sahihi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais - TAMISEMI itoe muongozo wa umri sahihi mtu anaotakiwa kuwa nao anapomaliza chuo

    Mimi nimeumia na nimeniuma sana: haiwezekani mtu ume-graduate 2015 unaachwa kuajiliwa eti anaajiriwa wa 2018 kisa kakuzidi umri Kwahiyo kutokuwa na umi mkubwa ni kosa? Je, ajira za serikali sharti iwe na miaka mingapi? Tunaomba ufafanuzi, Mtu kaanzia kufanya kazi kwenye taasisi binafsi hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Luc Eymael alikuwa sahihi. Tumwombe msamaha Wanayanga

    Ukiwasikia, ukiwasoma Wanayanga wakilikataa goal walilofungwa Azam ambao jana Captain wao alilikubali na kusema ni Uzembe wao. Unagundua wanayanga siyo Binadamu. Hawaujui mpira. Ndo maana huwa wanaambia haya kambebeni Sarpong wanaenda, wanaambiwa kambebeni Hersi wanaenda. Wanaambiwa nendeni...
  3. JamiiForums Tanzania Mradi wa Bagamoyo ulitakiwa uanze kabla ya Bwawa la Nyerere, Rais Samia umetuheshimisha

    NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO MAMA UMETUSHINDIA Na Yericko Nyerere Hureeeeee vita vyetu kwa maslahi ya Taifa tumeshinda! Asante Rais Mama Samia suluhu Hassan, nilimpinga Magufuli alipositisha mradi huu kwa hoja dhaifudhaifu na za uongo wa kiwango cha rami. Nikampinga baada ya kufariki baada ya...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ni gazeti gani sahihi kutangaza msimamizi wa mirathi?

    Habari wadau, Ukiambiwa peleka tangazo la mirathi katika gazeti? Je, gazeti la kampuni yeyote ama gazeti maalumu. Ni gazeti gani linakubalika na mahakama? Ama umepoteza vyeti ukaambiwa katangaze gazetini? Gazeti gani linakubalika na mahakama?
  5. JamiiForums Tanzania Ni muda gani sahihi wa kufanya maamuzi magumu?

    Nauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana. Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka. Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu...
  6. JamiiForums Tanzania Ally Bananga yupo Sahihi; Familia ndio jambo la kwanza

    ALLY BANANGA YUPO SAHIHI; FAMILIA KWANZA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kwa watu wasiojua maana ya familia, wasiojua maana ya ndoa ni rahisi kumponda na kumkosoa vikali Ally Bananga. Lakini kwa wanaojua maana ya familia, wanaojua maana ya Mke/mume na watoto ambao ndio familia yenyewe watamuunga...
  7. JamiiForums Tanzania Je, nchi kuchapisha pesa zake nje ya nchi ni sahihi?

    Nina wasiwasi hawa tunaowapa kazi ya kuchapisha pesa zetu wanachapisha na makontena ya ziada na kuyaingiza kwenye mzunguko kimya kimya. Should i be concerned?
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni msomi mzuri wa 'sociology' au 'psychology' ndio mwenye utaalam wa kusoma tabia ya mtu na kubashiri matokeo? Je, jibu la Rais ni sahihi?

    Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri yatakayotokeoa mikoani. Alisema kwa msomi mzuri wa sociology atafahamu nini kitatokea kwa kuangalia...
  9. JamiiForums Tanzania Kinachomgharimu Mugalu ni kuwa eneo sahihi muda wote

    Kama shabiki wa Simba kindakindaki nimekaa nikiiangalia timu yangu hasa eneo la ushambuliaji. Ambako kuna Bocco, Kagere na Mugalu. Katika huyu Mugalu sasa anaweza kupata nafasi 5 za kufunga ila akafunga goli moja tu. Tukirudi kwa Kagere yeye akipata nafasi ya kufunga katika mbili atatupia at...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Luis Enrique yupo sahihi?

    Kocha wa timu ya Taifa ya Spain, Jose Luis Enrique ameita kikosi cha timu ya taifa kwaajili ya maandalizi ya Michuano ya Ulaya kwa Timu za Taifa zitakzoanza Juni 11 mwaka huu. katika hali ya kushangaza hakuna mchezaji hata mmoja kutoka kwa wababe Real Madrid aliyeitwa kikosini humo. Je, Luis...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Unashauri njia gani sahihi kupita kati ya hizi tatu zenye kero?

