samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tazama muhtasari wa matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia 03 - 09 Novemba 2025

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, Jumatano, Novemba 5, 2025.
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Sheikh Sharif 'Majini' akimshauri rais Samia kuzima mitandao siku tano kabla ya uchaguzi

    Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi. Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI. Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je...
  5. Richard

    JamiiForums Tanzania Nimeshawasilisha barua ya mashtaka dhidi ya Rais Samia kwenye mahakama ya The Hague ICC

    ICC wamenithibitishia kuwa tiyari wana barua kadhaa kutoka kwa watanzania akiwemo mzee Malisa ambae ndiye alielianzisha ambazo zalingana na barua yangu na kwamba wapo wakisubiri barua zaidi na ushahidi wa kutosha. Hizi ni barua za tuhuma na hadi hapo ICC watapofungua jalada la kesi bado...
  6. 1gb

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa 5 pekee Duniani waliowahi kushinda Kiti cha Urais kwa 98% tangu mwaka 1990-2025

    1. Turkmenistan – Saparmurat Niyazov (1990) Asilimia: 98.29% Hali ya nchi wakati huo: Turkmenistan ilikuwa bado sehemu ya Umoja wa Kisovyeti (USSR), lakini ikaanza kuandaa mfumo wa uchaguzi wa “kidemokrasia.” Niyazov alikuwa katibu mkuu wa chama pekee cha kisiasa — Communist Party of...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia alivyomkumbatia kwa furaha Kikwete mara baada ya Uapisho kukamilika

    Rais Samia alivyomkumbatia kwa furaha Rais mstaafu Jakaya Kikwete mara baada ya shughuli ya Uapisho kukamilika.
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wageni mbalimbali waliohudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Wageni mbalimbali waliohudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Novemba, 2025 Wazungu walikuwepo kama wote Picha hii imenivutia nitaweka kwenye Wallpaper ya Laptop yangu
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Fernandes amwambia Samia wakati akiapishwa: Taifa limegawanyika na Mioyo ya Watu imejeruhiwa

    Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Askofu Vernon Fernandes wakati wa kuapishwa Samia huko Dodoma amesema; "Umepokea jukumu kubwa la kihistoria, Mhe. Rais Taifa limegawanyika na Mioyo ya Watu imejeruhiwa kwa namna mbalimbali, ombi langu kwako kwa niaba ya umma...
  10. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu afunga comments, Wapiga kura wake Milioni 31, watampongeza wapi?

    Ajabu mno, hataki wapiga kura mil.31 wampongeze, haijawahi kutokea. HAKIKA VISHINDO VYA WAKOMA VILIWAKIMBIZA WASHAMI😂😂
  11. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hongera mama, hakika umewashinda watanzania wengi waligomea kampeni zako ukawaleta kwa malori wakogoma kura ukatangaza uapisho nao umeapishwa

    Hakika wewe ni mshindi dhidi ya umma wa watanzania walio wengi Wewe mshindi dhidi ya haki za kuishi na katuo maoni? Wewe ni mshindi dhidi ya demokrasia Walijifanya wajanja wakaishia kufa mamia hawakujua wewe ni mshindi dhidi yao? Wakataka kutoa ya maoni ukawazimia mtandao maana wewe ni...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Wanabodi Utangulizi Kuna kitu kinaitwa facts na kuna fallacies. Kuna msemo wa kizungu usemao, "facts are stubborn things", yaani fact ni kitu ambacho kipo, kina exist in reality, you can't deny facts. huwezi kusema hukitambui, unaweza usikikubali lakini kipo, unaweza usikipende lakini kipo...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan won the election by 98%, no rigging, wow! Women!🤣🤣

    She won the election by 98%, no rigging, wow! Women! If it was 57% we can understand, so only 2% were on the street or....? https://vm.tiktok.com/ZMAGHLk8m/
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tabia na Matendo ya Samia Suluhu Hassan ndo Kielelezo na asili ya matendo ya Wanawake?

    Matendo ya Samia Suluhu Hassan ndo asili ya matendo ya Wanawake? Uzuri, matamshi ya maneno, ukarimu, uchapakazi macho na mdomo, ni mwanamke wa kiafrika kabisa hata huruma na matamanio. Matendo ya Samia ni kielelezo tosha. Wanawake wote waliojikomboa kiuchumi na wote walio hudhuria mkutano wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 MaRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025

    01 November 2025 Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan : "Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan akabidhiwa Hati ya Ushindi na INEC

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Ushindi wa Kiti cha Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji Jacobs Mwambegele mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Waangalizi wa Uchaguzi wapongeza usalama wa Nchi

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Samia Suluhu kwenye kilele cha kampeni za CCM, Mwanza leo Oktoba 28, 2025 amesema; "Nimekutana na makundi ya waangalizi wa uchaguzi waliokuja kuangalia tunavyofanya na yanayotokea katika uchaguzi wetu. Jambo waliloliona kubwa zaidi ya yote ni kuwa nchi...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nape: Utu wa Rais Samia ndiyo nguzo ya amani ya Taifa

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amemsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake uliojengwa katika misingi ya utu, usikivu na maridhiano. Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mtama wataka Waufungaji Wa...
Back
Top Bottom