salama

Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.

View More On Wikipedia.org
  1. MSIBA: Wazazi wanawalindaje watoto dhidi ya maudhui yasiyofaa?

    Siku nyingi nimekuwa nikiandika PUMBA TUPU ila leo niko more cooperate kwa HILI, pumba nita post mwishoni.... Si umesikia ile stori ya dogo aliyejiua baada ya ku chat na gpt? Ushasikiaga yule mtoto wa miaka 11 aliyekufa wakati anashiriki challenge ya TikTok ile ya kubana pumzi? Ok, unamkumbuka...
  2. Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

    Tembea KWA miguu umbali wa kukutosha. Kama Kuna vilima na miinuko itakuwa Bora zaidi. Kama huna muda, paki gari yako mbali au shuka KITUo kimoja au viwili kabla ya eneo lengwa Tembea KWA miguu kikakamavu. Utanishukuru. Mwili utabaki Bora na IMARA na mvuto hautapotea kama mkimbiaji na zile apps...
  3. I

    Kwa Nini Sihifadhi Tena Mafaili Muhimu Kwenye Memory Card Je salama kuhifadhii Vitu Vyanguu kwa Memory Card

    Kwa Nini Sihifadhi Tena Mafaili Muhimu Kwenye Memory Card Kuna wakati niliamini kabisa kuwa memory card (SD au microSD) ndiyo njia salama zaidi ya kuhifadhi mafaili. Zilikuwa ndogo, rahisi kubeba, na unaweza kuzitumia kwenye simu, kamera, au laptop bila taabu yoyote. Lakini kadri siku...
  4. Airtel Money sio salama. Nimebadili neno la siri bila Kuhojiwa taarifa zozote Muhimu na wahudumu kuhusu Account yangu

    Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili. Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine? Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭 Sidhani kama...
  5. Anachokifanya polepole ni kuvivua nguo vyombo vya ulinzi na usalama TZ siyo CÇM hata Raisi hayupo salama chini ya wanamtandao.

    GT Ukifuatilia kwa umakini madai ya polepole tatizo utagundua ni wanausalama wetu siyo CCM. Vyombo vyetu vipo corrupted na wanasiasa kiasi kwamba hawaoni mambo yenye kuhatarisha usalama na maendeleo ya nchi. Tujiulize. 1. Mpaka mkataba wa Bandari unasainiwa kinyemela walikuwa wapi. 2. Mtu...
  6. Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk-Urusi

    Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amewapongeza na kuwatunuku askari wa Korea Kaskazini waliorejea salama kutoka vitani katika mkoa wa Kursk, Urusi, ambapo walishiriki...
  7. Hifadhi Card zako salama zaidi na Smart Card Holder

    CARD HOLDER NZURI IMARA HAZICHUBUI CARD YAKO KWA BEI NAFUU NA NZURI ZAIDI 💰25,000/= 📍 TUNAPATIKANA ARUSHA TOWN 📦 TUNA TUMA PIA MIKOA MIMGINE TANZANIA ☎️ 0712350159
  8. Rais wetu kipenzi hujachelewa, rekebisha eneo hili maana hakuna aliyetoka salama

    Habari za Jioni Wadau, Niende kwenye Mada. Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao. Hii...
  9. Tuiombee mungu Taifa stars,i vuke salama dhidi ya Morocco! Majirani wanatunanga kweli

    I pray for Taifa star, majirani pamoja na kocha wao wamekuwa na nongwa kweli,naamuru Kamati zote zianze kazi mapema,kwani fedhea haikubaliki kwa dhati kabisa!
  10. Taarifa nyingi za kinabii hususani za kisiasa zinaonesha upo uwezekano wa siri kuvuja mahali na wao kutumika kama njia salama ya uvujishaji

    Kutokana na uzoefu mdogo nilionao wa kufuatilia hoja na kuunganisha nukta zake huku nikijaribu kurudi nyuma ya misukumo iliyopo nyuma ya hoja nimeweza kubaini kuwa nabii nyingi zinazotolewa hususani za kisiasa hasa hasa kipindi hiki cha karibu na uchaguzi zinatusukuma kushuku kama kuna mahali...
  11. Naibu Waziri wa Madini, Kiruswa: Hatutaondoka mpaka tuhakikishe watu wote 25 waliokwama chini wametoka salama

    Naibu Waziri wa Madini Stephen Kiruswa amesema watu 21 bado hawajaokolewa kwenye mashimo ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Nyandolwa kijiji cha Mwongozo ambayo yametitia, huku mmoja kati ya wanne waliookolewa, Emanuel Kija (27) akifariki dunia. Naibu Kiruswa ameyasema hayo jana...
  12. Huu ukimya wa Comrade Polepole siyo kawaida. Yuko salama kweli ?

    Comrade PolePole popote ulipo tunaomba upunge lau mkono ili sis wana CCM wenzako wenye uchungu kama wewe mioyo yetu ipate kutulia Yaani tokea Yule Samia kachukua Form pale idodomya upo kimya sana, sasa tunaingiwa na wasiwasi kuhusiana na usalama wako. Tafadhali Ndugu, Polepole Jitokeze Manake...
  13. Madereva hapa ku overtake ni salama?

    Wakuu, nipeni jibu hapo chini kama ni wewe unge overtake hapo?
  14. Watu wa TCRA wakikata Internet nchi nzima hadi masaa mawili je huduma muhimu yaani Critical Services huwa salama kwa kiasi gani?

    Katika nchi yoyote ile huduma za internet ni huduma nyeti sana kwa maana kwamba mahospitali, miundombinu kama usafiri, njia za reli na sehemu zingine nyeti hii ni huduma muhimu isohitaji hata nukta ya sekunde kuhujumiwa. Kitendo cha TCTA kukata mtandao wa internet nchi eti kwasababu ya kuzuia...
  15. Rais Samia azindua miradi minne ndani ya wiki moja, adhihirisha kwamba Tanzania ni salama kwa uwekezaji

    Ndani ya wiki moja, Rais Samia Suluhu amezindua miradi minne ya uwekezaji yenye tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla. 1. Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited 2. Uzinduzi wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR 3. Uzinduzi wa...
  16. I

    Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama?

    Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama? Katika ulimwengu wa teknolojia unaobadilika kwa kasi, usalama wa mfumo wako wa kompyuta hauna nafasi ya kutegemea programu ambazo zimepitwa na wakati na WinRAR sasa ni mfano halisi wa hilo. Kwa mara nyingine tena, programu hii...
  17. V

    Tunachimba visima vya maji vya kisasa

    Karibuni Sana wells technology wachimbaji wa visima vya maji safi na salama borehole gharama za uchimbaji kisima ni kwa mita Dar es salaam na pwani mita moja 90,000 Mikoani mita moja 140000 Gharama zinacover uchimbaji mpk kufunga pump mawasiliano 0657710078 . 0769509666
  18. K

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani 15.7. Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amefanya ziara ya kukagua mradi huo ambao ni moja wapo...
  19. Uchaguzi 2025. Maandalizi/Kampeni,mchakato na matokeo yake. Fujo, Hatari na Vifo. Tutokeje Salama?

    Tutaendelea kujulishana yanayojiri hapa. Kuanzia Kampeni na hadi kutangazwa kwa mshindi na mwitikio.
  20. Hatuhitaji kufanya majaribio Rais Samia ameweza kuivusha salama Tanzania hatuna budi kumuamini muda mwingine tena

    Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena. Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…