Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 08, 2025 amempokea na Kumkaribisha kwenye Chama hicho aliyekuwa Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Paul Mkobe Nzagamba...
Paul Makonda akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 08 Oktoba, 2025, Mkoa wa Mwanza amesema, "Nimekuja kuwauliza, Kosa la Dkt Samia ni lipi mpaka usinyanyuke kwenda kupiga kura siku ya tarehe 29?!"
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Arusha Mjini Poul Makonda amesema kuwa kikundi kilichokuwa kinamtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wa awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Maguli wakati anapambania uhai wake ndio hao hao wanaomtukana Mgombea wa Urais Kwa Tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mgombea Urais Kupitia CCM anatarajiwa kutua ndani ya Mwanza Mjini kwa ajili ya kufanya mkutano mkubwa wa kampeni.
Ambapo mpaka sasa Mwanza Mjini imesimama na...
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekamilisha na anaendelea kutekeleza miradi mbalimbali aliyoachiwa na mtangulizi wake Dk. John Magufuli ikiwamo daraja la Kigongo-Busisi ambalo ni refu zaidi Ukanda wa Afrika...
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini Paul Christian Makonda amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) hakitakubali katiba ivunjwe kwa kutofanya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Ameongeza kwa kuwataka wananchi kudumisha amani kwakuwa hakuna Tanzania nyingine na kwamba wote wanaohamasisha uvunjifu wa...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Samia Suluhu kwenye kampeni zake huko Buhongwa, Mwanza amesema, "CCM inaomba mtupe kazi, tukafanye kazi, tujenge utu wa Mtanzania, tuuheshimishe utu wa Mtanzania, na tuulinde utu wa Mtanzania."
Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni tarehe 07 Oktoba, 2025 katika Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza amewataka Mabalozi wahakikisheni Wananchi wote walioandikishwa wanapiga Kura siku ya Uchaguzi Oktoba...
Hii leo Mgombea wa urais kupitia CCM ametua mwanza na ndege ya nchi, Naomba kufahau hii ndege ilikuwa na safari ya kwenda Mwanza kukiwa na abiria wengine au yeye binafsi na wafuasi wake? hii ni aibu sana unatumiaje ndege ya nchi kwenye kampeni za chama? watanzania tuamke usingizini tunapigwa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM Lazaro Nyalandu, amewaomba watanzani kujitokeza kusikiliza sera za mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho Dkt Samia Suluhu Hassan ili ifikapo Octoba 29 mwaka huu waweze kumchangua kuliongoza Taifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza katika ofisi za...
Kwa wanaojua kilichotokea baada ya Mzee Benjamin Mkapa kumaliza ngwe yake, watakubaliana nami, kuwa, kwa mazoea, mrithi wake alipaswa kutoka Visiwani.
Hata hivyo, haikuwa. Why? Jibu ni rahisi kuwa wanamtandao hawakutaka nafasi yao ichukuliwe na mwingine. Baada ya Kikwete, wanamtandao...
Polepole Septemba 30, 2025 aliendelea kusisitiza kuwa uteuzi wa Dkt. Nchimbi kama mgombea mwenza wa Rais Samia, ulikumbwa na kashikashi ambazo zilipelekea kutaka kumtoa. Lakini wale anaowaita CCM mtandao walimtisha mama Samia kuwa hatakiwi kumtoa Emmanueli Nchimbi.
Polepole anasisitiza kuwa...
Wakuu, sasa hivi ni saa 4 asubuhi lakini sioni chochote kinachoendelea. Je, CCM wamemaliza kampeni zao pale Babati, Manyara? Au kile kikao cha dharura cha Halmashauri Kuu ya CCM kimeathiri mwenendo wa kampeni? Naomba ufafanuzi.
Mbunge mstaafu wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema wananchi wa babati hawana deni kwa mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan kwani ni kama ameipendelea Babati kwa kufanya mambo mengi makubwa.
Gekul ametoa kauli hiyo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za Samia...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wakazi wa Kanda ya Kaskazini kuwa Mkoa wa Arusha utapewa kipaumbele cha kipekee endapo ataaminiwa kuunda serikali baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025...
Chama Cha Mapinduzi CCM Jimbo la Musoma Mjini kimelaani tukio la watu wanaotajwa kikundi cha vijana waliochana na kutoboatoboa mabango ya mgombea wao wa urais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambayo yamebandikwa maeneo mbalimbali ya Mji wa Musoma na kudai kitendo hicho hakikubaliki.
Hayo yamejiri ikiwa...
Waendesha bodaboda jiji la Mwanza wamefanya maandamano ya amani ikiwa ni maandalizi ya kumpokea mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM DKT. Samia Suluhu Hassan.
Wakizungumza Jijini Mwanza na waandishi wa habari, baadhi ya bodaboda hao akiwemo Mwenyekiti wa Umoja wa Bodaboda...
Ndugu zangu Watanzania,
Haihitaji Elimu ya Dini kulitambua hili, haihitaji uoteshwe ndoto kulifahamu hili. Kwa hakika Pasipo shaka wala wasiwasi wala kigugumizi wala simile wala hofu ni dhahiri na wazi kabisa kwa ishara zote ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania...
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi( CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake itaendelea kutoa ruzuku ya pembejeo na mbolea kwa wakulima kwa lengo la kuongeza uzajilishaji wa chakula.
Akizungumza na wananchi wa Arumeru mkoani Arusha, Oktoba Mosi 2025, Samia alisema sababu ya...
Mkulima na pia Balozi wa Shina namba 2, Kitongoji cha Mkwajuni, Kijiji na Kata ya Mwenge Mtapika, Wilaya ya Masasi, Nickson Amlima, ametangaza kutumia fedha alizopata kutokana na mauzo ya zao la mbaazi tani 11, kufadhili safari yake ya kuzunguka nchi nzima na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.