Angalia isije kua unataka kugushi Mirathi ya Watu huko!? Kuna jela nakukumbusha tu!!Habari wadau,
Ukiambiwa peleka tangazo la mirathi katika gazeti? Je, gazeti la kampuni yeyote ama gazeti maalumu.
Ni gazeti gani linakubalika na mahakama?
Ama umepoteza vyeti ukaambiwa katangaze gazetini? Gazeti gani linakubalika na mahakama?
Linaitwa hivyo hivyo gazeti la serikali. Nenda ofisini kwa mpiga chapa wa serikali shida yako itatatuliwa hapo
Hii ni sahihi?Ni gazeti lolote lililopo nchini. Siyo lazima liwe la serikali.
Angalia isije kua unataka kugushi Mirathi ya Watu huko!? Kuna jela nakukumbusha tu!!