sakata

Sakata (酒田市, Sakata-shi) is a city located in Yamagata Prefecture, Japan. As of 1 October 2015, the city has an estimated population of 106,244 in 39320 households, and a population density of 180 people per km². The total area of the city is 602.97 square kilometres (232.81 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Sakata la Fei toto likiisha itachukua muda Fei kurudi kwenye kiwango chake

    Salamu humu. Michuano ya kimataifa inayoendelea sasa hivi kwa Simba na Yanga ambayo inaangaliwa na afrika nzima ilikuwa ni sehemu muhimu Sana kwa dogo Fei kuonyesha dunia kiwango chake na kujipima yeye mwenyewe je anaweza kwenda kucheza kimataifa au abaki humu matopeni. Sijajua alikuwa na...
  2. Nilichokiona Iringa sakata la machinga kuhamishwa maeneo ya mjini kimenisikitisha

    Machinga niliowaona hapa ni zaidi ya watu elfu tano hii ni wilaya moja tu hivi tunakwenda wapi kama taifa idadi kubwa. Je, Tanzania nzima machinga wangapi? Tuna ardhi nzuri, mito na maziwa nini kifanyike nani wakulaumiwa. Je, wananchi wanashindwa kuzitumia fursa huko zilizopo ama ni serikali...
  3. D

    Msishangilie Sakata la Feitoto bali litumieni kama shule; waajili wengi hawapendi maendeleo ya wafanyakazi

    Elimu haina mwisho! Kila jambo halitokei pasipo sababu! Ili kuweka misingi ya kisheria ya makubaliano yoyote huwa kuna mkataba! Iko aina mbali mbali ya makubaliano! Kuna ile ya kimaandishi na ile ya kimaneno! (Recorded contract) Lakini pamoja na mambo yote mkataba huwa siyo msaafu wala...
  4. J

    Sakata la Fei toto imekuwaje lipo TFF wakati lilipelekwa CAS, FIFA?

    Kesi ya Fei Toto ilianzia TFF ambapo upande wa Fei haikuridhika na maamuzi ya TFF na ukaenda kukata rufaa mahakama ya kimataifa ya michezo (CAS) Iweje leo nasikia tena lipo TFF?
  5. Ukweli kuhusu sakata la Viongozi wa Ikunguigazi Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita

    Habarini wadau wana jf, poleni sana na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa. Kuna uzi humu jamvini inayohusu viongozi wa kata ya Ikunguigazi, Wilaya ya Mbogwe, Mkoani Geita. Kusema ukweli mleta mada alikuwa sahihi kwa asilimia mia moja, kuna uozo na uchafu mwingi ndani ya ofisi ya mtendaji wa...
  6. Msanii Macvoice na tuhuma ya utapeli kwa mwanafunzi

    Msanii wa Next level tuhuma za utapeli kwa mwanafunzi wa chuo kikuu kijitonyama|Dsm. 📌Habari kamili. Na Hemedyjrjunior. 👇 Macvoice ni msanii tokea lebal ambayo inamilikiwa na Rayvanny au Vannyboy , ambayo inafahamika kama Next level inayopatikana Dar es salaam Tanzania. Moja ya story ambazo...
  7. Sakata la video ya madawati Sinde Mbeya mwalimu wa kujitolea alikuwa sahihi

    Hili sakata kwa tuliowasikiliza viongozi wa mkoa ni wazi walikiri kuwa kulikuwa na uhaba wa madeski shuleni Sinde, viongozi hao walisema siku husika walikuwa wakigawa madeski japo haohao wanasema shule haikuwa na uhaba wa madeski! Hayo madeski walikuwa wakigawa ni ya ziada? Viongozi wa mkoa...
  8. M

    Sakata la Yanga SC na Udhamini wa Sports Pesa limethibitisha kuwa Wanaofeli Law School UDSM wanastahili

    Kama kila Mwanasheria / Wakili akienda tu Hewani Kuongea katika Redio na Runinga kuhusiana na Sakata la Yanga SC na Mdhamini Mkuu wao Kampuni ya Sports Pesa anasema lwake huku Wengine wakijichanganya kabisa kwanini tulilalamika na tunalalamika wanaosoma Law School of Tanzania Kufeli sana tofauti...
  9. S

    Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

  10. Sakata la Plea Bargain limenikumbusha Kisa hiki cha Wezi

    SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI Anaandika, Robert Heriel Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge ya Siri na yale ambayo yapo waziwazi. Ingawaje wapo Wezi binafsi WA kujitegemea ambao hufanya...
  11. Jifunze hili kwenye hili sakata la ndoa ya Dr. Mwaka na Bakwata

    Salamu zenu... Dini ya kiislaam ni dini ambayo hakuna kitu kuhusu maisha ya mwanadam hakijawekwa wazi utaratibu wake... KILA KITU KATIKA MAISHA YA MWANADAM KIMEWEKEWA UTARATIBU KATIKA UISLAAM...KUANZIA KWENYE QUR-AN HADI HADITH ZA MTUME MUHAMMAD صلى الله عليه وسلم. NDOA, TALAKA, NA MIRATHI...
  12. Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Picha: Mchungaji Eliona Kimaro Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo. Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo...
  13. D

    KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro! Kazi ya kitume ni kama mvua, inanyesha kwa wakati wake na kupisha kwa muda ili shughuli zingine zifanyike, mpate muda wa kupanda, kuvuna, na hata kuezeka panapovuja. Yamkini mvua ya mahubiri ya mchungaji kimaro...
  14. D

    Sakata la RC Malima na Mkurugenzi Mwanza halina tofauti na wale wauguzi kubishania vifaa tiba feki

    Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja! Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana! Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo...
  15. Sakata la vitendanishi; Aliyerekodi ageukwa, Rose hana kosa

    Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimesema kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii tarehe 05 January 2023, na kuzua taharuki kwa jamii ikiwahusisha Watumishi wa Kada ya Afya wawili ambao ni Rose Shirima (Muuguzi Mkunga) na James Getogo Chuchu...
  16. I

    Sakata la Green City Morogoro: Shule nyingine zimulikwe pia

    Kitendo cha kinyama kilichofanywa na mwalimu/meneja wa shule ya Green City la kumpiga mwanafunzi hadi kupoteza fahamu kwa masaa karibu 20 eti kisa kachelewa masaa machache kuripoti shule Jumapili ni kitendo kinachopaswa kulaaniwa na serikali inabidi ifanye uchunguzi wa shule nyingine zenye tabia...
  17. Feitoto hana tena mahaba ya kuendelea kucheza Yanga

    Wakili Nduruma Majembe amebainisha msimamo wa mchezaji Faisal Salum juu ya sakata lake na waajiri wake, Yanga SC na kueleza kuwa nyota huyo hana tena mahaba ya kurudi na kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Feitoto alihojiwa na wajumbe wa kamati aliweka dhahiri kwamba hakuna uwezekano na hawezi...
  18. D

    Uchambuzi wa sakata la muuguzi aliyetaka kutumia vifaa tiba vilivyoisha muda ni aibu

    Sakata la wauguzi huko mkoani tabora waliokuwa wakibishana juu ya matumizi ya vifaa vilivyoisha muda wake limeibua maoni mengi sana ya watu! Wengi wao wameishia kulitazama kwa juu juu na kumuona yule afisa binti mwenye Rafudhi ya KIJITA mix na KIKURYA kwamba ndiye mkosaji na yule mwingine yuko...
  19. Sakata la Kudanganya Umri: Wachezaji zaidi wa Cameroon U-17 wafeli majaribio ya umri yaliyotekelezwa na Eto'o

    Cameroon inahangaika kutafuta replacement wa under 17 baada ya Kipimo cha kupima umri kuwaondoa karibia timu nzima kwa kuonekana kwamba wamezidi umri. ===== More Cameroon U-17 players fail age testing enforced by Eto'o Cameroon's Under-17s face a race against time to field a team for regional...
  20. N

    Sakata la Feitoto linaenda kuwa sawa na la Morisson Yanga

    Sioni jipya kwa uongozi wa Yanga juu ya Feitoto kuendelea chezea Yanga. Huyu sio mchezaji wetu tena mimi ningefurahi kua Yanga wangesema tu tumeachana na fei tuangalie mbele mbona tupo vizuri na wachezaji wetu. Fei juzi kachezea team ya visiwani hata kama friend match ila kavaa uzi mwekundu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…