    Mwendo ni mrefu na inatakiwa upite kila siku njia hiyo hiyo: kutoka Mji (A ) kwenda kula JIJI (B). Zingatia; (Hairuhusiwi kwenda kwa miguu, pikipiki wala bajaji) (Njia ya kwanza ni Lami yenye Foleni): Kutoka sehemu (A) kwenda (B) kuna barabara ya lami, lakini imejaa magari mengi na inafoleni...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwagundua Matapeli na fursa zao zisizo sahihi kwako

    Zama tunazoishi sasa ni zama ngumu mno ambapo mtu usipokuwa na msingi imara utaishia kuanguka vibaya. Fursa ni nyingi mno, lakini nyingi siyo fursa za kweli. Fursa hizo zinahamasisha na kutamanisha kwa sababu unaona kabisa wengine wakinufaika nazo. Kumbe hiyo ni sehemu ya mtego wa kukunasa ili...
  13. JamiiForums Tanzania Je, huu ni wakati sahihi kwa kanisa Katoliki kubadilika na kuendana na kasi ya makanisa ya Kilokole?

    Habari wadau..! Kabla sijaanza mada yangu ni declare interest kwamba mm ni moja ya watu waliozaliwa katika familia za kikatoliki na kubatizwa na kupata mafundisho yote huko.Lakini kwa sasa nimechagua njia yangu baada ya kupoteza imani ya kikatoliki. Ndani ya kanisa wameanzisha utaratibu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Karne 21 bado ni sahihi DC & RC kuteuliwa na Rais?

    Heshima sana wanajamvi, Tanzania ilipata uhuru wake zaidi ya miaka 60 iliyopita.Tumepitia awamu mbali mbali kuanzia awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere hadi sasa awamu ya sita ya Mama Samia Suluhu. Nimekuwa nikitatizwa na namna tunavyojitawala,hasa katika suala la zima la mamlaka ya uteuzi wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania CCM ni lazima ibadilike chaguzi za 'Kitemi' zimepitwa na wakati, Rais Samia yuko sahihi kukijenga upya chama

    CCM itaendelea kutegemea dola ili ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hadi lini? CCM itaendelea kutegemea mbeleko ya Wakurugenzi na wakuu wa wilaya hadi lini ilhali katika uhalisia mioyo ya wapiga kura huwezi kuisemea wala kuiamulia? Ni wakati sasa CCM ijijengee uhalali wa...
  16. JamiiForums Tanzania Maoni: Serikali haikuwa sahihi kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii

    Katika maamuzi ya serikali iliyopita ambayo sikufurahishwa nayo ni kuiunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii kwakuwa haukuwa shirikishi na haukuzingatia sababu za kiutafiti zilizopelekea kuundwa kwake. Nilijiuliza maswali mengi juu ya faida ya uamuzi huo lakini nilipata chache mno na zenye...
  17. JamiiForums Tanzania Zipi ni Spark Plug sahihi kwa gari lako?

    Zipo spark plug za aina nyingi sana. Yapo mambo mengi sana yanayoweza kutofautisha spark plug za gari na gari jingine. Mambo hayo ni 1.Material yaliyotengeneza hizo plug (iridium copper n.k) 2. Urefu wa thread (nyingine zinakuwa na thread ndefu nyingine fupi) 3. Gap (nyingi zina gap la...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mkapa alikuwa sahihi: Utumishi wa Umma hauna shukrani

    Mzee Benjamin Mkapa (Mungu amrehemu) kwenye kitabu chake katika sura za mwisho alitafakari kidogo juu ya mambo kiongozi wa umma anayozushiwa pamoja na utendaji wake mzuri. Mzee Mkapa alisimulia namna Costa Rica Mahalu Balozi mwema alivyozushiwa zigo la rushwa tena kwa kusingiziwa na likamtesa...
  19. JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

    Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya nguvu kwa Askari wa Jeshi la Polisi ni sahihi?

    Katika mazingira ya kawaida askari polisi haruhusiwi kutumia nguvu dhidi ya mtuhumiwa yeyote isipokuwa tu kama mtu huyo anakataa kukamatwa au anajaribu kutoroka Ijapokuwa askari polisi anaweza kutumia nguvu, lakini hayuko juu ya sheria, na iwapo atatumia nguvu isivyohitajika atachukuliwa hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…