sahihi

  1. Yanga wapo sahihi kwa Ally Kamwe na Privadinho?

    UTEUZI WA YANGA JE WAPO SAHIHI> Nimetama uteuzi wa Yanga kwenye nafasi mbalimbali kuanzi C.E.O mpy mpaka DIGITL MANEGER je wamepatia wapi na wapi wameteza>
  2. S

    Ni sahihi Kulazimishwa kuchanja chanjo ya korona?

    Habari wanajukwaa, Nakuja kwenu wanajamvi kuuliza kama ni sahihi mtu kulazimishwa kuchanjwa hasa hii chanjo ya korona. Nijuavyo mimi mtu anatakiwa aelimishwe kisha ahiari pasipo shuruti. Lakini Hali ni tofauti mkoani RUKWA wilaya ya NKASI kwani kinachoendelea sio uelimishaji wala uhamasishaji...
  3. Umri gani ni sahihi kwa dereva wa basi la abiria kustaafu?

  4. Matumizi sahihi ya dawa

    Unaelewa nini ukiambiwa umeze dawa kutwa mara tatu? Maduka mengi ya dawa pamoja na hospitali zetu hutumia lugha hii kimakosa pasipo kuwaelewesha vizuri wagonjwa. Kwa kiasi kikubwa, huwafanya wagonjwa wasitumie vizuri dawa wanazopewa. Siku moja ina saa 24, kwa kuzingatia mgawanyiko sawa wa...
  5. L

    “Kujigamba” sio njia sahihi ya kuanzisha urafiki na Afrika

    Mkutano wa kilele wa kutafuta fedha za kukabiliana na mabadiliko ya tambianchi barani Afrika umefanyika hivi karibuni mjini Rotterdam, Uholanzi, na kuhudhuriwa na viongozi wa nchi sita za Afrika, lakini kwa upande wa nchi za Magharibi, ni waziri mkuu wa Uholanzi pekee ndio amehudhuria mkutano...
  6. Kuhusu uzazi wa mpango Magufuli alikuwa sahihi 100%

    Myonge mnyongeni Ila haki yake apewa. Haters wote wa magufuli ni wale wenye ajenda zao binafsi hasa za unyonyaji. Ila mwamba alikuwa poa Sana. Binafsi naamini madhara ya uzazi wa mpango ni makubwa zaidi ya faida zake. Akina mama wanateseka Sana na side effects zake.
  7. Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

    Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana. Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
  8. Je, ni sahihi adhabu za faini kwa kila kosa kutoka katika makosa mawili kwenda sambamba?

    Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF, Richard Mbaruku akisoma uamuzi wa Kamati yake katika Rufaa aliyokata aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara, amesema mtuhumiwa alikuwa na makosa mawili na uamuzi wa rufaa kwa kila kosa umebaki hivyo hivyo kama ifuatavyo: 1) Offensive behavior -...
  9. L

    “Kujigamba” sio njia sahihi ya kuanzisha urafiki na Afrika

    Mkutano wa kilele wa kutafuta fedha za kukabiliana na mabadiliko ya tambianchi barani Afrika umefanyika hivi karibuni mjini Rotterdam, Uholanzi, na kuhudhuriwa na viongozi wa nchi sita za Afrika, lakini kwa upande wa nchi za Magharibi, ni waziri mkuu wa Uholanzi pekee ndio amehudhuria mkutano...
  10. M

    SoC02 Ujenzi wa bwawa la Nyerere sio suluhisho la umeme kwani umeme wa maji sio chanzo sahihi cha nishati nchini Tanzania, itumike njia hii

    Umeme ni nishati muhimu sanaa katika maendeleo ya taifa la Tanzania kwani uzalishaji wa bidhaa nyingi viwandani, migodini, mashambani, wajasiriamali na nyumbani hutegemea nishati ya umeme ambayo kwa kiasi kikubwa unaotokana na maji ambao ndio unaosemekana kua nishati yenye gharama nafuu zaidi...
  11. SoC02 Matumizi sahihi ya simu janja na intaneti mashuleni hayaepukiki, yaruhusiwe

    WENU MTAMBO1272019 Maana ya simu janja. Ni aina ya rununu ambayo inafanya mambo mengi kuliko simu nyingine ya kawaida,zinzfanya kazi kama tarakililishi,lakini hiki ni chombo kinachobebeka na kidogo cha kutosha katika mkono wa mtumiaji(Andrew Nusca;20 AUGUST,2009). Matumizi ya simu janja...
  12. Dr. Mpango alikuwa sahihi juu ya tatizo la hii nchi

    Imagine kiongozi mkubwa serikalini anaenda kwa mganga. Hii amwamu kila kiongozi anamganga wake ndio maana kila mtu muoga muoga kufanya maamuzi kwa faida ya watanzania. Dr. Mpango alishawaambia nyie viongozi acheni mambo ya imani za kishirikina, unakuta Mbunge, Waziri, Mkuu wa Mkoa au wa Wilaya...
  13. L

    Kipi ni kigezo sahihi pindi unapochagua mtu wa kuoa?

