Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.
Wasalaam wakuu
Ngoja nikupe stori kwa ufupi ili uone ni namna gani unaweza kunishauri..
Miaka kama 2 iliyopita nilikuwa nafanya katika kampuni flani hivi, nilipata marafiki wengi pale. Miongoni mwao yupo mmoja ambaye ni rafiki(rafiki kweli kweli!) Ambaye tumekuwa tukiShare mambo mengi. Siku sio...
Kuna tetesi kwamba kuna maelekezo kutoka kwa waongoza ndege kumweleza rubani wa ndege ya precision kutua kwenye maji nani alikuambia sehemu salama.
Kama blackbox kutakuwa na communication itaeleza kwamba rubani alielekezwa apeleke kwenye maji waongazaji ndege wanatakiwa kuchapwa viboko 24 ,12...
Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine!
Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi!
Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu!
Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao Wakubwa.
Mifumo yetu yote ya Elimu imeasisiwa kwao na Wengine huko nasi kubaki kama wapokeaji...
Matumizi ya Internet ni muhimu sio tu kwa mtandao usiolipishwa na wazi, lakini pia kwa kutambua haki za binadamu mtandaoni.
Lakini hakuna faida yoyote kati ya hizi inayoweza kupatikana bila ulinzi thabiti na wa kina wa data, usalama wa data, ulinzi wa faragha na mifumo ya haki za binadamu...
Dar es salaam sio mahala salama. Unaweza kukabwa na vibaka hata ukiwa Lupaso aka Kwa Mkap (RIP) .
Unasafairi na silaha ya kujihami maana hata ndani ya uwanja wa mkapa sio salama kabisa. Tujihami bana sisi wa mikoani.
BARAZA LA WAFANYAKAZI KUWEKA MAHALA PA KAZI SEHEMU SALAMA
❖ Wajumbe Wajengewa Uelewa Umuhimu wa Baraza la Wafanyakazi
❖ OWMS Kuhamia Dodoma Mwaka Huu
Na Mwandishi Wetu, OWMS, Dodoma
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Dkt. Boniphace Luhende amewataka wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya...
Kundi la vijana wanaojulikana kama Panya road' limekuwa ni tishio kwa wananchi kwa siku za hivi karibuni!
Vijana hawa wamekuwa wakitishia usalama wa jamii na hata kufanya mauwaji mbalimbali kwa lengo LA kuiba na kupora kila kilicho mbele ya macho yao!
Tunapenda kulishukuru Jeshi la police kwa...
Ndugu zangu Ni wachache wenye kuona na kutambua kazi kubwa inayofanywa na hivi vyombo vyetu katika kuilinda na kuipigania nchi yetu usiku na mchana na hatimaye kufanya watanzania tuishi kwa amani bila hofu Wala mashaka
Msingi wa maendeleo katika nchi yoyote Ile Ni uwepo wa amani na utulivu...
Japo sheria haisemi juu ya wapi pa kuhifadhi wosia, kivitendo na ilivyozoeleka kwa walio wengi sehemu zifuatazo zinaweza kutumika katika kuhifadhi wosia:
1. Benki
2. Mahakamani
3. Kwenye ofisi ya mwanasheria
4. Kwenye ofisi ya kabidhi wasii mkuu- RITA
Inashauriwa kuhifadhi katika mojawapo ya...
Habari yenu ndugu zangu,
Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya?
Je, ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na kawaida tulivyozoea kuyachemsha kwenye sufuria kwa jiko la gesi au mkaa?
Kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO visa vya utoaji mimba takribani milioni 25 hutokea kila mwaka kote duniani, huku nusu ya visa hivyo ambavyo hukadiriwa kama milioni 12 pekee hutolewa kwa njia salama na nusu yake hutolewa kwa njia isiyo salama.
Utoaji huo wa mimba usio salama kote...
IWEKE DUNIA KUWA SEHEMU SALAMA NA SAHIHI YA KUISHI BINADAMU HATA KAMA HUNA DINI.
Kumekuwa na ongezeko kubwa la makundi yanayotendeana wema na mazuri wao kwa wao ndani ya kundi lakini hawawezi kutenda wema huo nje ya kundi bali kutendea ubaya kundi lingine kwa maana wapo tofauti kiitikadi nao...
Kuna changamoto kadhaa katika mavazi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Changamoto hizi huathiri matendo ya ufundishaji na ujifunzaji hali kadhalika mielekeo ya wanafunzi kwa namna fulani. Katika kujadili hili, nitajikita katika mavazi ya wanafunzi wa kike wa sekondari kwa sababu...
Katika Maisha ya kila siku, Maji hayawezi kutenganishwa na Usafi kwani vyote vina umuhimu mkubwa hususan katika Masuala ya Kiafya.
Ugonjwa wa kuhara pekee unakadiriwa kusababisha vifo vya maelfu ya Watoto kila mwaka. Wengi wao ni walio na umri chini ya miaka mitano wanaoishi katika Nchi...
Watu Bilioni 1.42 Duniani wakiwemo Watoto Milioni 450 wanaishi katika maeneo yenye hatari kubwa ya upatikanaji wa Maji. Kwa mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa, uhaba wa Maji unaathiri zaidi ya 40% ya Watu wote
Watu 3 kati ya 10 wanakosa Huduma za Maji safi na salama ya kunywa. Pia Takwimu...
Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!
Awali ya yote nipende kumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema anbayo imenipa fursa hii ya kuandika haya kwa manufaa ya ustawi wa nchi yetu Tanzania na dunia kwa ujumla.
Bila kupoteza wakati, suala la afya bora na mazingira safi ni...
Ukatili unaotekelezwa dhidi ya watoto unaweza kuwa wa aina nyingi. Unaweza kuwa wa kimwili, kihisia au kingono. Unaweza kufanyika katika mazingira yoyote kama vile nyumbani, katika jamii, shule na mtandaoni.
Ukatili dhidi ya watoto unajumuisha aina zote za ukatili dhidi ya watu walio chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.