samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutafanya utafiti mkubwa wa Madini Mbogwe

    Mgombea wa Urais wa JMT kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema endapo atapewa ridhaa ya kuunda Serikali katika kipindi kijacho cha miaka mitano, moja ya vipaumbele vyake vikuu itakuwa kufanya utafiti mkubwa wa maeneo yenye madini nchini ili kuongeza mchango wa sekta hiyo...
  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Serikali imeanza ujenzi wa uzio ndani ya Ziwa Victoria kudhibiti mamba

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imeanza ujenzi wa uzio ndani ya Ziwa Victoria kwa lengo la kudhibiti mamba ili kuwalinda wananchi wanaotumia ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali. Akizungumza leo, Jumanne...
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Namshauri mgombea wa Urais wa CCM afanye haya kwenye miaka Mitano ijayo

    1. Abadili katiba itakayomfanya atawale mpaka azeeke awe kikongwe, maana support hiyo anayo, ili aendelee kutuletea maendeleo. 2. Awatoe wa bara wote waliopo zanzibar, maana hao watu wanadamu yenye unafiki na uoga ili yasije yakawambukiza wazanzibar. 3. Apandishe gharama ya umeme. Unit moja...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salome Makamba: Rais Samia walipotaka kukuchokoza, walishia kwenye mikono ya sheria wanalia wameonewa

    "Mhe. Rais wewe kama uwaridi unayo miba ambayo ni sheria nzuri, kanuni, taratibu, mila na desturi ambapo pale ulipotaka kuonesha waridi lako kwa kuweka 4R walipotaka kukuchokoza waliishia kwenye mikono ya sheria. Wewe kama ua zuri ulipotaka kuweka demokrasoa na uwanja sawa wa siasa wale ndugu...
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnaenda kwenye kampeni halafu mnabananishwa hukohuko

    Mgombea Urais alipowaamuri Askari kuwashughulikia baadhi vijana waliokuwa wakileta fujo/ kuwasukuma wenzao kwa makusudi kwenye kampeni za mgombea urais kupitia CCM maeneo ya Serengeti mkoani Mara. ============== Panic button ipo ON 🚨 🚨 🚨 🚨 Hao watatoka jumatatu au baada ya tarehe 29
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masanja Kadogosa: Samia alishamaliza kazi. Kwa sasa anapita tu kuwasalimia wananchi

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Bariadi vijijini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Masanja kadogosa amesema kazi kubwa aliyoifanya Mgombea wa Urais kupitia chama hicho, dk Samia Suluhu katika mikoa ya kanda ya ziwa hana haja ya kuongea sana kwasababu kazi aliyoifanya akiwa madarakani imetosha...
  7. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia ashangazwa na idadi ya watu Shinyanga kwenye kampeni yake leo

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na wingi wa watu waliyojitokeza wakati wa alipoingia Shinga ikiwa ni muendelezo wa Kampein kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
  8. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mkiweka madiwani wa vyama vingine, maendeleo yatachelewa

    Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa Urais wa Tanzania, akizungumza Maganzo, Kishapu Mkoani Shinyanga leo Jumamosi Oktoba 11, 2025 alisema: "Ilani niliyomkabidhi Mgombea Ubunge ni ya Kitaifa na ya Mkoa na Madiwani pia nimewapa Ilani ndogo za Mkoa wa Shinyanga. Ombi langu msiende...
  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kibati Kikipasuka, sisi tuko nao, ninayezungumza ni Amirijeshi mkuu, Tokeni mkapige Kura Oktoba 29, 2025

    "Tumedhamiria kufanya kazi. Tumefanya kazi mmeiona na tunajiamini kwamba tutaweza kufanya tena kazi kipindi cha pili cha awamu ya sita, kazi ya kuonekana kwamaana hiyo niombe mtuchague Chama Cha Mapinduzi “Na hapa niseme ndugu zangu ili niwatoe hofu, kuna watu wanatishatisha ili kuwafanya watu...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso: Samia na Nchimbi kwa pamoja wanaenda kujenga taifa lenye umoja na mshikamano

    Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Cecilia Paresso ametoa wito kwa wananchi wa Rufiji kumpigia kura mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi kwani viongozi hao watapochanguliwa watajenga taifa lenye mshikamano, umoja na maendeleo kwa wote...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tanzania tutaijenga wanawake na wanaume, acheni ubaguzi

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza suala la mshikamano na umoja miongoni mwa watanzania pamoja na kuachana na imani, tamaduni na mila zenye kuwakandamiza wanawake na kuamini kuwa hawafai...
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jokate Mwegelo: Vijana wenzangu, hatuna Tanzania nyingine zaidi ya hii. Oktoba 29 tumrejeshe Samia Suluhu

    "Vijana wenzangu, hatuna Tanzania nyingine zaidi ya hii. Oktoba 29 ni siku ya kufanya maamuzi ya kumleta tena Dkt Samia Suluhu" — Jokate Mwegelo
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wilson Mahera: Samia ametimiza maono ya Mwalimu Nyerere, Butiama

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge kwenye Jimbo la Butiama Mkoani Mara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Wilson Mahera amesema Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza ndoto na maono ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa kujenga Chuo cha Kilimo Butiama Mkoani Mara ambapo takribani...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Wanawasaidia wagombea wa vyama pinzani ili kuikomoa CCM

    Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Kuna watu wanawasaidia wagombea wa vyama vya upinzani ili kuikomoa CCM Dkt. Samia ameyasema hayo Musoma Mjini Mkoani Mara kwenye mwendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM waogopa hadi bendera! Mwenyekiti wa CCM aagiza bendera za CHADEMA zishushwe wakati wa ziara ya kampeni ya Samia

    Katika video inayosambaa mitandaoni ikionyesha kundi la wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika harakati za kushusha bendera za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika maeneo mbalimbali ya Musoma. Kwa mujibu wa maelezo yanayosikika kwenye video hiyo, hatua hiyo inadaiwa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Reli ya SGR na kuupanua uwanja wa ndege wa Mara, kutaleta mageuzi ya kiuchumi

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ikiwa atapewa nafasi ya kuunda serikali kupitia uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, atauendeleza na kuupanua uwanja wa ndege wa Mara ili kuufanya kuwa na uwezo...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanawake wa Rufiji wakigaragara chini kumpokea Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Vituko vinaendelea huko! Pesa zinasakwa jamani kwa kila njia Yani unajidhalilisha kisa mtu ambae akitoka hapo akukumbuki tena. Ni Huzuni kwa kweli =========================== Wanawake wa Rufiji wakigaragara chini kwa furaha wakati wa mapokezi ya mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Msiwape Kura wapinzani watawapoteza, Ukimpa Jimbo asiye CCM anaenda kuongea na nani? anaenda kumwomba barabara nani?

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Wilaya ya Bunda kutafakari kwa makini kabla ya kufanya maamuzi ya kisiasa, akisisitiza kwamba uongozi wa nchi unahitaji uzoefu na uwezo wa kusimamia masilahi ya...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tulipoingia tukamkuta Mzee Nnauye Kamati Kuu, akasema eeh, Karume kaleta haya mapapai! Kwahiyo, ningezubaa kidogo ndiyo hivyo tena

    Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, Septemba 24, 2025 aliwasimulia wananchi wa Mtama, mkoani Lindi, namna alivyoingia Kamati Kuu ya chama hicho baada ya kukutana na baba yake Nape Nnauye. “Lakini mama huyu ana mwanawe anaitwa Nape Nnauye… ngoja niwapeni...
  20. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum CHADEMA, Felista Njau awakusanya Wabebaji Mizigo kumnadi Samia

    Mbunge wa Viti Maalum Mstaafu, Felista Njau, amewataka wabebaji mizigo wa Mji Mdogo wa Mbulu kuungana kumuunga mkono Mgombea wa nafasi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu ujao, akisema kuwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta za afya, biashara na utalii ni ushahidi wa...
Back
Top Bottom