sahihi

  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira anadai mauaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na waliuawa hadi watoto na wajawazito

    Wasira anadai mauwaji yalikuwa sahihi wakati ni kinyume cha sheria na wali uwawa hadi watoto na wajawazito. kwa sheria za nchi na kimataifa hakuna mauwaji sahihi tuna sheria za nchi na mahakama mbali na hayo mauwaji yaliyo fanyika hayakulenga wahalifu bali watoto na wanawake ambao hawakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwa mwanaume anayejiamini kumuuliza mwanamke, what will you bring to the table?

    Hivi wanaume mnataka kuoa au mmeoa hamjawah kuona mchango wa wake zenu. Hivi kuna kazi ngumu kama kubeba mimba, kuzaa na kulea watoto?. Mwanaume tambua majukumu yako. Ukitaka 50/50 basi na wewe kuwa tayari kubeba mimba. Hudumia mke/mpenzi wako kadri ya uwezo wako acha upepo wa maswali ya hovyo.
  3. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa wanawake kuonesha madhaifu ya ulemavu wa watoto wao?

    Katika ulimwengu wa leo wa mitandao ya kijamii, mipaka kati ya faragha na maonesho imefutika. Kisa cha binti mmoja maarufu wa mtandaoni, anayeonekana ni slay queen, kimeibua mjadala mzito kuhusu utu, uzazi na maadili ya kizazi cha kidijitali. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, aliamua...
  4. JamiiForums Tanzania Namna ya kuunganisha saa Casio Edifece ECB-30 na Simu ili niweze kuset Mda na jiji la nchi niliyopo ili kupata mda sahihi.

    Wakuu mwenye experience na hiki kitu please anisaidie niunganishe hii saa na Simu kwani itakua rahisi hata kuset mda pale nitakapokua nasafiri kwenda nje au kurudi Tanzania.
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye vitabu vyetu haziwekwi picha sahihi za mashujaa wa majimaji?

    Picha tunayoitumia kwenye vitabu haionyeshi uhalisia wa hali ya waafrika miaka hiyo ya 1905. Yaani hii picha haikufaa kabisa kuendelea kutumika. Hiyo ni picha ya kuchorwa na mkono. Picha inamuonyesha Kinjeketile kama Mtu mwenye kitambi/kiribatumbo, yupo tumbo wazi, anamduara ule kichwani...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Watu wenye ushawishi nchini kujitokeza hadharani na kusema wanayoyasema mbele ya media ni sahihi ? Wamewakosa chemba viongozi husika?

    Watu wenye ushawishi wanapoongea hadharani na kutumia maneno yenye kuleta taharuki mara nyingi wanaonekana kuzungumza moja kwa moja kwenye media badala ya njia rasmi. Je, hii ni kwa sababu hawajui njia sahihi za kufikisha malalamiko kwa viongozi husika, au tayari wamejaribu njia hizo na...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna mtu ananiuzia pixel 6a mpya kwa 450,000. Ni sahihi thamani hii au napigwa?

  8. JamiiForums Tanzania Dogo amemaliza form four akaja Dar Januari 2026, lakini maumivu 04 February 2026Amepata ajali na kupoteza uhai

    Wakuu samahani Sana nimekosa Title sahihi ya hili tukio, Dogo baada ya kumaliza form four mwaka huu, ametoka mkoani na kuja Dar es salaam kwa mara ya kwanza siku ya Jumatano tarehe 28 January 2026. Amepata ajali na kupoteza uhai, amerudisha kuzikwa mkoani Jumatano ya Tarehe 04 February 2026...
  9. JamiiForums Tanzania Wazee wa grammar 2: Lipi ni jibu sahihi kati ya haya

    SOMA PIA: https://www.jamiiforums.com/threads/wazee-wa-grammar-lipi-ni-jibu-sahihi-kati-ya-haya.2415618/
  10. K

