saidia

Saïdia (Arabic: السعيدية‎, romanized: Al-sa'idiyya; Berber languages: ⴰⵊⵔⵓⴷ, Ajrud), known as the "Blue Pearl", is a beach town in northeastern Morocco near Berkane. It is located in the province Berkane, near the Mediterranean Sea and at the Moroccan-Algerian border. Its 14 km (9 mile) coastline is one of the longest beaches of Morocco and is characterized by its golden sand and Mediterranean climate, making it a popular international tourist destination. It hosts numerous resorts and attractions, including private beach resorts, shopping malls, golf courses, and other sports centers.
Saïdia's marina covers an area of 290,000 square meters (70 acres), with 740 berths and modern marina facilities. Tourists are attracted by its traditional folk music festival every August. It is surrounded by a natural bird preserve of marsh and woodland called Moulouya National Parc. Access to the main beach is through a eucalyptus forest.

View More On Wikipedia.org
  1. Kesho Mungu saidia niamke asubuhi sana

    Nataka nikatafute suluhu hivi kwanin nakua na tamaa za kijinga sana bora nikajiloge niwe zuuzzuuu nisiwe nataman mbuny
  2. KERO Barabara ya Saranga, Kibamba ni mbovu sana na kero kwa mwananchi. Mamlaka saidieni kurekebisha miundombinu

    Kwanza niwape pole wana saranga Kibamba. Mungu awasaidie mfike mbingun bila maswali. Leo nilienda kumchukua mke wa bro anakaribia kujifungua akae karibu na home yeye yuko huko Congo Ile barabara nilipita mwaka jana hakika niliandika humu nani mbunge wa Kibamba, njia inasikitisha sana wapendwa...
  3. GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  4. E

    Wataalamu wa hesabu za mikopo saidia hapa

    Makato ya mkopo tsh 100,000,,,,muda: miaka 10 ,,,,,riba 17% na bima 1% ikatwe kwa mkupuo
  5. E

    Wajuzi saidia hapa Increment inaongezwa kwa utaratibu upi siku hizi!?

    Asiyejua asichafue tfdhl,,Wajuzi tusaidie.
  6. Z

    Pongezi kwa TCRA kwa kudhibiti wimbi la matapeli kwa njia ya mtandao.

    Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu. na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa. Tuwape pongezi wa wafanyakazi wote wa TCRA kwa kazi nzuri sana. Mwendo huohuo.
  7. A

    Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  8. N

    VIBARUA VYA SAIDIA FUNDI

    Habari zenu Wana jamiiforum,nilikua ninashida kama kunafundi anaweza akanishika mkoni kama saidia fundi au kama Kuna mtu anaweza akanielekeza sehemu ya kupata vibarua hivyo kwa mkoa wa dar es salaam,Nina uzoefu kidogo wa kuskim,kupiga rangi na kujenga tofali
  9. Mungu saidia wapigania haki m23 waikamate kinshasa

    Mungu wape nguvu Hawa wapambanaji wa haki za wananchi waweze kuikamata kinshasa na kuweza kuleta Maendeleo Kwa wacongoman bila ubaguzi wowote sababu Hawa ndio wapigania haki wa kweli japo wanapigana dhidi ya magaidi ya FARDC waliozoea kunyonya raia wameenda kumsaidia gaidi mwenzao tshekedi ila...
  10. R

    Wazee wa International Flights sogea hapa unaweza saidia kwa wazo lako

    Kuanza kwa salam, natumaini uko poa Great thinker uliyechagua kupitia hapa. Mada husika iko hivi. Niko na rafiki yangu ambaye Yuko London ameamua kunitumia mzigo kupitia ndege siku ya Leo. Sasa ishu iliyonileta hapa ni kuwa kampuni aliyochagua destination yake ni Kenya kuwa alikosa flight moja...
  11. R

    DOKEZO Waziri wa Ujenzi, Bashungwa barabara ya Tanga TO Pangani mmeitelekeza? Mbunge Ummy saidia barabara hii itengenezwe

    Wachina wamehamisha kabisa vifaa vyao. Je fate ya barabara hiyo ni ipi? Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, take action please, tatizo ni nini? basi waje wairudishe kama ilivyokuwa maana ni kero sana walivyoiacha
  12. K

    Ushauri kwa Chama changu CCM,Hususan Dk Nchimbi; Saidia Chama na Taifa kwa Ujumla

    Nakujua Dk Nchimbi kwa uwezo wa ko wa kiakili na hekima uliyonayo. Kwa kutumia karama hizo ulizopewa na Mwenyezi Mungu,utashauri Chama kwa busara na hekima ulizo nazo ili nchi inusurike. Wewe ndiye pekee kwenye Chama uliyebaki kuinusuru nchi hii. Najua mtu yeyote akigombea urais kupitia CCM...
  13. M

    Hiki kijiti kinasaidia nini?

    Nimeona hii kitu kwenye mkoba wa mke wangu kina saidia nn iki kijiti?
  14. SoC04 Serikali iwekwe sera itakayo saidia uwepo wa mshauri wa saikolojia Katika idara za utumishi kwenye taasisi zote za umma na sekta binafsi

    Kiukweli watumishi watumishi wa umma na wale wa sekta binafsi wanakubwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi,kijamii,kisiasa na kiuchumi pia suala hili serikali isipolipa uzito mapema matokeo yake itakuwa na madhara makubwa sana haswa Kwa watumishi wa umma ambao changamoto hii ni kubwa sana...
  15. Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

    Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia, sio kusubiri kudaka tu. Heshima yako na ndoa...
  16. Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania

    Imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa timu ya Simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena. Nani asiyejua uwezo wa Juma Mgunda katika ligi hii? Juma Mgunda siyo wakufanya kibarua cha saidia fundi ila...
  17. N

    Mafundi naombeni mnishike mkono mimi saidia fundi

    Habari za muda huu wanajamii nimerudi tena, Jamani kama kuna fundi yeyote atakae saidia fundi nipo tayari kufanya ili namimi niweze kupata ujuzi.
  18. Kilichopo Manyara ni humanitarian crisis. Saidia familia hata moja na utazidishiwa zaidi

    Watu 50 labda zaidi wamefariki. Miundo mbinu haswa ile ya familia masikini imeharibika vibaya mno. Majeruhi wengi wapo hospitalini. Nyakati kama hizi Sadaka yako inaweza kubadilisha mustakabali wa maisha yako. Sadaka yako inaweza tumika kuwapa faraja masikini walioathirika na naamini Mungu...
  19. N

    Arusha wanachomana visu

    WA SALAAMU.. mimi nimezaliwa Arusha Nimekulia Arusha Nimesomea Arusha. Ila sasa naogopa hata kurudi nyumbani wajuba,kumekuwa na matukio ya hatari sana,vijana wanauwana hali inatisha Arusha,kipindi naishi nyumbani chugah mambo ya kuuwana yalikuwa sio kama sasa,kuna kizazi kimeibuka cha...
  20. N

    MUNGU saidia taifa hapo kesho lisihaibike..

    Habari.. Toka uwanja ukalabatiwe kesho ndo itakuwa mechi ya kwanza kupigwa. Kuna mambo kadhaa nayaona yanatokea kesho. 1.simba kufungwa goli zaidi 3. 2..umeme kukatika ghafla Wanasema kuna standby generator,ila hofu yangu ipo kwa wanaomkwamisha mama samiha ,nahisi washahonga pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…