samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    PreGE2025 Askofu Shoo: Maslahi binafsi yasitupofushe dhidi ya mazuri ya Rais Samia

    "Sisi Viongozi wa dini, Viongozi wa kiroho tunahitaji kuhimiza pamoja na haya mambo haya ya kisiasa au mambo yanayohusu uchaguzi Mkuu, Kuhimiza maboresho katika utoaji wa huduma muhimu kwa jamii. Ustawi wa watu unategemea upatikanaji bora wa huduma za afya, elimu, maji safi na huduma nyingine za...
  2. JanguKamaJangu

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua, Shaaban Kisu kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua, Shaaban Kisu kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu. Taarifa imetolewa leo Mei 7,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi,Moses Kusiluka katika hafla ya waandishi wa habari wateule kwenye Tuzo za Samia Kalamu Awards,zilizokabidhiwa Mei 5,2025. Chanzo: Nipashe
  3. J

    PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

    == Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa. Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP)...
  4. Ojuolegbha

    #IkuluWIkiHii: Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu katika wiki

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
  5. Nicolas J Clinton Gabone

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Tanzania ya mshikamano

    RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA TANZANIA YA MSHIKAMANO Na, Nicolas Jovin Clinton Gabone. Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Mageuzi (JUVIMA)-NCCR-Mageuzi Dar Es Salaam 4 May 2025. Rais Samia Suluhu Hassan ni moja ya wanawake wachache wenye uwezo na nguvu ambao wamefanikiwa kuongoza...
  6. I

    Mei mosi ya matumaini: Rais Samia aandika rekodi mpya ya wafanyakazi Tanzania

    Leo hii, taifa zima linaitazama Singida ambako maelfu ya Watanzania wanaadhimisha Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi. Lakini kilicho tofauti mwaka huu si tukio lenyewe, bali hisia mpya zinazoambatana nalo: matumaini, faraja, na shukrani kwa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika macho...
  7. D

    Rais Samia na Mei Mosi

    Utangulizi Mei Mosi ni siku ya kimataifa ya wafanyakazi, inayotumika kutambua, kusherehekea, na kuangazia mchango muhimu wa wafanyakazi katika maendeleo ya taifa. Katika Tanzania, siku hii huadhimishwa kwa hamasa kubwa, huku serikali na vyama vya wafanyakazi wakitumia fursa hiyo kuzungumzia...
  8. W

    Jesca Magufuli: Wadogo zetu wanalipiwa ada ya chuo na Rais Samia

    Wakati akifanya mahojiano na Millard Ayo hivi karibuni, Jesca Magufuli ameeleza kuwa Rais Samia Hassan ameendelea kuwa na mchango mkubwa katika familia yao. Ameeleza kuwa bado anaendeleza matibabu ya bibi yao ambaye amekuwa akiugua hata kabla John Magufuli hajafariki. Aidha wadogo zao waliokuwa...
  9. Allen Kilewella

    Ni lini umewahi kumsikia Rais Samia Suluhu Hassan akizungumzia mambo haya?

    Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan. Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi? Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu

    John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu "Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi...
  11. W

    PreGE2025 Kiliba: Wanavyuo tunaposema tunamuhitaji Rais Samia arudi madarakani tuna hoja za msingi

    Vijana haswa hawa viongozi wa chuo wanajisahau sana baadaye wakirudi mtaana wanaanza kulalamika tena kwa hivi sasa wana platform wanaishia kuimba mapambio. === Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za elimu ya Juu Nchini Ndugu Geofrey Kiliba akizungumza na viongozi WA Serikali y Wanafunzi...
  12. The Father of All

    Nina mpango wa kupambana na Samia Suluhu Hassan kwenye ucchakachuaji ujao kama independent candidate

    Japo naunga mkono no reforms no elections, napanga kumpinga SSH lau asipite bila kupingwa na kujiona anapendwa wakati anchukiwa. Naombeeni kura zenu wanangu. Katika uchaguzi huu mgombea mwenza wangu atakuwa mke wangu ili kuvutia kura za akina mama. Mie sina dini. Mke wangu amesilimu juzi juzi...
  13. Benson Mramba

    PreGE2025 Rais Samia anataka mitano tena akafanye nini zaidi?

