sahihi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaamua kuwa na mahusiano au kuzaa na mwenza wako hakikisha ni mtu sahihi

    Habari! Leo mchana nikiwa ofisini kwangu somewhere in Dar amefika dada Mwenye umri wa miaka 24 Amekuja kwangu kimakosa alielekezwa aende kwa Afisa ustawi wa jamii wa kata yake kwani ana changamoto za kimahusiano na mwenza wake Kiukweli shauku ikanijia nikamuuliza kwanni unataka kwenda ofisin...
  2. JamiiForums Tanzania Uimbaji wa aina hii sio sahihi ndani ya kanisa la kisabato.

    Nani aliyeanzisha huo uhuni wa kwaya kuimba kama wasanii wa bongo flavour na playback? Mchungaji Paul Semba yuko sahihi kukemea huo ushenzi. Hata katoliki mnaowasimanga hawawezi kufanya hiki kinachofanyika ndani ya SDA. Mkataeni shetani mapema kabla hajazidi kuharibu mambo...
  3. JamiiForums Tanzania Ni sahihi mke kuvaa skin tight mbele za watoto wake wa kiume?

    Heri ya nane nane wakuu Ebana,nimepokea kesi moja hapa mezani kwangu ikimhusu jamaa yangu flani hivi. Kesi yenyewe iko hivi,jamaa ameoa hawa totoz wa mjini na kamzalisha two kids za kiume.umri wa shemeji ni 30+ kwa kumkadiria but shemeji yeye pigo zake akiwa home huwa ni skin tight tu na mavazi...
  4. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

    Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
  5. JamiiForums Tanzania Tuzo za wachezaji zilienda sahihi kwa 98%, hongera Karia.

    Tuzo ziliendana na ukweli wa kile kilichotokea kwenye msimu. Hata wanaotufuatilia hawatatukosoa. Ni shida ndogondogo tu za kibinadamu kama vile goli bora la Kipre. Kipre alifunga goli bora kwenye mechi dhidi ya timu bora kiasi gani? Mtibwa sugar ilikuwa timu mbovu sana kwenye msimu, hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi makampuni ya mawasiliano kukopesha muda wa maongezi Kwa riba?

    Straight to the point. Nimekuwa nikifikiria Jambo hili na kuona Kama haliko Sawa. Kwanza ukisajili laini na kutaka kukopa muda wa maongezi papi hapo hawakubali. Wanachotaka ni uwe umenunua muda wa maongezi (uwaingizie faida) mara kadhaa ndipo uruhusiwe kukopa. Sasa Kwa kuwa tayar mteja...
  7. JamiiForums Tanzania Ni sehemu ipi sahihi ya kuelezea siri au kitu kinachokusumbua kwa muda mfupi au muda mrefu?

    Kwa uzoefu tu Jamani watu wengi ni wasaliti sana. Unaweza kumueleza kitu chochote ili upewe ushauri. Cha ajabu ushauri hupewi bali utayasikia mtaani na hii inaumiza sana. Sasa ni wapi Jamani mtu ueleze siri yako? Mimi limewai nikuta nilimueleza mtu siri na akaenda kuisambaza mahali nilijuta...
  8. JamiiForums Tanzania Mdau yupo sahihi kuhusu Wachungaji na Mahospitali?

    Yupo sahihi?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Siwa amekamilisha kazi yake ya kupanga safu sahihi kwa kesho nzuri, mliopo ofisini anzeni kuaga mpishe damu mpya na mawazo mapya

    Mabadiliko yanayotokea sasa yanaanza kusuka upya mfumo wa utumishi wa umma. Tunategemea mapendekezo ya kiongozi aliyestaafu yanakwenda kuweka mwanzo mpya kwa mfumo wa utumishi. Wapo wenye dola watakaotumbuliwa na kukabidhiwa wengine wanaoendana na mahitaji ya sasa. Ni muda muafaka kwa wakuu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Pre season ya Simba hawatapata kipimo sahihi cha kujipima

    Uongozi wa simba kuna mda unashangaza sana Unaenda kufanya pre season kwenye nchi ambayo unajua kabisa ni ngumu sana kupata timu ya maana ya kujipima kwa sababu kubwa ligi haijaisha Kwanini wasingeenda moroco ambako nako ligi imeisha na wananafasi kubwa sana ya kupata kipimo kizuri kuliko...
  11. JamiiForums Tanzania Siasa za Beirut zinalipa Kama rival akisajiliwa je, ni sahihi kumpa Wizara ilokuwa ya Mpinzani wa Dr Mwezi huu? Au tungevuta vuta muda?

    Hapo beirut kimewaka! Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Rais nimemuona ana Msafara wa Gari 84 hadi Trafiki akachoka na kususa Kuziongoza, hivi nimeona peke yangu tu vibaya au nilichokiona ni sahihi?

    Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
  13. JamiiForums Tanzania Napenda Utani wetu wa Simba na Yanga, ila hili la kusema kuwa akina Mzee Magoma na Wenzake wamefoji Sahihi na Nyaraka nalikataa tena kwa 100%

    Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wahuni, lililotokea Yanga Magoma yupo sahihi!

    Mpira wa bongo umejaa wahuni ndio maana vilabu vinaongozwa na vibaka tu, wenye uwezo wa kununua suti na kupata sapoti ya watu wenye pesa kuongoza hivyo vilabu. Juzi kati Simba watu wamebadishana uongozi kama vile wachezaji wanabadishana jezi au mbio za vijiti, hapo akitokea mtu mwenye kichaa...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Mdada wa mjini akikuambia kuwe wewe ni "boring" basi tambua unaishi sahihi.

    ................Akikusifia sana basi tambua unajilazmisha kuishi nje ya mipaka yako na comfort zone yako ili kumridhisha yeye au ku-brag kwake kuwa unamuweza. Shikilia hapo hapo mwanangu ni bora uitwe mshamba kuliko kujisukuma sukuma hadi unajikuta umempangia nyumba malaya. A HOE IS A HOE.
  16. JamiiForums Tanzania Hili ni sahihi kweli kwamba England haina katiba

    mwenye ufahamu anisaidie?
  17. JamiiForums Tanzania Kupaka rangi za bendera inaweza kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya magari ya serikali

    Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Chuo sahihi cha kusoma BSc in Civil Engineering

    Mwanafunzi amefaulu kidato cha sita PCM kwa kupata D-Physics, C-Chemistry, C-Mathematics sasa anaomba ushauri wa chuo sahihi kizuri cha kusoma BSc in Civil Engineering kati ya hivi vifuatavyo; Ardhi(ARU), MUST na DIT.
  19. JamiiForums Tanzania Wanajeshi mlioko hapa JamiiForums tafadhali naomba neno sahihi la Kiswahili la 'Quarter Guard' nitawashukuruni sana

    Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie naweza kuipata wapia. Asanteni Maafande.
  20. JamiiForums Tanzania Je, kwa Usajili waliofanya Yanga ni sahihi kumuachia Azizi Ki?

    Ni wazi kwamba Azizi ki anaelekea South Africa. Je, Yanga wako sahihi kumuacha aondoke au wanakosea?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…