Maduhu James
New Member
- Mar 30, 2023
- 3
- 8
Kwa jina naitwa MJ John
Ninaishi Bariadi Simiyu na wazazi wangu. Umri wangu ni miaka 17 Ninasoma kidato Cha nne na mwaka huu namaliza elimu yangu ya sekondari, lakini nakabiliwa na changamoto ambayo inanitatiza sana . Nyumbani ninapo ishi baba na mama Huwa hawaelewani Huwa wanagombana sana tu
kifedha hatuko vizuri sana.
Nilikuwa na mpango wa kujiajiri kazi za mtandaoni lakini imekuwa ngumu sana kuzipata nikafikilia kuanza biashara ya kuuza bidhaa wakati huo nikiwa nasoma shule.
Changamoto
Changamoto yangu niwazazi wananikatisha tamaa sana hawanipi muda wa kutafuta mtaji mdogo wakati wa wikend wao wanasema nitulie tu nyumbani nisome wakati huo hawanipi hata pesa ya mahitaji yangu
Na Mimi nikiangalia Nina huaba mkubwa wa mahitaji yangu na ninauwezo wa kupata pesa weekend. Je, nifanye nini Ili nipate pesa ya kujitegemea Mimi mwenyewe.
Au kama ni ngumu sana mwaweza kunielekeza jinsi gani ya kufanya kazi mtandaoni na kulipwa.
ASANTENI SANA