakika 23 bado hajatoke na hakuna taarifa yoyote.
Hapa Spika Tulia akitoa ufafanuzi wa utaratibu wa Bunge wakati Rais na wageni wakiingia Bungeni, na...
Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda amesema kuwa baada ya Rais Samia kulihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atajiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi (CCM) kama atapata ridhaa.
Soma zaidi: Mbunge Sophia Mwakagenda aitema CHADEMA, Ajiunga rasmi...
#IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii
📆 16 - 22 Juni, 2025.
dkt. samia
dkt. samiasuluhuhassan
jamhuri
jamhuri ya muungano
katika
matukio
muhimu
muhtasari
muungano
rais
rais wa jamhuri
samiasamiasuluhusamiasuluhuhassansuluhu
tanzania
wiki
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi huyo mkimuangalia "amechanganyikiwa".
Pia, Soma: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata...
Naibu Spika na Mbunge wa Ilala (CCM), Mussa Zungu, amewaaga wabunge na watumishi wa Bunge leo Ijumaa, Juni 20, 2025, akiwahimiza kuwa na ushupavu na kuzingatia mambo matano muhimu yatakayowarejesha katika Bunge la 13.
Zungu amewatakia heri Wabunge wote kuelekea kuhitimishwa kwa Bunge la 12...
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao alikuwa na haya baada ya Mpina kutoendekeza Uchawa kwa Rais
"Mh Rais Samia Suluhu Hassan hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu Akaona Anaweza kusema chochote kwenye Nyakati zote, Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na...
Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi.
Pia, Soma: Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025.
Kabla ya kutoa pole hizo, Rais alitembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya...
Rais Samia amemcha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akihutubia Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 17 Juni, 2025 akisema kuwa;
"Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, amenishangaza kwa kusema Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka Nywele"