    Binafsi ningekuwa mshauri wa Rais ningemshauri katika kipindi hiki kifupi awape Watanzania Either Tume huru ya Uchaguzi au Katiba Mpya au vyote halafu asigombee tena Urais. Kwanini? Kwasababu mpaka kufikia October mwaka huu Mungu ajaliapo Bwawa la Nyerere litakuwa na Jina lake, SGR lots zote...
  14. W

    PreGE2025 Ndumbaro anaposema Samia Legal Aid siyo bure ni kwamba wote tumelipiwa na Rais anamaanisha hizo hela zinatoka mfukoni mwake ama?

    Akizungumza katika Uzinduzi wa msaada wa Kisheria wa mama Samia, waziri wa katiba na sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa kampeni hiyo inaonekana ni bure na inatolewa bure kwa wananchi lakini ki uhalisia huduma hiyo imelipiwa na Rais Samia.
  15. S

    PreGE2025 Samia na serikali yake watakula za uso waraka wa pasaka. Kumkamata Lisu Samia kafanya kosa la kiufundi

    Nyaraka za pasaka toka makanisa tofauti zitajaa masimango, vijembe na ukosoaji wa serikali ya rais Samia. Hii inatarajiwa kutokea kufuataia makosa ya kubambikiwa aliyopewa Lisu na kupelekea kukamatwa kwake. Kukamatwa kwa Lisu kutaifanya serikali ya Samia kuchukiwa zaidi na wananchi na hatimaye...
  16. KING MIDAS

    Eti Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kweli kuwa nyuma ya uovu anaotendewa Tundu Lissu?

    Sitaki kuamini kwamba MamaSamia2025 yuko nyuma ya mpango wa hiki kinachoendelea. Ninafahamu kwamba MamaSamia2025 ni MTU mwenye dhamira safi licha ya kwamba watu walipotekwa alisema ni vijidrama na Mzee Kibao alipouawa na watu wanaodaiwa ni Polisi, akawapa Polisi haohao KAZI ya kujichunguza na...
  17. The Palm Beach

    Hivi huyu Samia Suluhu aliye kwenye kikao hiki na Hayati Rais Magufuli ndiye huyu aliye Rais wa Tanzania Leo?

    https://youtu.be/8RLQbwTTqTU?si=rcVAi6NXBIxw43aW ➡️Kumbe binadamu anaweza kubadilika kutoka kuwa mtu mwema na kuwa mtu mbaya na katili sana aieseee... ➡️Kwenye video hii hapo anaonekana Hayati Rais John P. Magufuli na aliyekuwa Vice President (VP) wake by then, Bi Samia Suluhu Hassan katika...
  18. peno hasegawa

    Agenda ya Rais Donald Trump: Marekani Kwanza, Agenda ya Rais Samia Suluhu Hassan Haijulikani – Je, Tanzania Inaelekea Wapi?

    Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu ya "Marekani Kwanza." Ajenda hii ililenga kuboresha uchumi wa Marekani, kuleta ajira, na kulinda...
  19. Ojuolegbha

    Rais Samia akisalimiana na kuzungumza na Bibi Moza Hamid na Mume wake Professa Saleh Idrisa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Bibi Moza Hamid na Mume wake Professa Saleh Idrisa wakati alipowatembelea kuwajuilia hali nyumbani kwao Maisara Zanzibar tarehe 03 April 2025.
  20. W

    PreGE2025 John Mnyika: Rais amewadanganya viongozi wa dini kuhusu mabadiliko ya uchaguzi, ataka kauli hiyo ipuuzwe

    Katibu mkuuwa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Kauli aliyoitoa Rais Samia kwa viongozi wa dini kuhusu mabadiliko yaliyofanyika kwenye uchaguzi. Ameeleza kuwa kauli hiyo ipuuzwe na wadau waendelee na Ajenda ya No reforms No election
Back
Top Bottom