sahihi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa vitisho ninaotumiwa na Really Pesa, je ni sahihi?

    Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho. Ujumbe huu hapa chini " DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO. NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA. PUUZIA TU...
  2. JamiiForums Tanzania BBC wako sahihi kuita jengo la Freemason kanisa?

    Kwa nini wasingeandika ukumbi au hekalu/kanisa/msikiti??
  3. JamiiForums Tanzania Ukipunguza Matamanio Biashara ni Chaguo Sahihi Kuliko Ajira Kwa karne hii.

    GT Huu uzi uwafikie graduates na hustlers Kuna msemo usemao huwezi kutajirika kwa hela ya mshahara huu ni ukweli kabisa kufanya kazi kwa mtu kunanyima uhuru utakuwa mtumwa milele mishahara ya Tanzania ni midogo sana ukilinganisha na gharama za maisha. Wawekezaji wa Tanzania 80% ni wahindi...
  4. JamiiForums Tanzania MwanaJF Dennis Roberts ni mtu sahihi kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Kamati kuu ya CHADEMA impigie magoti kumuomba ajiunge na chama chao na kumpa nafasi ya kugombea urais wa Tanzania. Kwa miaka mingi CHADEMA imekuwa ikijitambulisha kama chama cha watu wasomi wenye akili nyingi. Huyu Dennis ni msomi anayeongelea kwa undani sana kuhusu Nuclear power, Solar systems...
  5. JamiiForums Tanzania Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda sahihi

    Karibu Afrika, bara utakalosengenywa endapo hutaonekana ukiwa na mahusiano ya kimapenzi au mtoto haijalishi una mpango wa kufanya maamuzi kwa muda wako uliojipangia Bara la Afrika ni la tofauti sana, katika jamii zetu utaanza kupitia matatizo ya masimango baada ya kubalehe endapo hutaonekana...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Taja hizo namba 27,000 na 2,007 kwa maneno sahihi ya lugha ya Kiswahili na Kiingereza

    27, 000 20, 007 Wadau hamjamboni nyote? Usitoe maoni unachotakiwa ni kuzitaja hizo namba hapo juu kwa usahihi wa maneno ya kiswahili na kiingereza
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa za waliovuka 30 hazidumu, wengi huwapati nafasi ya uchaguzi sahihi, wanajitupa kokote kupunguza maneno

    Vijana wengi wanaovuka miaka 30 bila ndoa hukumbana na pressure ya matarajio na maswali mengi kutoka kwenye jamii inayowazunguka: Unaoa lini? Kwanini hujaoa/hujaolewa? Wenzako wanaoa/kuolewa, wewe unasubiri nini? Hivi kaka/dada, usingizi unautoa wapi huna ndoa? Unasubiri nini? Huko kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Tarehe 8 ruksa kutumia busara kumkimbia Pacome ila hiyo June ndiyo iwe sahihi kutokutumia busara? hiyo ni akili au matope?

    Tarehe rasmi ya mchezo ilikuwa 8, Busara zikatumika kumkimbia Pacome, Sasa mnalazimisha Busara isitumike kumpatia Yanga haki yake na kumlazimisha kucheza hiyo June 😀 Mna akili timamu kweli? Kateni hizo alama shusheni hata Ligi ya Mkoa HATUCHEZI! Semguto, Jaribu tena na Karia watacheza 🤝
  9. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa unahisi yupo sahihi kuhama Dini?

    Itakuaje kama na upande anaohamia ukawa haukemei. Unahisi yupo sahihi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, njia zinazotumika kutatua tatizo ni sahihi kulingana na tatizo lenyewe?

    Ndugu zangu Watanzania, kumekuwa na matatizo kadhaa yanayotukabili katika Taifa letu. Kwa ufupi naomba tutathmini ikiwa njia tunazotumia kutatua tatizo ni sahihi kulingana na tatizo lenyewe au la? Kwa kawaida ukitumia njia sahihi kutatua tatizo ulilo nalo, bila shaka tatizo hilo litakwisha na...
  11. JamiiForums Tanzania Ratiba ni kitu sahihi katika maisha

    Habari.. Katika maisha yetu ya kila siku ni vyema kuwa na RATIBA yoyote inayoongoza maisha yetu kama ni kwa Wiki,Mwezi, Miezi au hata Mwaka...Almuradi tuu tusiache kuwa na RATIBA inayotoa kipaumbele katika Maisha yetu.. Mfano nkiwa mdogo kuna familia pale street ilikuwa na ratiba ya diko...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?