    Habarini naomba kuuliza, ukiachana na kumpenda mpenzi wako je, ni kigezo gani kingine unaangalia mpaka unafikia kusema huyu anafaa kuwa mke? Na je, mdada anaesali sana ni moja ya kigezo? Je, mtu akiwa na hofu ya Mungu inatosha kuwa kigezo? Au kuna mengine tofauti na hayo?
  14. SoC02 Fikra sahihi na tamaduni hii mpya itainua uchumi wa familia na taifa letu kwa ujumla

    Ni ukweli kabisa usiopingika kwamba serikali na mashirika ya siyo ya kiserikali yamejikita mno katika kuongeza fursa za wanawake ili waweze kujikwamua kiuchumi. Jambo hili ni faida kubwa kwa nchi yetu, kwani takwimu zinasema kampeni hizi zimepunguza umaskini Tanzania kutoka 34.4% kwenda 26.4%...
  15. PSRS wanachokifanya ni kukosa umakini..

    Habari wakuu.. Wiki kadhaa zilizopita nilikua nikituma maombi ya kazi.. kutumia ajira portal.. nilikua naitwa kwenye usaili.. sikufanikiwa.. kufaulu.. Nikaomba mara ya pili sikuitwa.. sababu.. lowyer.. hajaidhinisha vyeti vyangu.. nikavipeleka vikaidhinishwa.. 2.nikatuma tena.. sikuitwa...
  16. S

    SoC02 Kiapo cha Daktari na ukakasi wa kutoa huduma; Je, ni wakati sahihi wa sisi kama taifa kuja na kiapo chetu kulingana na tamaduni zetu?

    Usiri wa taarifa za mgonjwa atoapo akiwa maeneo ya kutolea huduma za afya Leo napanda jukwaani na andiko langu kuhusu kero inayotupata wagonjwa hasa tunapotoa maelezo kuhusu maradhi yanayotusumbua pindi tuendapo hospitalini Kikawaida taarifa atoazo mgonjwa inabidi ziwe za siri baina yake na...
  17. P

    SoC02 Je, Donald Trump alikuwa sahihi kufananisha Afrika na tundu la choo?

    Kauli tata ilitoka kinywani mwa aliyekuwa Raisi wa Marekani awamu iliyopita Bwana Donald Trump ambayo ilisababisha taharuki na tafrani miongoni mwa wengi wapenda haki na amani duniani hasa kutoka Afrika. Hakika kwa mtazamo na hisia za kawaida kauli hii imesheheni udhalilishaji, dharau, ubaguzi...
  18. N

    BM 3 alikuwa sahihi, posho zimepunguzwa Simba, wachezaji hawana fighting spirit

    BM 3 kwenye madai yake alipohojiwa na saleh jembe alisema aliitwa ofisini na CEO na kuambiwa posho na mshahara wake utapunguzwa kama anataka kusaini mkataba mpya Inasemekana posho zimepunguzwa ili kubalance mahesabu yapendeze kwenye vitabu, so what you pay is what you get MSISHANGAZWE KUONA...
  19. Je, ni wakati sahihi kwa watoto wa kiume kupewa Elimu ya Jinsia?

    Kwa kawaida imezoeleka kwenye jamii nyingi za ki Afrika mtoto wa kike ndio mwenyE kupewa elimu jinsi ya kujitunza utasIkia mara ooh mtoto wa kike unatakiwa kua msafi, jichunge na mapenzi kabla ya ndoa. Lakini Watoto wa kiume wamekua wakisahaulika sana katika haya je, ni kweli watoto wa kiume...
  20. Siyo sahihi kumuita Rais Samia "Mama"

    Imezoeleka na kulazimishwa na CCM kwamba watanzania wamuite Rais wao "mama" badala ya "Mheshimiwa Rais" ama "Ndugu Rais". Madhara ya kumwita Rais Mama ni pale anapoona kama vile anaowaongoza ni watoto wake na yeye ni mlezi katika misingi ya umama badala ya usimamizi wa serikali kama Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…