sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Rais kufanya Maamuzi ya Kiserikali katika Sikukuu Kubwa za Kiimani?

    Nategemea na hata Sikukuu ya Idi (ya Wiki Mbili zijazo) na ile ya Krismasi bila kuisahau ile ya Idi al Haji na zenyewe pia Rais Samia ataendeleza huu Utamaduni aliouanzisha leo wenye kutuachia Maswali mengi Vichwani wale Binadamu Wachache sana tuliobarikiwa Akili Kubwa na Mwenyezi Mungu. Je...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema serikali ya CCM ni wezi?

    Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega? Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
  3. JamiiForums Tanzania hii ndoto inamaana gani? kitu ambacho ni sahihi naambiwa sio sahihi

    kwanza kabisa mtanisamehe kwa kuwasumbua kila wakati kwa kuja hapa kuhitaji msaada wenu lakini nashukuru kwa majibu yenu mazuri ambayo wakati mwingine yananifanya kuwa makini na mambo yajayo, ipo hivi kwanza kabisa mazingira ya hii ndoto na watu wote waliokuwepo nawafahamu ni huko kijijini...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Mwigulu kumtaja Rais kuhusika na ufisadi Ripoti ya CAG ni sahihi?

    Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali . Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya...
  5. JamiiForums Tanzania Umri wa ndoa kwa binti: Shekhe Ponda yupo sahihi ila kwakuwa Tanzania haifuati Sharia za Kiislam, hoja kizungumkuti

    Shekhe Ponda uwaga anatatea haki ila sasa mfumo wa uongozi na utawala wa Nchi yetu (Ushaambiwa Serikali ya Tanzania haina Dini) hapo Shekhe Ponda anabidi anyamaze. Kisheria ya dini yuko sahihi kabisa... kuhusu umri sio mpaka binti afikishe 18+ndo aolewe. Nchi yetu binti chini ya miaka 18+...
  6. JamiiForums Tanzania Kamishna Mutahabwa uko sahihi, lakini ujue tu hata Walimu nao wanafanyiwa ukatili

    Ni kweli ukatili upo mashuleni, wanafunzi wanapewa adhabu zisioendana na umri wao. Nilichokuona ni kwamba walimu wengi wana psychological disoder ambayo inatokana na changamoto za kiutumishi. Matokeo yake anashusha hasira zake kwa mwanafunzi. Utakuta mwalimu anakrupiwa na mkuu wa shule mbele...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwa na Mahusiano (Kuoa /Kuolewa ) na Mtu anayefanana jina na wazazi wako?

    Wala GENTAMYCINE nisizunguke sana katika hili Mimi siwezi abadan ila Majina ya Wazazi wangu nitayatumia tu kwa kuwapa Wanangu ( Watoto Wangu ) ila siyo Vinginevyo. Haya tayari nimeshachokoza Mada ( Uzi ) hivyo Karibuni Great Thinkers wa JamiiForums muweze Kutiririka na Kuserereka katika hili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini Ili nipate pesa ya kujitegemea mimi mwenyewe?

    Kwa jina naitwa MJ John Ninaishi Bariadi Simiyu na wazazi wangu. Umri wangu ni miaka 17 Ninasoma kidato Cha nne na mwaka huu namaliza elimu yangu ya sekondari, lakini nakabiliwa na changamoto ambayo inanitatiza sana . Nyumbani ninapo ishi baba na mama Huwa hawaelewani Huwa wanagombana sana tu...
  9. JamiiForums Tanzania Demokrasia sahihi ni kufanya siasa ndani ya bunge na mabaraza ya uwakilishi baada ya uchaguzi siyo maandamano

  10. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi nguo za ndani zianikwe nje zikauke na jua?

