samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndugu zangu wa Yanga tuhakikishe mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan anashinda kwa Kishindo ili Yanga izidi kuwa tishio

    Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu yenu. #NOREFORMS_NO_ELECTION Asante.
  2. Tofauti kubwa ya Magufuli the Great na Samia Suluhu Hassan ni hii hapa

    Licha ya kuitwa mbabe, dikteta na majina mengine mabaya, Magufuli alikuwa na mvuto wa pekee kwa wananchi kiasi kwamba hata hotuba zake zilivuta usikivu mkubwa sana kila kona ya dunia. Raia walimpenda kwa uamuzi wake wa papo kwa hapo na jinsi alivyonyoosha nidhamu katika ofisi ya Umma. Kwa...
  3. GE2025 Mwandishi wa Habari na Kada wa CCM, Harubu Kabwe: Nitamlinda Rais Samia kwa gharama yoyote, yeye ni Lulu ya Taifa letu

    Mwandishi wa Habari na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Harubu Kabwe amesema; "Nitamlinda Rais wangu Samia Suluhu Hassan kwa gharama yoyote ile, Rais ni Lulu kwa Taifa letu la Tanzania"
  4. GE2025 Samia Suluhu Hassan, sisi hatuna deni nawe, ila wewe ndie unayetudai, na mwaka huu wa uchaguzi tutakulipa deni lako kama Taifa

    Asante kwa 4RS zilizo unganisha taifa na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu. Asante kwa maendeleo ya uhakika ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa kwa muda mfupi tu. Pongezi kwa kua champion wa nishati safi ya kupikia na rafiki wa mazingira Africa. Shukrani kwa kuipa...
  5. Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana Kwaamaana October tunataka kutic Ni wapi alipo rais wetu Asanten sana LONDON BOY
  6. Mimi Ponjoro wa Kinondoni October Sitamuunga mkono Samia Suluhu Hassan. Namwomba Apumzike kama Philip Mpango na Majaliwa Majaliwa

    Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake. 1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa...
  7. S

    GE2025 Rais Samia amekumbana na mitihani mizito katika uongozi wake lakini ameishinda yote, Oktoba tunatiki mwanzo-mwisho

    Serikali unayoongoza mheshimiwa Rais ndio serikali iliyokutana na mikikimikiki mingi kuliko pengine serikali zote zilizopita lakini umeshinda vita hizi. Changamoto hizo ni ifuatavyo. 1. Dini kutaka kutumika kudhoofisha utawala wako mfano kauli za father kitima ni dhahiri chuki tu wala sio...
  8. GE2025 Rais Samia apata mpinzani mwingine: Rose Kahoji wa CUF atangaza nia ya kugombea Urais

    Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Rose Kahoji amekuwa mwanamke wa tatu nchini kutangaza nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
  9. Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia

    Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Freeman Mbowe amepata picha ya kipekee ya pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uzinduzi wa Dira 2050, uliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma.
  10. J

    Rais Samia azindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Dodoma Julai 17, 2025

    Usiondoke JF Rais Samia Suluhu Hassan leo anazindua rasmi Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 hafla itakayofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Uzinduzi huo utafanyika wakati wa Mkutano wa Tatu wa Taifa wa Dira, na unatajwa kuwa ni tukio kubwa la kihistoria, likiwa ni mara ya...
  11. Safari ya Samia Suluhu Hassan: Mwanamke wa Kawaida Aliyeandika Historia ya Taifa

    Samia Suluhu Hassan alizaliwa tarehe 27 Januari 1960 katika kijiji cha Makunduchi, kilichopo Zanzibar. Alizaliwa katika familia ya walimu, baba yake akiwa mwalimu wa shule na mama yake mama wa nyumbani. Alikulia katika mazingira ya kawaida, akipitia changamoto za maisha ya visiwani kabla ya...
  12. GE2025 Rais Samia achangia Tsh. Milioni 50 ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu Maswa

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu. Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alisema Dkt. Samia anatambua...
  13. Ikulu WikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais Samia

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii tarehe 7 - 13 Julai, 2025.
  14. P

    "Mmeagiza Tujiajiri — Lakini Mnatumaliza"

    #JusticeForPeachyVillage #SamiaTusikie #TanzaniaYaHaki #StopCorporateImpunity #Uchaguzi2025 #TunakufaKimya Mama Samia Suluhu Hassan — Mmehimiza Watanzania tujiajiri. Tujitume. Tuvumilie. Sisi Peachy Village Company Ltd — tulitii. Tukaamini. Tukawekeza kila kitu tulichokuwa nacho. Benki ya CRDB...
  15. Bonge la Ngoma: Nikki Mbishi Fit Mama. Sikiliza mwenyewe hapa

    https://youtu.be/WDTZHBAdsv4?si=NlySPzTCFWaIXiUd
  16. Kwani RC Chalamila ana mashaka na uwezo wa Rais Samia kuongoza mabadiliko!!?

    Mnisamehe lakini sasa budi niulize maswali yangu kadhaa, nipate mantiki na uelewa na nipate majibu ya kimantiki ya Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam. Kwanza braza Chalamila anisaidie kuelewa ni Watanzania wangapi wanaishi "Ikulu" , Boma, Ushuani na ni wangapi wanaishi "Kitaa" na ikiwa anajua kwamba...
  17. GE2025 DOKEZO Responded Nani anaratibu au kusajili haya magari yenye plate number mfanano zenye maandishi ya SSH? Tunajua athari zake?

    Kuna kitu cha ajabu kidogo kinaendelea hapa Tanzania kuhusu magari yenye plate number zenye maandishi ya SSH zikifuatiwa na namba za 25 30, 2025 30, nk Nimewahi kudadisi na kuchunguza kupitia afisa wa TRA, Trafiki wa barabarani na wamiliki wa hayo magari, na haya ndio niliyogundua. Afisa wa...
  18. J

    Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alivyopokelewa na gwaride la jeshi la Umoja wa visiwa vya Comoro

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya kikazi ya...
  19. VIDEO: Boniface Mwamposa akimuombea baraka Rais Samia

    Mtume Boniface Mwamposa akimuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kanisa Jipya la Arise and Shine la Mtume huyo.
  20. GE2025 Nabii Dkt. Mwantyala: Rais Samia umefanya Kazi kubwa ajabu, utadhani Mungu alikuagizia Malaika wa kukusaidia

    Rais wa Umoja wa Mitume na Manabii Tanzania, Nabii Dkt. Joshua Aram Mwantyala, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya ajabu, kiasi cha kumfananisha na mtu aliyepewa msaada wa Malaika na Mungu katika kutekeleza majukumu yake. Amesema Rais amewekeza fedha nyingi za kutisha kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…