    Je ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?
  13. JamiiForums Tanzania Dawa gani sahihi ya kutokomeza majani shambani?

    Asalaam wadau wa kilimo! Naomba kujua ni dawa Gani ya kupuliza shambani ambayo inaweza kuwa mbadala wa kupalilia shamba ili kupunguza gharama za kusafisha shamba? Nimepanda miti msim huu wa kilimo, nimepanda miti ya Michenza Sasa majani yamefumuka hasa baada ya mvua kunyesha, Naomba wajuzi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kwamba CCM na serikali yake inaamini kwamba wananchi sahihi kwao ni wanaCCM pekee, wengine sio wananchi?

    Nadhani CCM na viongozi wake kwanza watoke kwenye imani hiyo, inatakiwa iamini kwamba ni sawa na mzazi anaye zaa watoto wengine ni warefu na wengine wembaba na wanene wapo ila wote ni watoto wa mama mmoja sasa ukiona hupendi watoto wanene ukawabagua kwa kiasi hicho na ukawanyima haki zao.
  15. JamiiForums Tanzania Elimika na Epuka madhara yasio ya lazima ya dawa hapa nitatoa ufafanuzi juu ya hili hasa matumizi yasiyo sahihi kwa Antibiotics

    Antibiotics ni dawa zinazotumiwa kutibu maambukizi ya bakteria. Hata hivyo, matumizi holela ya antibiotics yanaweza kuleta madhara mbalimbali ambayo ni muhimu kujua. Hapa kuna baadhi ya madhara hayo: 1. Ukuaji wa Uhimili (Resistance): Matumizi yasiyo sahihi ya antibiotics yanaweza kusababisha...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe wakati mwingine ngada inafanya mtu uwe na akili na maamuzi sahihi, Basi sasa ndio nimejua umuhimu wake.

    Amani iwe nanyi! Kuna muda boss wangu nilikuwa nawaza sana anavyofanya maamuzi yake, Kuna wakati mpaka nilikuwa naona tunaenda kifirisika kumbe yeye ana target zake. (Off course ni mtu wa real estate) Lakini nikafanya utafiti mazuri sana kumbe kwanzia saa nane na nusu usiku mpaka saa Tisa...
  17. JamiiForums Tanzania Macron: Huu sio muda sahihi wa Ufaransa kuondoka Afrika. Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.

    Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of managing on its own!!! Can you believe that fellow Africans? MACRON: 🗣️ “If we leave African...
  18. JamiiForums Tanzania Chama gani kipo tayari kukupa mgombea sahihi 2025 ?

    Chama gani unadhani kipo tayari kutupa mgombea sahihi kwa nafasi ya urais 2025 ? A. ACT Wazalendo B. CHADEMA C. CCM
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwasalimia watu kwa kusema: “Bwana Yesu Asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo”?

    Katika jamii mbalimbali maneno: “Bwana Yesu asifiwe” au “Tumsifu Yesu Kristo,” yamekuwa yakitumika kama salaam za kawaida - wakati mtu anapowasalimia waliohudhuria sherehe, mkutano, ibada nk. Kwa ujumla, maneno hayo sio ya kusalimiana. Hayo ni maneno ya kumsifu Mwokozi wetu Yesu Kristo...
  20. JamiiForums Tanzania John Mrema, sawa Tume Iko sahihi, kinachokuwasha nini? CHADEMA haingii uchaguzin bila Mabadiliko, hatuna Mpango huo !!.

    Mbona kama wee Mrema na Genge lako ndio mmeumia Kwa CHADEMA kutokusaini? CHADEMA ingeutaka uchaguzi huo , pasingekuweponna NORENE na Ingesaini Kanuni za TUME. Kinachokuuma nini?? Kwamba Unafurahi Msimamo wa Tume? Au Unatumia Kwa Msimamo wa CHADEMA ??. Kama kugombea, Hamia CCM, utagombea pia !!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…