Wakuu,
Katika maisha kuna mambo ambayo huna budi kuyaamini tu, hata kama umehadithiwa na hukuyashuhudia mwenyewe. Kwa mfano, mtu akikuuliza:
“Ulijuaje kama mwaka wako wa kuzaliwa ni sahihi?”
Ukweli ni kwamba, wengi wetu hatujawahi kushuhudia siku tulipozaliwa; tunachokijua ni kile...