salary

  1. Archival Sense

    Government Plans to Make Teachers Among Top Earners

    The Government of Uganda has announced plans to make teachers among the highest paid public servants in a bid to attract top-performing students to pursue a Bachelor’s degree in education. Under the proposed plan, teachers on the government payroll are set to receive significantly higher...
  2. Waziri Mayai Wa Maradhi

    Kenya’s Disciplined Forces Get Salary Increment

    As part of what the government refers to as the largest cumulative pay increase for security officials in decades, police officers, prison warders, and National Youth Service (NYS) employees will start receiving the last step of their revised salary in July. The announcement followed a meeting...
  3. M

    Waajiri wetu wametuambia tufungue account nyingine waingize mshahara, CRDB hovyo

    Kumbe hii CRDB ndo inaendelea kutuletea matatizo mpaka Leo , ndoa Sasa zitavunjika, wengine tarehe za kupewa mshahara zimefika, ila waajiri Kila wakijaribu kuhamisha mishahara kwenye account zetu za CRDB Zina baunce, hivyo Sasa tumeelekezwa kufungua account bank nyingine , au tulete account...
  4. D

    Kuna changamoto katika kupata salary slip kwenye mtandao

    Ninaomba mamlaka husika watatue changamoto hii kwani watu watumishi wengi tunapata shida kupata salary slip kwa mahitaji mbalimbali
  5. Papillon 1906

    OnlyFans models earn $43 million, matching NBA salaries of Kyrie Irving and James Harden — fans left stunned

    Onlyfans model Sophie Rain earned a jaw dropping $43 million, this puts her in the same financial bracket as the NBA's biggest stars. The news broke wide after ESPN's Stephen A Smith reacted live on Stephen A Smith show floored by the earnings. "Sophie Rain made more money on onlyfans than...
  6. Kingfisher

    Salary scale/Mishahara COSTECH

    Wakuu sana naomba kuuliza salary scales za watumishi wa COSTECH
  7. Crocodiletooth

    Minimal salary ya Kenya vs minimal salary ya Tanzania!

    Heko mama samia suluhu hasaan our best president ever, congratulation, kiwango cha chini cha mshahara kwa Tanzania ni shs 500,000/-(24,000kshs),wenzetu huko Kenya wao bado wapo kwenye 311,000/-(15000kshs) mpaka leo hii..... -Wataalamu hapa watufafanulie purchasing power of both N. B, pamoja na...
  8. A

    Erythrocyte huyu salary slip aliendaga wapi

    Wale wafia chama CHADEMA akiwemo Erythrocyte na salary slip namuona tu Erythrocyte je huyu Salary slip aliamua kuhama chama au ndio kaamua kwenda na mipango yake binafsi Erythrocyte binafsi naomba unijuze au ndio chama kilimpoteza
  9. Superbug

    Pasaka bila salary (watumishi wa umma)

    Nimeambiwa na jamaa zangu watumishi wa umma kuwa hawajapata mshahara hivyo hii pasaka kwao ni motrooo. Poleni wazee wa kuisubiri salary.
  10. BARDIZBAH

    Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

    .
  11. vnn

    Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

    Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee, Nchi inayoelekea uchumi wa kati, Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi! Hii ni kada gani hapa nchini?
  12. K

    Habari wakuu, Hivi salary scale PMGSS 11 ni kiasi gani?

    Habari wakuu, Hivi salary scale PMGSS 11 ni kiasi gani?
  13. S

    Mshahara wa mkemia uanaeanza kazi salary scale ipi na je ni tofauti kwa tbs,gcla tpdc na wizara kwa chief pharmacist.

    Naomb kujuan salary scale ya mkemia kwa tbs,gcla na tpdc,nimr,nm
  14. I

    NMB rudisheni huduma ya salary advance

    NMB, wameondoa huduma ya salary advance bila taarifa yoyote kwa wateja. Tunaomba taarifa itolewe au huduma irudishwe.
  15. MSAGA SUMU

    Ukimya wa wanasiasa wakongwe Erythrocyte na Salary Slip wazua gumzo.

    Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani. Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao. Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja...
  16. julaibibi

    Salary advance B shida nini?

    toka asubuhi ukiifungua inakuwa blank as if hamna tena? tumesha update taarifa ila ukibonyeza mshiko fasta inakaambia nenda uka update namba yako ya simu sa nashangaa tume update mpaka maa alama ya vidole vitano na mpaka hali ya ndoa mbona haiji update? na salary avans mnakata ngap?
  17. Black Legend

    No Annual Increments, No salary increase. Mama kama baba

    Nawaza kwa sauti....mabenki yamepandisha riba za mikopo, mafuta yamepanda, bidhaa za muhimu zote zimepanda lakini mishahara haijaongezwa. Si ongezeko la mwaka Wala marekebisho ya asilimia. Je ni kuwa "like mother like father"..... TANZANIA NI NGUMU SAAANA.😂😂😂😂😂
  18. africatuni

    Nahitaji kijana wa kusimamia Play Station yangu Dodoma. Mshahara 100k

    Done
  19. snboy

    Msaada kwa mwenye uelewa wa PTSS 10.1 salary scale ni sh ngapi

    Kuna taasisi imetangaza nafasi ya ajira ssalary scale yao ni PTSS 10.1. sasa nataka kufahamu ni sh ngapi kabla sjaachia hii job niliyonayo isjekuwa hakuna utofauti na hapa nilipo msaada tafadhali
  20. deliverance man

    Ajira za polisi kwa wenye fani hivi salary scale zao zinaendaje?

    Naomba kujua wadau, hivi mtu anayefanya kazi na jeshi la polisi kwa kitengo cha laboratory technician mwenye degree, mshahara unaanzia shingapi?
Back
Top Bottom