sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mamlaka za elimu kumbadilishia Mwanafunzi jina lake?

    Salaam wakuu, Nimepata shida kwa watoto wangu wawili kubadilishiwa majina.Wa kwanza alifanya mtihani wa darasa la nne mwaka 2020 na mwingine 2022.Nilipata kufahamu tatizo Hilo baada ya matokeo ya darasa la nne.Shule walizosomea majibu yao ni kuwa wao walisajili sawasawa kulingana na vyeti vya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ni Sahihi Kutumia Nondo za 10mm Kwenye Mifereji ya Paa la "Hidden Roof"?

    Kwema Wakuu? Nimeanza Ujenzi wa Nyumba yenye Hidden Roof, na nishapiga kozi 10 nataka sasa nianze kwenye Linta kwenda juu kozi 6 pamoja na kibaraza na mifereji yake ya maji. Katika "quotations" nilizopata kutoka kwa mafundi kama watatu hivi kuna mmoja ameniambia kua lile zege za mifereji ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ndugulile: Tuwekeze Maabara kupata Vipimo sahihi, kuepuka UTI sugu

    Ongezeko la wagonjwa wenye maambukizi ya njia ya mkojo, maarufu kwa jina la UTI na typhoid limekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania katika sekta ya afya kutokana na kutumia fedha nyingi katika kutibu wagonjwa kutokana na usugu wa dawa. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, ripoti ya Benki ya Dunia ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nina kijana wangu kamaliza certificate of journalism na hataki kuendelea

    Habari humu ndani? Nitangulie kwa kuwapa pole na hongera kwa mapambano na mwezi januari kama tunavyojua ni lazima kila tunapoanza mwaka lazima tuanze na January lakini ni mwezi ambao haujawahi kuzoeleka wala kuhishi kwa mazoe. Huu mwezi umekuwa na kanuni na taratibu zake ila Mungu ni mwema...
  5. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  6. JamiiForums Tanzania Hii hapa Ibara ya Katiba ya Tanzania aliyoigusia Lissu mkutanoni. Je, alikuwa sahihi?

    Ni Ibara ya 99 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Inabeba dhana ya utaratibu wa kutunga Sheria kuhusu mambo ya fedha. Ibara husika ina ibara ndogo 3. Tafadhali someni Ibara hii na mjiridhishe iwapo Wakili Msomi mwenzangu Tundu A.M. Lissu alikuwa sahihi au la kwenye hoja yake ya kuhusu...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni Sahihi Kumjua mtu kupitia mtu?

    Jana nikiwa nimejipumzisha zangu nikajisikia kusikiliza Redio kidogo basi mara nyingi ikitokea Nataka kusikiliza matangazo ya Redio basi Tbc Taifa ndio sehemu muafaka kwangu Kule huwa napata kitu roho inapenda,maana hizi Redio za niaje niaje mtu wangu na collection ya miziki Yao ya kamata kiuno...
  8. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumuheshimu boss wako/ Mchungaji/Sheikh /Padre kuliko Mumeo/Mkeo?

    Kutana naye ofisini /sehemu ya ibada Utasema mwanamke ndiye huyu! Anavyomnyenyekea boss wake, utasema ana heshima Sana. Boss ataulizwa nikupe chai au kahawa? Kuna kitu unahitaji, tabasamu Kama lote. Ushawahi kukutana na wadada wa customer care? Utasema hapa ndiyo penyewe 😁 Kanisani nako...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa soko la Kariakoo kuhamishiwa Ubungo?

    Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwenda hadi Kariakoo wataishia tu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, nini mtizamo juu ya hili? Video chini ina maelezo ya ziada. ========================...
  10. JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) alikuwa sahihi, Rais Samia anaendesha nchi vizuri

    Januari 12,22023 , Mbunge mstaafu wa Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA , Joseph Mbilinyi alitweet" Nchi inaenda, so far so good. Hakuna tena kuokota viroba Coco, wala raia kutekwa ovyo na state. Mengine yote yanazungumzika,na tutakutana kwenye mikutano ya hadhara soon. Mungu aendelee kuwapa busara...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi wananchi kuchangia mafuta ambulance au magari ya polisi wanapohitaji huduma?

