Sakata (酒田市, Sakata-shi) is a city located in Yamagata Prefecture, Japan. As of 1 October 2015, the city has an estimated population of 106,244 in 39320 households, and a population density of 180 people per km². The total area of the city is 602.97 square kilometres (232.81 sq mi).
Sikutarajia kabisa kuona Mwanamke asimame kushangilia utekaji na mauaji!
Mwanamke halisi anaejua uchungu wa mtoto hawezi kufurahi kuona watu wakiuwawa!
Hata kama kuna makosa ndiyo maana kila nchi ina sheria na mahakama!
Sasa unapoona mwanamke anasimama bungeni anasema ALIYETEKWA AKOME AKOME...
SI mnajua kuwa yeye ndiye bosi wa vikundi vyote vya wanaosakata gozi Afrika? Ametumia kofia yake hiyo kumhujumu bosi wa nyika ili asitumie uwanja wa maangamizi wa lupaso.
Kafanya hivi kwa kisasi baada ya kupoteza ktk sakatala hatuchezi.
Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni visiwa vilivyopo karibu na Nchi ya Ufilipino.
Pamoja na kutumia mbinu zote kuwashawishi wakazi wa...
Inauma sana. Tumekuwa tunashambuliwa na kila mjuzi wa soka. Hadi watu wetu wenyewe wanatugeuka kuwa hatuna akili.
Simba wao wamenyamaza tu kama hawahusiki. Viongozi why lakini? Je ni kuficha aibu ya matokeo ya barua ya CAS? tumeamua kutafuta kichaka cha kujifichia? Sasa tunachimba shimo...
Wataalamu wa historia wanasema historia hutuambia kwa nini tupo hapa. Nimelazimika kutafakari na kurejea matukio mbali mbali yanayomhusu Mwenyekiti Mbowe kabla ya kupumzishwa na wanachama kwenye nafasi ya wenyekiti wake. Nimerejea matukio mbali mbali hususani baada ya mwenyekiti Mbowe kutoka...
Huwezi kutuhumiwa na hapo hapo ukajichunguza na kujihukumu. Gambo alitoa shutuma nzito za ubadhirifu dhidi ya wizara ya TAMISEMI, ilitosha kwa spika wa bunge kumuagiza CAG kwenda kupitia matumizi ya pesa za ujenzi uliotuhumiwa na ripoti yake kujadiliwa bungeni, mwisho wa siku mbichi na mbivu...
Kumekuwa na mgogoro mkubwa unaendelea Bungeni tangu majuzi kati ya Mbunge wa Arusha Mjini Ndugu Mrisho Gambo na Waziri wa Nchi, OR TAMISEMI Bwana Mchengerwa. Kwa ufupi ni kamba, Mchengerwa ambaye ni Mkwe wa Rais ameonesha tu kujikweza kwa kibri bila ya kutoa majibu ya hoja za Gambo.
Kwa...
Bungeni leo Aprili 14, 2025, Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe amehoji kuhusu hatua za Serikali kudhibiti pombe kali zinazoingizwa nchini ambazo kwa kiasi kikubwa zinachangia kuharibu afya na maadili ya vijana.
Sichalwe amesema:
"Kuna pombe nyingi sana zinaingizwa ambazo ni kali na...
https://www.youtube.com/live/-ws4Ojesg7U
Vijana katika sekta isiyo rasmi wapo 80%. Kila uchao wanahamishwa na kukimbizwa. Hawana bima ya afya wala pensheni. Ndio maana nasema Vijana tuungane na tupaze sauti dhidi ya ukosefu wa ajira na hatma yetu." Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo...
Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025.
Taarifa ya leo Aprili 02 2025...
Kabla ya kutiririka naomba kunukuu
-Ukimuona mtu mzima analia ujue kuna jambo
-ukimuona mbwa juu ya mti ujue hajapanda mwenyewe huyo ila kuna mtu amempandisha
Kuna taarifa za kiintelejensia zimeibuka na zinadai kwamba kuna kiongozi mmoja wa ngazi ya juu pale wizarani ndiye aliehusika...
Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!!
Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
Timu ya Taifa Nigeria ilikataa kucheza na timu ya Taifa ya Libya, kisa hawakupokelewa vizuri na wenyeji wao. Kamati ya nidhamu ya CAF ikawazawadia Nigeria pointi tatu.
Sasa hili sakata la Nigeria na wale mabaunsa wa Yanga tofauti yake ni ipi? Nashauri Mzee Magoma awazuie Yanga kwenda CAS.
Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito.
Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
Mkuu wa itifaki (Head of Protocol ) na Mwenyekiti Mwanzilishi (Founding Chairman) wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao Dr Steve Nyenyere amejitolea kumlipia dhamana mlimbwende wa Bongo movie Nicole van Berry
Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.