    JamiiForums Tanzania Oil sahihi ya subaru SJ5

    Wadau heshima kwenu,mgeni kidogo hapa,msaada tutani nina sj 5 na kwenye kizibo oil inayotakiwa nimeona ni OW 20,na nimekuta kuna kampuni mbili aina ya alphard titanic ila nimeshangazwa sana na utofauti wa bei wa hizi kampuni mbili titanic nimeambiwa ni 150 wakati alphard ni 55,000 naomba...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bukombe: Walimu wa Sekondari, AJIRA MPYA (2025) hatujalipwa PESA ZA KUJIKIMU

    Mimi ni miongoni mwa walimu wa Sekondari (ajira mpya) mwaka 2025. Baadhi tumeajiriwa mwezi wa pili, wa tatu hadi wa sita - lakini mpaka leo hatujapata pesa ya kujikimu. Wenzetu walipewa pesa hiyo mnamo mwezi wa kumi na moja na na sisi hatujui muafaka wetu ni upi na kumekuwa na ubabaifu mkubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana: Hakikisha ndani ya miaka hii 4 ya Rais Samia umekaa mahali sahihi. Mtanikumbuka

    Hello! Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi. Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kusubiri post inayohusu serikali ukomenti negative tumia huu muda kuhakikisha aidha unaingia kwenye...
  13. S

    JamiiForums Tanzania NMB kuchaji zaidi ya shilingi 5,000 kwa huduma ya Bank Statement ni sahihi?

    Haya mabenki wadau ni tatizo. Yaani nimecheki balance nikakuta hela yangu imefyekwa ikabidi nichukue/nicheki statement fupi kupitia App ya NMB na kukuta nimekatwa shilingi 5, 000 na kitu kama gharama ya Bank statement. Inasomeka: Bank statement enquiry commission fee Je, hii ni haki? Au...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona Morogoro, ni sahihi kusema Serikali ya CCM inachelewesha maendeleo ya huu mkoa kwa makusudi kabisa!

    Nina mwaka wa nne kwenye huu mkoa sasa. Tangu nifike hapa kwa mara ya kwanza nilikuwa mtembezi sana, ili kufahamu maeneo, uchumi, na tabia za wenyeji wa huu mkoa. Niligundua mambo yafuatayo: 1. Wenyeji ni watu wasio na makuu na waungwana (kama tu tabia za Wazaramo na makabila ya Pwani), ni...
  15. JamiiForums Tanzania Waliokua wanahoji michango ya chadema walikua sahihi, leo msibani vurugu zimezuka

    https://x.com/_zack255/status/2013876086342373410?s=20
  16. JamiiForums Tanzania Aliamua kujioa baada ya kusubiri mwanaume sahihi kwa miaka 20

    Septemba 2017, mwanamke Laura Mesi, mwalimu wa mazoezi ya viungo wa Italia mwenye umri wa miaka 40, alifanya jambo ambalo lilivutia dunia: alijioa yeye mwenyewe kwenye sherehe ya harusi kamili, akivaa nguo nyeupe, akiwa na wapambe wa harusi na wageni 70 walioungana kusherehekea pamoja naye...
  17. JamiiForums Tanzania Wazee wa grammar, lipi ni jibu sahihi kati ya haya?

  18. Q

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

    Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura. Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate? Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa? Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How. Je...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwaeleza wazazi wako kiasi cha mshahara unachopokea?

    Wakuu, nimepata kazi! 🎉 Lakini baada ya furaha yote, dada yangu ameniambia kuwa ni lazima niwaambie wazazi wetu kiasi cha mshahara wangu ninachopokea. Akaniambia, “La sivyo, itaonekana unawadharau.” Hapo ndipo swali moja lilipoanza kuzunguka kichwani mwangu… Hofu imenijia: je, ni sahihi...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Trump yupo sahihi, Maduro alituma magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji waliomkosoa

    Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao. Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekaji, kupotea kwa wakosoaji, ukosefu wa ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…