    Imekuwa kama kasumba sasa. Mwananchi akipata tatizo kwenye mahospital ya wilaya ambazo ziko na hospital za rufaa na kisha kuandikiwa rufaa huwa anaambiwa kuchangia mafuta ili mgonjwa apelekwe. Polisi nao ukienda kuripoti tukio la uhalifu ili waende eneo la tukio huwa wanahitaji mafuta ya...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo njia sahihi (ya kisayansi) ya kuwaumiza 'haters' wako

    Hakunaga binadamu asiyetaka kuwaprove wrong haters wake. Kuwaprove wrong watu waliokuwa wanasema hatoweza ku accomplish jambo fulani. Hakunaga.Hata Mungu alimruhusu Shetani amjaribu Ayubu kwa sababu alitaka kuprove kitu kwa hater wake. Kama kuna watu walikuwaga wanasema hutoweza kutimiza jambo...
  13. JamiiForums Tanzania Njia ipi ni sahihi kufikia uwepo wa Mungu na vipi unaweza kujifunza utukufu wake duniani

    Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki? 1: Mzungu katuletea dini 2: Mzungu katuletea mavazi 3: Mzungu katuletea utandawazi 4: Mzungu katuletea njia za mawasiliano 5: Mzungu katuletea taharuki mbalimbali na mafunzo juu ya mahusiano 6: Mzungu huyo bado anatumaliza kwa magonjwa ya...
  14. JamiiForums Tanzania CCM na Chawa, CHADEMA na Makamanda - Nani yuko sahihi?

    WanaJF Salaam! Nimeona leo kwenye mitandao ya kijamii issue ya uzinduzi wa Chawa wa Mama kwa upande wa CCM yangu; Lakini upande wa CDM mara kadhaa majina ya kimkakati ya uendeshaji siasa nchini yanaitwa Makamanda, Operesheni Sangara nk. Nachojiuliza ni kwa nini ndg zangu hawa wakubali...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumuita mtoto jina ambalo halina maana?

    Leo Nimemtembelea Dada yangu amejifungua mtoto wa kiume. Hila Jambo la kushangaza kampatia mtoto wake jina la Buluga, baada ya ku-google hili jina sijafanikiwa kujua maana yake then na Mama yake anadai hafahamu maana ya jina hilo. Je, ni sahihi kumptia mtoto wako jina Ambalo halina Maana...
  16. JamiiForums Tanzania Juma Mgunda sio kocha mzuri kwenye mbinu hivyo ni sahihi Simba kuleta kocha mwingine

    Michuano ya CAFCC inahitaji mbinu nyingi sana wakati Juma Mgunda ni mzuri zaidi kwenye uhamasishaji. Ni sahihi kwa Simba kuleta kocha atakayeenda kushindana kimbinu kuliko kuwa na mhamasishaji peke yake.
  17. JamiiForums Tanzania Kaimu Msemaji Azam FC Hashim Ibwe: Ukiona unachukiwa jua unachokifanya ni sahihi, songa mbele

    Ukiona GENTAMYCINE anachukiwa sana na Manyang'au wengi Mtandaoni / Mitandaoni licha ya Yeye Kubarikiwa mno na Mwenyezi Mungu na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer alivyo jua pia anachokifanya kwa 100% ni sahihi. Ni mwendo tu wa Kuwakera Maadui.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Nabi kakataa Fei Toto kurudi kambini, yuko sahihi

    Nimeona taarifa ya kuwa Nabi kakataa Fei Toto kurejea kambini hata baada ya mgogoro wake na club kusuluhishwa. Kama ni kweli basi huyu kweli ni Professor haswaa. Viongozi wa Yanga hawakupaswa kabisa kukomaa na mchezaji ambaye tayari saikolojia yake haiko kwenye timu. Nawahakikishia itasumbua...
  19. JamiiForums Tanzania Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili. Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante...
  20. JamiiForums Tanzania Nilitaka nimlaumu Feitoto kuhamia Azam FC ila kwa hiki alichowaambia matajiri wa Yanga SC yuko sahihi

    "Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…