    Baadhi ya wanawake wanatabia ya kuanika chupi kwenye kamba bila kujali wanaishi na nani je, iko sawa?
  11. JamiiForums Tanzania Ziko njia sahihi za kuingiza kipato mtandaoni

    Habari za asubuhi na hongereni kwa majukumu ya utafutaji. Kumekuwa na mijadala mingi sana huu ya pesa mtandaoni. Na kuna baadhi wametoa shuhuda jinsi wanavofanikiwa kwa njia mbalimbali za mtandaoni. Mtandaoni kuna pesa kikubwa upate njia sahihi za kufanya, tuache woga wa uthubutu na kuziba...
  12. JamiiForums Tanzania Zumaridi yuko sahihi kujiita mfalme wakati ni mwanamke

    Bila kujali kama anajua au hajui, katika ufalme wa Mungu hakuna Malkia au princess. Kuna mfalme wa wafalme = Yesu na wafalme= Sisi wafuasi wake bila kujali jinsia. Ufunuo wa Yohana 5:10 ukawafanya kuwa ufalme na makuhani kwa Mungu wetu; nao wanamiliki juu ya nchi.
  13. JamiiForums Tanzania Harmonize hajakosea kuhusu Madam Ritha, tuache mitazamo hafifu katika imani

    Wasalaam JF, Mambo ya imani ni binafsi, hicho wanachoita kusujudu ni dhana ya tafsiri tu, kitendo cha Harmonize kina wigo mpana hasa. Mfano, appreciation, kumsalia mtu aliyekusaidia aongezewe zaidi, kumwombea mtu maisha marefu, kuomba juu ya awaye yeyote Mungu amuepushe na majanga, amjalie heri...
  14. JamiiForums Tanzania Saido Ntibanzokiza vs Benard Morisson, Manara alikuwa sahihi. Yanga tuna shida

    Saidoo aliachwa na Yanga kwa mazingira sawa na yale aliyoachwa Morrison Simba. Ila Saido anaonekana kuwa tegemeo kwa club yake tofauti na Morisson. Ilikuwaje Morrison kupewa tena mkataba wakati mambo yake yanajulikana maana sisi ndio tuliomleta mjini. Au ndio ule usemi wa Haji Manara kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa niliyoshuhudia leo, Godbless Lema yupo sahihi kabisa kuhusu bodaboda

    Jamaa wa watu akiwa na mzigo kichwani na mkononi akiwa anavuka barabara huku bodaboda akilazimisha kupita mbele ya jamaa na kupelekea kuteleza na kuanguka Imekuwa ni sababu ya bodaboda zaidi ya ishirini kumtembezea kichapo jamaa wa watu na asiwepo hata wa kumtetea mpaka wana usalama walipofika...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuchangisha watu michango kwa ajili ya kutoa msaada?

    Nimekuwa nikiona mara Nyingi watu huandaa matukio ya kuchangia watoto wanaoishi katika mazingira magumu,yatima,Wafungwa ma wagonjwa kisha kushirikisha ndugu au watu wengine kuchangia. Yaani unajikuta tu upo kwenye Kundi la Whatsap na kisha unaombwa kutoa ahadi yako kwa ajili ya tukio Husika...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Arranged Marriage (ndoa za kuchaguliwa na familia, ndugu, na jamaa) ndio mfumo sahihi kwa maisha ya dot com

    Kwa jinsi ndoa za zama hizi zilivyo na seke seke. Nashauri familia zifate mfumo wa zamani. Kijana wa kiume anapofikia wakati wa kuoa, familia imchagulie mwenza wa kumuoa. Hivyo hivyo kwa binti. Familia ziwe makini na kukataa ndoa ambazo familia ya mume na mke mtarajiwa hazijawai kujuana...
  18. JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya kiteknolojia yalete uwiano wa kijinsia

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kitaadhimisha siku ya wanawake dunia tarehe 15/3/2023 kwa kuandaa kongamano litakalojadili masuala ya matumizi sahihi ya teknolojia, changamoto na faida zake kwa wanawake na jamii kwa ujumla...
  19. JamiiForums Tanzania Habari ya ITV usiku huu kuhusu uchangiaji wa Figo haipo sahihi, itaogopesha wachangiaji

    Upandikizaji wa figo (renal transplant) sasa hivi unafanyika hapa hapa nchini kwetu. Na tuko mbioni pia kuanza upandikizaji wa maini (liver transplant). Huko nyuma tulilazimika kuwapeleka wagonjwa wanaohitaji huduma hii nje ya nchi, hasa India kwa gharama kubwa ya fedha za nje za USA dollars...
  20. JamiiForums Tanzania Ni Sahihi kumnunulia dada, mama au mama mkwe nguo za ndani?

    Uzi ulikuwa kwaajili ya social experiment. Asanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…