Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Wakuu!
CCM wanatafuta nyomi la kutengeneza huko,
==
Halmashauri ya Manispaa ya Geita imeandika barua kwa Wakuu wa Shule Binafsi, Msingi na Sekondari katika Manispaa hiyo, ikiomba magari kwa ajili ya kusafirisha wananchi kwenda Mwanza kushiriki katika ujio wa Rais Samia katika hafla ya...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Makongoro Nyerere Makongoro Nyerere amewataka wananchi kushiriki katika uchaguzi Mkuu ujao akisisitiza umuhimu wa maandalizi bora kuelekea uchaguzi ujao.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa na uongozi wa Mkoa, Makongoro amewataka wakazi wa Rukwa kuhakikisha...
Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa ulipaji kodi kwa maendeleo ya nchi, akiwahimiza wafanyabiashara na wananchi kutambua kuwa kodi ndio msingi wa uendeshaji wa Taifa.
"Ndugu zangu wafanyabiashara, lazima tulipe kodi. Hamna nchi inayoendeshwa bila kodi. Hata hao wanaotusaidia, pesa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kila hatua inayochukuliwa na Serikali inalenga kuinua maisha ya wananchi na kukuza uchumi wa Taifa.
“Ndugu zangu wa Simiyu, kazi yetu kama Serikali ni kushika zao moja baada ya jingine na kulipandisha. Tayari tumeanza na mazao kadhaa. Sasa tunaenda kwenye...
Rais Samia akiwa kwenye ziara ya Kikazi Mkoani Dodoma amesema Tanzania imeweza kuvutia mitaji kutoka kwa wabia muhimu kama Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kutokana na 'Utulivu na Amani, Sera nzuri za Kiuchumi, Usimamizi dhabiti wa Miradi' mbalimbali ya maendeleo na kujituma kwa Watanzania...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni ya utoaji wa msaada wa kisheria bila malipo kwa wakazi wa Dar es Salaam, ijulikanayo kama “Mama Samia Legal Aid”.
Kampeni hiyo itazinduliwa rasmi Juni 16, 2025 katika...
Leo, Juni 10, 2025, Rais Samia amepokea gawio nono la Shilingi Trilioni 1.28, michango kutoka kwa taasisi na mashirika ya umma, ikiwa ni ongezeko la asilimia 68. Hafla hiyo imefanyika Ikulu, Dar es Salaam.
"Mbele yako leo hii Mhe. Rais ninayofuraha ya kukukabidhi Gawio ambalo ni nono kuliko la...
Wakuu
Kwa hiyo huyu Kala Jeremiah anaamini kuwa hizi No Reforms No Election zimekuwa nyingi kwa sababu Rais Samia ni mwanamke na ni mama?
Angalieni jinsi ya kumtetea Rais. Kauli kama hizi sio za kumsaidia Rais bali zinamuharibia yeye na taasisi yake
=============
Anaandika Kala Jeremiah...
Wakuu!
Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii.
Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
ccm
comments
gani
hali
inaweza
instagram
kisasi
kuelekea 2025
kung'atuka
kura
kusitishwa
magufuri
makamu
mikutano
na rais
ndani
no reforms
no reforms no election
picha
post
rais
rekodi
samiasamiasuluhuhassan
siku
spika
spika tulia
wake
wapinzani
wasiwasi
Nimeona Jana Barua ya Kufungwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima.
Nimeona Pia Clip ya Video inayosambaa ya Kuzingirwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima.
Miaka 2000 iliyopita kule JUDEA jambo kama hili lilitendwa.Ndio Lilifanyika kwa YESU,likafanyika kwa mitume na wengi wakauwawa na...
Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amehitimisha Mkutano Mkuu wa chama hicho kwa kutoa wito wa mshikamano na umoja miongoni mwa wanachama kuelekea kipindi cha uchaguzi.
Akizungumza mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu, Rais Samia amesema kuwa tayari hali inaonyesha...
Nitafurahi sana Baraza la Mawaziri likiwa hivi, watu wa kazi kabisa hawa
1. Pro Kitila Mkumbo - Waziri Mkuu
2. Jumaa Aweso - Waziri wa Maji
3. Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
4. David Kafullila - Waziri wa Mipango na Uwekezaji
5 Waziri wa Viwanda na Biashara - Kadogosa
6 Michezo na Utamaduni -...
Trump katoa masaa 24 kwa rais wa TZ mama Samia kuomba msamaha kwa kenya na kasema hapendi mtu anaechezea kenya na asipo fanya ivyo ata sitisha misaada yote marekani anayo saidia TZ.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa katika chama hicho.
Akizungumza leo Mei, 28 katika tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi jengo jipya la Makao Makuu ya CCM...
Rais Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi leo Mei 28, 2025 Jijini Dodoma amesema;
"Tukio hili la kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi lina umuhimu wa pekee kwa upande mmoja linaakisi ndoto ya waasisi wa Chama chetu wakiongozwa...
Wakuu!
Amka! Pesa za walipa Kodi zinatolewa kama 'kifuta jasho' cha Burudani. Rais Samia, Mwinyi wagawa bahasha kwa Mrisho Mpoto baada ya kutumbuiza kwenye shughuli ya CCM huko Dodoma.
Soma: Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?
Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha.
"Lakini...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, leo Jumatatu tarehe 26, Mei 2025.
https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg
https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7
#Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
baada
kauli
kenya
kutoa
rais
rais samia
rais samiasuluhu
rais samiasuluhuhassan
rais william ruto
ruto
samiasamiasuluhusamiasuluhuhassansuluhu
tanzania
wakenya
william
william ruto
Wakuu!
Drama za Uchaguzi zinaendelea...Series hii ni ya Watu wenye Ulemavu
Katila Hafla ya uzinduzi wa soko la Nyama Choma la Kumbilamoto wananchi wenye ulemavu wamemchangia Fedha Rais Samia Suluhu Hassan na kumuahidi kumpa kura zote katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.