salama

Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.

View More On Wikipedia.org
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Masauni apumzike? Akipumzika ndio Mwisho wa haya?

    Najiuliza uwajibikaji uko wapi? Ingekuwa nchi Kama Tunisia na Kenya au kwingineko kosa dogo tu linaondoa baadhi ya watu madarakani si kwa utashi wao!bali kwa Nguvu ya Umma na maandamano! Lakin hapo kwenye Kondoo wa Kiboko ya wachawi hata uwakojolee midomoni kila asubuhi Utasikia yote twamuachia...
  2. radika

    JamiiForums Tanzania ANGALIZO: Usimuache ndugu yako aondoke peke yake na watu wanaojitambulisha kama polisi

    Si mara moja polisi kuhusishwa na matukio ya upotevu wa watu wanaowakamata pale wanapoondoka nao na kutoweka kwenye mazingira ya utata au kupotea moja kwa moja. Kwa yaliyotokea kwa ndugu yatu Sativa (Edgar) ni muendelezo wa hatari iliyopo pindi ndugu zetu wanapokuwa katika mikono ya polisi...
  3. Crimea

    JamiiForums Tanzania Usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!

    Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu! Watanzania wangekuwa wanajielewa CCM ingeshang'olewa kitambo. Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko CCM, upumbvu mtupu! Watanzania wanachoweza ni ngono, uchawi, majungu na umbea...
  4. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Ghana nako si salama, AU ingilieni kati

    Nimefika Accra, Ghana (jumanne, tarehe 17/03/2025) asubuhi. Ilipofika jioni mwenyeji akaniomba nimsindikize kwenye sherehe Fulani. Niliyoyaona huko yanasikitisha. Kumbe mambo haya yapo kote hadi Ghana? African Union tafadhali ingilieni kati. Hali ni mbaya. Hatua za haraka zinahitajika...
  5. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka kwa member mwenzetu leejay49 "Yupo salama anaendelea vizuri"

    Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae Anasema anaendelea vizuri kiaina na kutokana na hali yake ameshindwa kujibu tag zote alizokuta humu jukwaani (Bado...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru baadhi yao kwa dhamana. Pia limesema ambao hawakuachiwa ni wale walioshindwa kukidhi masharti ya dhamana au kuwa na makosa zaidi...
  7. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe kesho Simba SC hamtoki salama

    Gamondi mjanja Sana.. ramani ya vita imefichwa kesho tarehe 8 mtu atakuja kwa matumaini.. akutane na kitu chenye ncha Kali mpaka mapepo yamtoke Yellow national 💚💛💛💛 Cc ephen_
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA msipotoshe umma. Aliyebakwa yupo salama. Msitumie mitandao ya jamii kupotosha mambo. Mnaitumia vibaya X

  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ili uwe salama chukua dada wa kazi kwenye Taasisi zinazohusika na wadada wa kazi

    Kuna taasisi zinahusu wadada wa kazi hivyo chukua kule.ukipata shida wanafatilia mpaka kwao
  10. Annie X6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wakati sisi wanawake tulipaswa kuishi maisha haya. Dunia ingekuwa sehemu salama kabisa

    Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu. Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo. Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja. Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kilombero sugar yapokea kundi la wapandaji mlima kilimanjaro kutoka illovo sugar africa, warejea salama na chapa ya bwana sukari kutoka kileleni

    Mhe. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasiali na Utalii, Nkoba Mabula (kulia) akiongozana pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania Ndugu: Ephraim Balozi Mafuru(kushoto) na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Sukari Kilombero Ndugu;-Derick Stanley...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanaimani na Falsafa ya Rais ya 4R ituvushe salama kwenye uchaguzi, wengine wanachafua. Kulikoni?

    Mimi ni mmoja niliyevutiwa na falsafa ya 4R alizoziasisi Rais Samia. Na kwa vyama vya siasa, viongozi wa dini, mashirika ya nchi za nje, mabalozi na wananchi walianza kumwelewa na kuamini kuwa safari nchi itaonja nuru ya uchaguzi ulio huru na haki ili wananchi wachague wanachokitaka. Baada ya...
  13. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupata Dada wa kazi za ndani unapaswa kuwa vipi ili watoto wawe salama?

    Hili sio suala la kulipuuzia kabisa kwa sababu asilimia kubwa sana linawahusu hata kama sio leo ni kesho.
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mdude Chade amkosoa Rais Samia, aseme nchi haiko salama kama Rais Samia alivyowapongeza PolisiTz

  15. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Dakika za lala salama

    Endeleeni kuleta mapoda ninyi wadada, mwenzenu anapambana kikubwa kupumua tu.
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru Mgomo Kariakoo umekwisha salama

    Maduka Kariakoo yamefunguliwa wananchi wanachapa KAZI. Asanteni
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu salama

    Jina la Andiko: Kuimarisha Upatikanaji wa Elimu kwa Wanafunzi Wanaoishi Mbali na Shule: Hatua za Kusaidia na Kupunguza Athari za Usafiri wa Jumuiya Elimu ni moja ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa. Hata hivyo, Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya elimu, mojawapo ikiwa ni...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Nyakati hazijawahi kuwaach salama wakosoaji na wasio na subira

  19. Mr Sam

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuimarisha Uchangiaji Damu Tanzania kupitia Mfumo wa Tehama: Suluhisho la Changamoto za Upatikanaji wa Damu Salama

    Utangulizi Uchangiaji damu ni kitendo muhimu cha hisani ambacho huokoa maisha ya wale wanaohitaji damu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mahitaji ya damu yanakadiriwa kuwa asilimia moja ya jumla ya idadi ya wananchi. Kwa Tanzania, hii inamaanisha chupa za damu 550,000 zinahitajika...
  20. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania SoC04 Programu ya Ujenzi wa Miji Salama ngazi ya Kata: Adhima kuboresha Makazi katika Mitaa na Vijiji

    UTANGULIZI Kufuatia ukuaji wa miji, changamoto mbalimbali zimekua zikishuhudiwa siku baada ya siku. Changamoto mojawapo ikihusisha ukosefu wa usalama katika makazi. Kidunia suala la ukuaji wa miji salama limeangaziwa katika nyanja mbalimbali chini ya shirika la Makazi( UN-Habitat). Kwa mujibu...
Back
Top Bottom